Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Wewe nani wa kuipangia marekani kama tu saudia mnakoswali ni marekani anawalindia.
Hiyo marekani yenyewe inashindwa kujilinda inamwogopa Cuba kama ukoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe nani wa kuipangia marekani kama tu saudia mnakoswali ni marekani anawalindia.
Hii inahusiana vipi na post yangu
Hii inahusiana vipi na post yangu
Silaha zilizotumiwa kuua wayahudi na Moleli na Tenga zilitengenezwa IranSilaha zinazotumika kuua Gaza tangu mwanzo mpaka mwisho karibu zote zimetengenezwa Marekani na hata kuingia Rafah white house imetetea kuwa hakuna kibaya kilichofanyika .
Ubaya wa uvamivi wa Gaza na uporaji wa ardhi unaofanywa maeneo mengine ya Palestina tena kupingana na amri za mahakama na maazimio ya umoja wa mataifa ni vitu vinaonekana wazi wazi.
Kama Marekani imeshindwa kuzuia basi taifa hilo halina sifa yoyote ya kuamrisha wema na kuhimiza mataifa mengine yafuate wanayoyataka.Kila mmoja duniani afuate anachoona kina manufaa kwake.
Kuna jamaa nipo kundi moja nao la watsap, anadai kwamba waisrael wanapigwa sana huko ila taarifa zinafichwa.Silaha zinazotumika kuua Gaza tangu mwanzo mpaka mwisho karibu zote zimetengenezwa Marekani na hata kuingia Rafah white house imetetea kuwa hakuna kibaya kilichofanyika .
Ubaya wa uvamivi wa Gaza na uporaji wa ardhi unaofanywa maeneo mengine ya Palestina tena kupingana na amri za mahakama na maazimio ya umoja wa mataifa ni vitu vinaonekana wazi wazi.
Kama Marekani imeshindwa kuzuia basi taifa hilo halina sifa yoyote ya kuamrisha wema na kuhimiza mataifa mengine yafuate wanayoyataka.Kila mmoja duniani afuate anachoona kina manufaa kwake.
Sawa.Silaha zinazotumika kuua Gaza tangu mwanzo mpaka mwisho karibu zote zimetengenezwa Marekani na hata kuingia Rafah white house imetetea kuwa hakuna kibaya kilichofanyika .
Ubaya wa uvamivi wa Gaza na uporaji wa ardhi unaofanywa maeneo mengine ya Palestina tena kupingana na amri za mahakama na maazimio ya umoja wa mataifa ni vitu vinaonekana wazi wazi.
Kama Marekani imeshindwa kuzuia basi taifa hilo halina sifa yoyote ya kuamrisha wema na kuhimiza mataifa mengine yafuate wanayoyataka.Kila mmoja duniani afuate anachoona kina manufaa kwake.
Kinachoendelea Gaza ni kutimia tu kwa utabiri wa Nabii Amos 1:7. Mungu kupitia kinywa Cha Nabii Amos 1:7 alisema: "Nitapeleka moto kwenye Kuta za Gaza. Haya tunayaona yanatimia, Kuta za Gaza zinawaka moto. Madhambi ya Hamas 0ctober 7 yamepelekea Kuta za Gaza kiwaka moto, siyo uwezo wa Netanyahu, ni neno la Mungu limetimia.Silaha zinazotumika kuua Gaza tangu mwanzo mpaka mwisho karibu zote zimetengenezwa Marekani na hata kuingia Rafah white house imetetea kuwa hakuna kibaya kilichofanyika .
Ubaya wa uvamivi wa Gaza na uporaji wa ardhi unaofanywa maeneo mengine ya Palestina tena kupingana na amri za mahakama na maazimio ya umoja wa mataifa ni vitu vinaonekana wazi wazi.
Kama Marekani imeshindwa kuzuia basi taifa hilo halina sifa yoyote ya kuamrisha wema na kuhimiza mataifa mengine yafuate wanayoyataka.Kila mmoja duniani afuate anachoona kina manufaa kwake.
Netanyahu piga magaidi hao. Usirudi nyuma.Kwani hujui uliandika nini?
Netanyahu piga magaidi hao. Usirudi nyuma.
Kinachoendelea Gaza ni kutimia tu kwa utabiri wa Nabii Amos 1:7. Mungu kupitia kinywa Cha Nabii Amos 1:7 alisema: "Nitapeleka moto kwenye Kuta za Gaza. Haya tunayaona yanatimia, Kuta za Gaza zinawaka moto. Madhambi ya Hamas 0ctober 7 yamepelekea Kuta za Gaza kiwaka moto, siyo uwezo wa Netanyahu, ni neno la Mungu limetimia.
Allah mwenyewe anaogopa. Anachojua ni kiarabu tu
Hahaha hahaha nachekaga sana haya malumbano Kobaaz mna vituko kichizi.Shujaa alilia akajisahau kuwa ndiye mungu akamuomba Mungu mwengine
Elloi Elloi Lamma sabbakhtani , Mungu wangu Mungu wangu mbona umenitupa
Hahaha hahaha nachekaga sana haya malumbano Kobaaz mna vituko kichizi.
Leave alone kipenzi chetu our sweet beloved Jesus.
Uzuri ni kwamba nyie ndio mmeingia kwenye aga za wayahudi mnakaangwa kama kitimoto;Kafiri kama wewe ukiingia kwenye anga zetu tunakutenganisha kiwiliwili na kichwa
We ungejua mana ya Allah AKBAR ungeisha pata akili, tatizo akili huwezi kupata kama hujui Mungu ndio mkubwa.
Wewe bado mtoto mdogo sana katika mambo. Hujui lolote. Acha nikupotezee tu nikutamkie neno baya ikawa laana kwako.We ungejua mana ya Allah AKBAR ungeisha pata akili, tatizo akili huwezi kupata kama hujui Mungu ndio mkubwa.
Kumbe ukiingia kwenye angav Za mashoga unakaangwa?Uzuri ni kwamba nyie ndio mmeingia kwenye aga za wayahudi mnakaangwa kama kitimoto;