geesten66
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 2,042
- 2,370
Ndivyo wanavyodangwanywa na Wazungu.Sijui huwa wanatumiaga vigezo gani kusema Israel taifa la Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndivyo wanavyodangwanywa na Wazungu.Sijui huwa wanatumiaga vigezo gani kusema Israel taifa la Mungu
Well said mkuuAisee interesting
Waongo hao ardhi ambayo alienda Mussa sio Palestine, ni Yemen. Wanachimba kila siku kutafuta Mlima wa Temple Mount huko Israel, wala hawapati huo mlima, sababu upo Yemen.Yemen wapo Wayahudi mpa leo. We jiulize kuna bahari kutoka Egpty kwenda Palestine? sa Mussa alipita vipi bahari kama sio kuelekea Yemen.Mimi sijakataa kuwa Israel ilikuwa hapo ila hoja yangu ilikuwa unafahamu mipaka ya ancient Israel ya miaka elfu 2 iliyopita?
Hivi tujiulize hivi jamii iondoke mahali ilipokuwa inaishi halafu ipite miaka elfu 2 irudi na kudai ni eneo lao, does this make sense kweli?
Hai make sense!Mimi sijakataa kuwa Israel ilikuwa hapo ila hoja yangu ilikuwa unafahamu mipaka ya ancient Israel ya miaka elfu 2 iliyopita?
Hivi tujiulize hivi jamii iondoke mahali ilipokuwa inaishi halafu ipite miaka elfu 2 irudi na kudai ni eneo lao, does this make sense kweli?
Mwanzo ulianza vizuri kwakudai hauko na upande lakini sasa imeeleweka ok endelea zaidUnafikiri kwa kufanya hivyo watamaliza tatizo? Au wanazidi kuongeza maadui?
Wanapoua watu 1000 ina maana familia za wahanga ni maadui wapya wa Israel
Israel hawataishi kwa amani hapo Mashariki ya kati miaka nenda rudi
Itakuwa ni mwendo wa familia za wahanga kulipiza visasi
Kama ni hivyo je kuna haja ya kuendelea kuwaombea hawa watu mi naona kila mmoja wenu aendelee kushangilia upande wakeWapalestina wamefanyiwa vitendo vingapi vibaya zaidi ya hilo tukio la Oct 7?
Najua kuwa hamas wanatafuta huruma ya uhali hadi wanatengeneza picha za watoto kujehuriwa kwa kupakwa tomato na majerahaya uwongo pili hamas wanarusha silaha wakijificha shule na hadi hospital na kambi za wakimbizi pia unajua hao hamas Oktoba 7 walifanya mauaji watoto na watu wazima zaidi ya watu 2000 shida ya gaidi hiyo Israel hana tatizo na palestinians anashida na magaidi hamas hezbulla houth na wengine wenye mrengo wa ugaidiKwa hiyo mkuu unataka kumaanisha hao watoto 5 wanaouawa kila siku ndio magaidi?
Kama magaidi wa kipalestina wanajificha kwenye makazi ya watu ambayo kuna watoto wadogo wa kipalestina ulitegemea hawatauwawa kwa kuwa silaha itachagua huyu gaidi iue yule mtoto imuache? Hamas walipoivamia Israel silaha zao zilichagua wakuua?Unaona ni sahihi Marekani inavyoiunga mkono Israel kuua watoto wadogo wa Kipalestina.
Ni sahihi kwa Marekani pale kwenye vikao vya UN Security Council (UNSC) inapotumia vibaya kura yake ya VETO kupinga Palestina lisiwe taifa huru duniani?
Wakati kwenye Vikao vya UN General Assembly (UNGA) mataifa mengi duniani kutia ndani taifa lako Tanzania linaunga mkono Palestina liwe taifa huru na kutaks kusitishwa kwa uvamizi wa Israeli kwenye eneo la Palestina