Jinsi Marekani ilivyoizuia China ili Israel ifanikiwe katika shambulizi la vifaa vya mawasiliano (pagers)

Jinsi Marekani ilivyoizuia China ili Israel ifanikiwe katika shambulizi la vifaa vya mawasiliano (pagers)

Unakubaliana na nani magaidi wananyooshwa?Na usikae ukajidanganya kwamba ipo siku USA watawapendelea Palestina. Haipo hiyo labda kwa unafiki na lengo fulani tu.
Unaona ni sahihi Marekani inavyoiunga mkono Israel kuua watoto wadogo wa Kipalestina.

Ni sahihi kwa Marekani pale kwenye vikao vya UN Security Council (UNSC) inapotumia vibaya kura yake ya VETO kupinga Palestina lisiwe taifa huru duniani?

Wakati kwenye Vikao vya UN General Assembly (UNGA) mataifa mengi duniani kutia ndani taifa lako Tanzania linaunga mkono Palestina liwe taifa huru na kutaks kusitishwa kwa uvamizi wa Israeli kwenye eneo la Palestina
 
Kwa hiyo wanawake na watoto waliolipuliwa walikuwa wanatumia au wanakaa na vifaa vilivyoingizwa kwa matumizi ya kijeshi ya kikundi cha wapiganaji!
Shambulizi lilikuwa kwa walengwa pekee (hez..) kwakua vilipuzi viliwekwa kwenye order iliyokuwa imeagizwa na hao hezbra. Mfano kuna mtoto wa miaka 9 kalipukiwa na hiyo pager kwa kuwa ilipoita tu akampelekea babaake ambaye ni hezbra ili haipokee but kabla muhusika hajaipokea ikalipuka na kumuua dogo, na hayo ndo madhara ya kujiusisha na ugaidi unaweza kuiponza familia ndugu au marafiki.
 
Ninachowapendea Israel wao kama gaidi yupo sehemu wanammaliza bila kujali kitachotokea, hawajali kifo au vifo hata wakiuawa watu 1000 ila Nasrallah amekufa wao haiwahusu
Unafikiri kwa kufanya hivyo watamaliza tatizo? Au wanazidi kuongeza maadui?

Wanapoua watu 1000 ina maana familia za wahanga ni maadui wapya wa Israel

Israel hawataishi kwa amani hapo Mashariki ya kati miaka nenda rudi

Itakuwa ni mwendo wa familia za wahanga kulipiza visasi
 
Unaona ni sahihi Marekani inavyoiunga mkono Israel kuua watoto wadogo wa Kipalestina.

Ni sahihi kwa Marekani pale kwenye vikao vya UN Security Council (UNSC) inapotumia vibaya kura yake ya VETO kupinga Palestina lisiwe taifa huru duniani?

Wakati kwenye Vikao vya UN General Assembly (UNGA) mataifa mengi duniani kutia ndani taifa lako Tanzania linaunga mkono Palestina liwe taifa huru na kutaka na kusitishwa kwa uvamizi wa Israeli kwenye eneo la Palestina
Iwapo Hamas watafanya uharibifu halafu wanaenda kujibanza kwa akina mama na watoto,watapigwa tu.Na hao akina mama wanaambiwa kila leo waondoke eneo walilopo magaidi hawasikii.Kinachowapata ndicho hicho.
 
Mauaji na umwagaji wa damu unaofanyika Palestina ni wa kutisha sana

Inashangaza kuona bado kuna watu kama nyinyi mnaounga mkono aina hii ya ugaidi iliyobarikiwa na Marekani
 
Mauaji na umwagaji wa damu uliofanyika Palestina ni wa kutisha sana

Inashangaza kuona bado kuna watu kama nyinyi mnaounga mkono aina hii ya ugaidi iliyobarikiwa na Marekani
Sasa unatarajia mtu kama mimi niwe na huruma kwa wahuni?Sahau hilo.Ambaye hapendi dhahma asijinasibishe na wahuni,basi!
 
Unafikiri kwa kufanya hivyo watamaliza tatizo? Au wanazidi kuongeza maadui?

Wanapoua watu 1000 ina maana familia za wahanga ni maadui wapya wa Israel

Israel hawataishi kwa amani hapo Mashariki ya kati miaka nenda rudi

Itakuwa ni mwendo wa familia wahanga kulipiza visasi
Unadhani Israel itakuja kubali kilichotokea 07102023 kitokee tena?
 
