Jinsi Marekani ilivyoizuia China ili Israel ifanikiwe katika shambulizi la vifaa vya mawasiliano (pagers)

Yaani unateseka bure Israel hapigani na palestinians anapigana na magaidi hamas ni magaidi ndani ya Israel wapo wapalestina wanaishi vizuri pale west bank na kiongozi wao hawana tatizo na Israel magaidi wa hamas ndiyo hujiingiza west bank na tatizo lako wewe una Udini ukidhani Israel wanapigana uislamu pale telaviv waislamu hakuna anayewabiguzi anashambuliwa gaidi tu na jengo likijukikana ni la gaidi linashushwa yaani kuwapunguza nguvu ya kiuchumi jengo la raia asiye hamas haliguzwi na pia gaidi wanajificha na wamama kama kinga wengine wanakimbilia hospitali na mashule na misikitini hata makanisani taarifa ilidhihirika wapo popote gaidi ni kipigo hivyo Israel hapigani na palestinians anapiga hamas hezbulla na wengine
 
Kwa hii taarifa ni wszi bila shaka electronic devices kutoka China ni salama zaidi kwa sababu taifa hilo halina mbinumbinu za kijinga kama Marekani na washirika wake
Watawala wa marekani ni wajinga kabisa wakotiari kuangamiza America kwa gharma yoyote kwa kuibeba Israeli. Siku mtu makapuni shindan wakiamua kjweka shutuma zozote kwenye kampuni ya apple kuwa wameaeka apps za upelelezi kwa mataifa mengine kama Huawei ilivyofanyiwa kutakuwa na kampuni tena maana kila nchi itajiona haiko salaama tena
 
Kwa hiyo wanawake na watoto waliolipuliwa walikuwa wanatumia au wanakaa na vifaa vilivyoingizwa kwa matumizi ya kijeshi ya kikundi cha wapiganaji!
Tuliwaambia mbungi ikianza msiongee kuhusu wanawake na watoto.
Safari bado mbichi sana.Nyie si mliutaka?
 
Ulishasema.Kiongozi wa Hizbullah aliviagiza
 
Kwa hiyo mkuu unataka kumaanisha hao watoto 5 wanaouawa kila siku ndio magaidi?
 
Unaongozwa na unafiki.Niishie hapo.
 
Unafiki gani mkuu na wakati hii hoja uliianzisha mwenyewe?
Kwa kujidai hujui Israeli ilipokuwa na ilipo.Sasa hapo tutajadiliana nini kwa kitu ambacho haukijui na unadai hakipo?Ndiyo maana naishia kuandika hivi.Ubishani mwema.
 
Inapoelekea watu wataanza kupunguza trust kwa electronic devices za Marekani au washirika wake
 
vita ya Israel na Palestine siyo ya kidini kama wengi wanavyoaminishwa. US na rafiki zake walianzisha hilo taifa hapo na mashariki ya kati ili waweze kuwa na influence hapo mashariki ya kati baada ya taifa kuanzishwa wakagundua utajiri uliopo hapo. Sasa vita imekuwa ya kisiasa na kiuchumi
 
US ndio anaye pigana na UK wale Israel wanakuzwa tu.
 
Kwa kujidai hujui Israeli ilipokuwa na ilipo.Sasa hapo tutajadiliana nini kwa kitu ambacho haukijui na unadai hakipo?Ndiyo maana naishia kuandika hivi.Ubishani mwema.
Mimi sijakataa kuwa Israel ilikuwa hapo ila hoja yangu ilikuwa unafahamu mipaka ya ancient Israel ya miaka elfu 2 iliyopita?

Hivi tujiulize hivi jamii iondoke mahali ilipokuwa inaishi halafu ipite miaka elfu 2 irudi na kudai ni eneo lao, does this make sense kweli?
 
Uko sahihi mkuu

Marekani na Uingereza wakitumia UN ndio waliounga mkono sana uanzishwaji wa modern Israel hapo Mashariki ya kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…