Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
- #41
Unabariki kile kilichofanyika Oct 7?
Wapalestina wamefanyiwa vitendo vingapi vibaya zaidi ya hilo tukio la Oct 7?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unabariki kile kilichofanyika Oct 7?
Swali kwa swaliWapalestina wamefanyiwa vitendo vingapi vibaya zaidi ya hilo tukio la Oct 7?
Unabariki kilichotokea Oct 7?Wapalestina wamefanyiwa vitendo vingapi vibaya zaidi ya hilo tukio la Oct 7?
Watoto 5 wa Kipalestina wanauawa au kujeruhiwa kila siku tangu October. Hii ni kwa mujibu wa shirika la Save the Children.
Umewahi kuona wapi taarifa kama hizi zikiwahusu watoto wa Israel?
Kinachofanywa na Israel ni mauaji mabaya sana ambayo yanakingiwa kifua na Marekani
Watawala wa marekani ni wajinga kabisa wakotiari kuangamiza America kwa gharma yoyote kwa kuibeba Israeli. Siku mtu makapuni shindan wakiamua kjweka shutuma zozote kwenye kampuni ya apple kuwa wameaeka apps za upelelezi kwa mataifa mengine kama Huawei ilivyofanyiwa kutakuwa na kampuni tena maana kila nchi itajiona haiko salaama tenaKwa hii taarifa ni wszi bila shaka electronic devices kutoka China ni salama zaidi kwa sababu taifa hilo halina mbinumbinu za kijinga kama Marekani na washirika wake
Tuliwaambia mbungi ikianza msiongee kuhusu wanawake na watoto.Kwa hiyo wanawake na watoto waliolipuliwa walikuwa wanatumia au wanakaa na vifaa vilivyoingizwa kwa matumizi ya kijeshi ya kikundi cha wapiganaji!
Ulishasema.Kiongozi wa Hizbullah aliviagizaNi shambulizi la kigaidi kutekelezwa na Israel kwa sababu watumiaji wa vifaa vya kielektroni sio tu ambao Israel iliwalenga yaani Hezbollah
Hata raia wa kawaida wamepatwa na milipuko hiyo. Unafikiri kilichofanywa ni sawa?
Weka kwanza ushabiki pembeni
Yaani unateseka bure Israel hapigani na palestinians anapigana na magaidi hamas ni magaidi ndani ya Israel wapo wapalestina wanaishi vizuri pale west bank na kiongozi wao hawana tatizo na Israel magaidi wa hamas ndiyo hujiingiza west bank na tatizo lako wewe una Udini ukidhani Israel wanapigana uislamu pale telaviv waislamu hakuna anayewabiguzi anashambuliwa gaidi tu na jengo likijukikana ni la gaidi linashushwa yaani kuwapunguza nguvu ya kiuchumi jengo la raia asiye hamas haliguzwi na pia gaidi wanajificha na wamama kama kinga wengine wanakimbilia hospitali na mashule na misikitini hata makanisani taarifa ilidhihirika wapo popote gaidi ni kipigo hivyo Israel hapigani na palestinians anapiga hamas hezbulla na wengine
Unabariki kilichotokea Oct 7?
Unaongozwa na unafiki.Niishie hapo.Ancient Israel ilipotea hapo miaka elfu 2 iliyopita.
Unaweza kutuonyesha ramani ya taifa lolote duniani miaka elfu 2 iliyopita?
Labda nami nikuulize ancient Israel ilipoteaje hapo Middle East?
Na ilipita miaka mingapi kabla ya kurudi kimabavu kupitia Zionism Movement mwaka 1948?
Unaongozwa na unafiki.Niishie hapo.
Kwa kujidai hujui Israeli ilipokuwa na ilipo.Sasa hapo tutajadiliana nini kwa kitu ambacho haukijui na unadai hakipo?Ndiyo maana naishia kuandika hivi.Ubishani mwema.Unafiki gani mkuu na wakati hii hoja uliianzisha mwenyewe?
Watawala wa marekani ni wajinga kabisa wakotiari kuangamiza America kwa gharma yoyote kwa kuibeba Israeli. Siku mtu makapuni shindan wakiamua kjweka shutuma zozote kwenye kampuni ya apple kuwa wameaeka apps za upelelezi kwa mataifa mengine kama Huawei ilivyofanyiwa kutakuwa na kampuni tena maana kila nchi itajiona haiko salaama tena
vita ya Israel na Palestine siyo ya kidini kama wengi wanavyoaminishwa. US na rafiki zake walianzisha hilo taifa hapo na mashariki ya kati ili waweze kuwa na influence hapo mashariki ya kati baada ya taifa kuanzishwa wakagundua utajiri uliopo hapo. Sasa vita imekuwa ya kisiasa na kiuchumiYaani unateseka bure Israel hapigani na palestinians anapigana na magaidi hamas ni magaidi ndani ya Israel wapo wapalestina wanaishi vizuri pale west bank na kiongozi wao hawana tatizo na Israel magaidi wa hamas ndiyo hujiingiza west bank na tatizo lako wewe una Udini ukidhani Israel wanapigana uislamu pale telaviv waislamu hakuna anayewabiguzi anashambuliwa gaidi tu na jengo likijukikana ni la gaidi linashushwa yaani kuwapunguza nguvu ya kiuchumi jengo la raia asiye hamas haliguzwi na pia gaidi wanajificha na wamama kama kinga wengine wanakimbilia hospitali na mashule na misikitini hata makanisani taarifa ilidhihirika wapo popote gaidi ni kipigo hivyo Israel hapigani na palestinians anapiga hamas hezbulla na wengine
US ndio anaye pigana na UK wale Israel wanakuzwa tu.Kwanza kabisa, mnamo Februari 2024 kiongozi wa Hezbollah, Hassan Nasrallah, aliwaamuru wanachama wake kuacha kutumia simu kwa sababu zinaweza kunaswa kwa urahisi na kufuatiliwa na majasusi wa Israeli.View attachment 3102564View attachment 3102566
Miezi 2 baada ya agizo la mkuu wao yaani April 2024 wakaagiza hizo pagers ndivyo hata BBC na Reuters zimeripoti.