Unadhani Israel itakuja kubali kilichotokea 07102023 kitokee tena?
Hakuna kinachoshindikana mgogoro kati ya Israel na Palestina ni wa miaka mingi

Israel imepigana vita nyingi na Palestina ili kumaliza vita lakini imeshindikana

Suluhisho ni moja tu Palestina litambuliwe kuwa taifa huru. Kitu ambacho Zionists wakiungwa mkono na Marekani hawataki
 
Kwanza kabisa, mnamo Februari 2024 kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah, aliwaamuru wanachama wake kuacha kutumia simu kwa sababu zinaweza kunaswa kwa urahisi na kufuatiliwa na majasusi wa Israeli.

Miezi 2 baada ya agizo la mkuu wao yaani April 2024 wakaagiza hizo pagers ndivyo hata BBC na Reuters zimeripoti.

View attachment 3102564View attachment 3102566
BBC na Reuters zimeripoti kuwa pagers zilinunuliwa miezi 5 iliyopita kutoka sasa yaani April

Turudi hadi mwezi April mwaka huu tuone mfuatano wa matukio ulivyokuwa:

April 2, 2024
  • Marekani ilizuia kampuni ya China ya kutengeneza pagers ya Hytera isiuze pagers zake katika soko la dunia. Hiyo hukumu ilitolewa kufuatia kesi ambayo mwaka 2017 Motorola ilifungua dhidi ya Hytera katika masuala ya intellectual property.

  • Sawa hatukatai kuhusu uamuzi wa kesi hiyo ila bado swali linabaki; Kwa nini mahakama ya Marekani itoe hukumu mwezi uleule ambao Hezbollah walikuwa na uhitaji mkubwa wa pagers?
  • Ikumbukwe kipindi hicho ndicho ambacho Hezbollah walihitaji sana pagers. Kwa kuwa za China zilikuwa zimepigwa ban ikabidi wanunue za kutoka Taiwan.​

April 17, 2024
  • Siku 15 tu baadaye yaani April 17 mahakama nchini Marekani ikaondoa ban kwa kampuni ya Hytera na ikaruhusiwa kuanza tena kuuza pagers zake katika soko la dunia. Wakati huo Hezbollah walikuwa tayari wameshanunua mzigo wa pagers kutoka Taiwan. Unaweza kujionea mchezo uliofanyika hapo.​

Kwa nini kumekuwa na sintofahamu kuhusu ni nani mtengenezaji wa hizo pagers?
Kwa kuwa taifa la Lebanon lina vikwazo vya kiuchumi mataifa na makampuni mengi yanaogopa kufanya nao biashara direct hivyo huwa wanatumia third party.
  • Ndio maana unaona suala la mtengenezaji na muuzaji wa pagers limekuwa na danadana nyingi. Kampuni ya Taiwan Gold Apollo inakana kuwa yenyewe haikutengeneza hizo pagers bali iliweka tu logo lakini hawakushiriki kwenye kuunda, kutengeneza wala kuziuza bali wanadai waliipa license kampuni ya Hungary iitwayo BAC kutengeneza pagers, kampuni ambayo nayo haieleweki kwani taarifa zake haziko wazi. Ni kama kuna black market fulani ilifanyika.

Kwa mujibu wa taarifa za kiuchunguzi zilizofanywa na Al Jazeera ni kuwa order hiyo ya pagers kutoka Taiwan haikwenda moja kwa moja nchini Lebanon ilipitia Hungary.

Sasa hapo Hungary ndipo inaonekana mchezo mzima wa kupandikiza vilipukizi ulifanywa kisiri na Israel. Kwa nini tunasema hivyo?

Mzigo huo wa pagers ulikaa bandarini kwa miezi mitatu ukisubiri clearence ndipo uende Lebanon. Katika hiyo miezi mitatu ya kusubiria Mossad waliitumia vizuri kupandikiza vilipukizi.

Ikiwa vifaa vya kielektroni vinaweza kufanyiwa mchezo kama huu vikiwa kwenye usafirishaji au supply chain je, kuna usalama wa watumiaji wa vifaa hivyo duniani?

