Jinsi Marekani inavyoshirikiana na Israel kufanya unyama Palestina, wasiingie nchi yoyote duniani kuamrisha ujinga ujinga wao

Unalialia kipuuzi, marekani na israel ni kitu kimoja. Unategeme USA iikemee israel?
 
Silaha zinazotumika kuua Gaza tangu mwanzo mpaka mwisho karibu zote zimetengenezwa Marekani na hata kuingia Rafah white house imetetea kuwa hakuna kibaya kilichofanyika .
Ubaya wa uvamivi wa Gaza na uporaji wa ardhi unaofanywa maeneo mengine ya Palestina tena kupingana na amri za mahakama na maazimio ya umoja wa mataifa ni vitu vinaonekana wazi wazi.
Kama Marekani imeshindwa kuzuia basi taifa hilo halina sifa yoyote ya kuamrisha wema na kuhimiza mataifa mengine yafuate wanayoyataka.Kila mmoja duniani afuate anachoona kina manufaa kwake.
Silaha zilizotumiwa kuua wayahudi na Moleli na Tenga zilitengenezwa Iran
 
HAMAS mnataka vita? Basi tutawapatia vita- Netanyahu.
 
Silaha zinazotumika kuua Gaza tangu mwanzo mpaka mwisho karibu zote zimetengenezwa Marekani na hata kuingia Rafah white house imetetea kuwa hakuna kibaya kilichofanyika .
Ubaya wa uvamivi wa Gaza na uporaji wa ardhi unaofanywa maeneo mengine ya Palestina tena kupingana na amri za mahakama na maazimio ya umoja wa mataifa ni vitu vinaonekana wazi wazi.
Kama Marekani imeshindwa kuzuia basi taifa hilo halina sifa yoyote ya kuamrisha wema na kuhimiza mataifa mengine yafuate wanayoyataka.Kila mmoja duniani afuate anachoona kina manufaa kwake.
Kuna jamaa nipo kundi moja nao la watsap, anadai kwamba waisrael wanapigwa sana huko ila taarifa zinafichwa.
 
Silaha zinazotumika kuua Gaza tangu mwanzo mpaka mwisho karibu zote zimetengenezwa Marekani na hata kuingia Rafah white house imetetea kuwa hakuna kibaya kilichofanyika .
Ubaya wa uvamivi wa Gaza na uporaji wa ardhi unaofanywa maeneo mengine ya Palestina tena kupingana na amri za mahakama na maazimio ya umoja wa mataifa ni vitu vinaonekana wazi wazi.
Kama Marekani imeshindwa kuzuia basi taifa hilo halina sifa yoyote ya kuamrisha wema na kuhimiza mataifa mengine yafuate wanayoyataka.Kila mmoja duniani afuate anachoona kina manufaa kwake.
Sawa.
 
Kinachoendelea Gaza ni kutimia tu kwa utabiri wa Nabii Amos 1:7. Mungu kupitia kinywa Cha Nabii Amos 1:7 alisema: "Nitapeleka moto kwenye Kuta za Gaza. Haya tunayaona yanatimia, Kuta za Gaza zinawaka moto. Madhambi ya Hamas 0ctober 7 yamepelekea Kuta za Gaza kiwaka moto, siyo uwezo wa Netanyahu, ni neno la Mungu limetimia.
 
Amos ni nani huyo ??
 
Allah mwenyewe anaogopa. Anachojua ni kiarabu tu

Shujaa alilia akajisahau kuwa ndiye mungu akamuomba Mungu mwengine

Elloi Elloi Lamma sabbakhtani , Mungu wangu Mungu wangu mbona umenitupa
 
Hahaha hahaha nachekaga sana haya malumbano Kobaaz mna vituko kichizi.

Leave alone kipenzi chetu our sweet beloved Jesus.
 
Cheka zaidi , Eti hilo ndilo jina lake halisi kwa kiebrania ??
 
We ungejua mana ya Allah AKBAR ungeisha pata akili, tatizo akili huwezi kupata kama hujui Mungu ndio mkubwa.
Wewe bado mtoto mdogo sana katika mambo. Hujui lolote. Acha nikupotezee tu nikutamkie neno baya ikawa laana kwako.
 
Back
Top Bottom