BBC na Reuters zimeripoti kuwa pagers zilinunuliwa miezi 5 iliyopita kutoka sasa yaani April
Turudi hadi mwezi April mwaka huu tuone mfuatano wa matukio ulivyokuwa:
April 2, 2024
Marekani ilizuia kampuni ya China ya kutengeneza pagers ya Hytera isiuze pagers zake katika soko la dunia. Hiyo hukumu ilitolewa kufuatia kesi ambayo mwaka 2017 Motorola ilifungua dhidi ya Hytera katika masuala ya intellectual property.
Sawa hatukatai kuhusu uamuzi wa kesi hiyo ila bado swali linabaki; Kwa nini mahakama ya Marekani itoe hukumu mwezi uleule ambao Hezbollah walikuwa na uhitaji mkubwa wa pagers? Ikumbukwe kipindi hicho ndicho ambacho Hezbollah walihitaji sana pagers. Kwa kuwa za China zilikuwa zimepigwa ban ikabidi wanunue za kutoka Taiwan.
April 17, 2024
Siku 15 tu baadaye yaani April 17 mahakama nchini Marekani ikaondoa ban kwa kampuni ya Hytera na ikaruhusiwa kuanza tena kuuza pagers zake katika soko la dunia. Wakati huo Hezbollah walikuwa tayari wameshanunua mzigo wa pagers kutoka Taiwan. Unaweza kujionea mchezo uliofanyika hapo.
Kwa nini kumekuwa na sintofahamu kuhusu ni nani mtengenezaji wa hizo pagers?
Kwa kuwa taifa la Lebanon lina vikwazo vya kiuchumi mataifa na makampuni mengi yanaogopa kufanya nao biashara direct hivyo huwa wanatumia third party.
Ndio maana unaona suala la mtengenezaji na muuzaji wa pagers limekuwa na danadana nyingi. Kampuni ya Taiwan Gold Apollo inakana kuwa yenyewe haikutengeneza hizo pagers bali iliweka tu logo lakini hawakushiriki kwenye kuunda, kutengeneza wala kuziuza bali wanadai waliipa license kampuni ya Hungary iitwayo BAC kutengeneza pagers, kampuni ambayo nayo haieleweki kwani taarifa zake haziko wazi. Ni wazi kuwa kuna black market fulani ilifanyika.
Kwa mujibu wa taarifa za kiuchunguzi zilizofanywa na Al Jazeera ni kuwa order hiyo ya pagers kutoka Taiwan haikwenda moja kwa moja nchini Lebanon ilipitia Hungary.
Sasa hapo Hungary ndipo inaonekana mchezo mzima wa kupandikiza vilipukizi ulifanywa kisiri na Israel. Kwa nini tunasema hivyo?
Mzigo huo wa pagers ulikaa bandarini kwa miezi mitatu ukisubiri clearence ndipo uende Lebanon. Katika hiyo miezi mitatu ya kusubiria Mossad waliitumia vizuri kupandikiza vilipukizi.
Ikiwa vifaa vya kielektroni vinaweza kufanyiwa mchezo kama huu vikiwa kwenye usafirishaji au supply chain je, kuna usalama wa watumiaji wa vifaa hivyo duniani?
Kwa kujidai hujui Israeli ilipokuwa na ilipo.Sasa hapo tutajadiliana nini kwa kitu ambacho haukijui na unadai hakipo?Ndiyo maana naishia kuandika hivi.Ubishani mwema.
vita ya Israel na Palestine siyo ya kidini kama wengi wanavyoaminishwa. US na rafiki zake walianzisha hilo taifa hapo na mashariki ya kati ili waweze kuwa na influence hapo mashariki ya kati baada ya taifa kuanzishwa wakagundua utajiri uliopo hapo. Sasa vita imekuwa ya kisiasa na kiuchumi
Naona jamaa kapaniki, nahisi uyo jamaa atakuwa mrokore anatetea taifa la munguUnafiki gani mkuu na wakati hii hoja uliianzisha mwenyewe?
Naona jamaa kapaniki, nahisi uyo jamaa atakuwa mrokore anatetea taifa la mungu