Kwa hii taarifa ni wszi bila shaka electronic devices kutoka China ni salama zaidi kwa sababu taifa hilo halina mbinumbinu za kijinga kama Marekani na washirika wake
 
Sasa unatarajia mtu kama mimi niwe na huruma kwa wahuni?Sahau hilo.Ambaye hapendi dhahma asijinasibishe na wahuni,basi!
Muhuni ambaye amepokonywa ardhi yake kwa mabavu sio?

Hivi kwa mfano leo likaja taifa likasema eneo la Tanzania ni sehemu yao utakubali kirahisi?

Hiki ndicho wanachofanyiwa Palestina

Kama ni uhuni basi Waisraeli ndio walioutengeneza kwa Wapaestina

Before 1947, there was no such thing called Israel
20240922_080450.png
 
Sasa mbona intended targets ni kama wamezikosa - milipuko imewa-affect zaidi watu baki tu na sio hata Hezbola - 9 confirmed dead na 3000 kujeruhiwa. Hiyo ni state terrorism tu.
 
Muhuni ambaye amepokonywa ardhi yake kwa mabavu sio?

Hivi kwa mfano leo likaja taifa likasema eneo la Tanzania ni sehemu yao utakubali kirahisi?

Hiki ndicho wanachofanyiwa Palestina

Kama ni uhuni basi Waisraeli ndio walioutengeneza kwa Wapaestina

Before 1947, there was no such thing called Israel
View attachment 3102707
Hiyo hoja imejibiwa zaidi ya mara mia moja humu JF.Nitakujibu swali lako iwapo ukinionesha Israeli ya kale ilianzia wapi hadi wapi katika ramani bila unafiki.
 
Kwa hii taarifa ni wszi bila shaka electronic devices kutoka China ni salama zaidi kwa sababu taifa hilo halina mbinumbinu za kijinga kama Marekani na washirika wake
Hata taarifa zinasema kumekuwa na ongezeko kubwa la order kutoka Mashariki ya kati ya vifaa vya mawasiliano vilivyotengenezwa China

Imefikia wakati factories nchini China wanarun overnight shift to accomodate huge orders
 
Hiyo hoja imejibiwa zaidi ya mara mia moja humu JF.Nitakujibu swali lako iwapo ukinionesha Israeli ya kale ilianzia wapi hadi wapi katika ramani bila unafiki.
Ancient Israel ilipotea hapo miaka elfu 2 iliyopita.

Unaweza kutuonyesha ramani ya taifa lolote duniani miaka elfu 2 iliyopita?

Labda nami nikuulize ancient Israel ilipoteaje hapo Middle East?

Na ilipita miaka mingapi kabla ya kurudi kimabavu kupitia Zionism Movement mwaka 1948?
 
Unaona ni sahihi Marekani inavyoiunga mkono Israel kuua watoto wadogo wa Kipalestina.

Ni sahihi kwa Marekani pale kwenye vikao vya UN Security Council (UNSC) inapotumia vibaya kura yake ya VETO kupinga Palestina lisiwe taifa huru duniani?

Wakati kwenye Vikao vya UN General Assembly (UNGA) mataifa mengi duniani kutia ndani taifa lako Tanzania linaunga mkono Palestina liwe taifa huru na kutaka na kusitishwa kwa uvamizi wa Israeli kwenye eneo la Palestina
Kama tunaamua kukemea ushetani basi tukemee bila kujalisha umefanywa na nani. Au mabomu yanayoipiga Israel wameyaprofram yasiue wanawake na watoto? Kwanini Hamas na Hezbollah wakiua watoto inakua kawaida ila wakifanya Israel inakua nongwa?

Ubaya ni ubaya haujalishi unafanywa na nani.
 
Watoto 5 wa Kipalestina wanauawa au kujeruhiwa kila siku tangu October. Hii ni kwa mujibu wa shirika la Save the Children.

Umewahi kuona wapi taarifa kama hizi zikiwahusu watoto wa Israel?

Kinachofanywa na Israel ni mauaji mabaya sana ambayo yanakingiwa kifua na Marekani
 
Mauaji na umwagaji wa damu unaofanyika Palestina ni wa kutisha sana

Inashangaza kuona bado kuna watu kama nyinyi mnaounga mkono aina hii ya ugaidi iliyobarikiwa na Marekani
Unabariki kile kilichofanyika Oct 7?
 
Back
Top Bottom