Jinsi mbunge Ramadhan Kihiyo alivyojiuzulu baada ya kashfa ya kufoji vyeti

CCM bila Aibu wanatetea vyeti Feki vya Daud Bashite ni bora watangaze kuanzia sasa kuwa ni ruksa kwa wakuu wa mikoa na wilaya kumiliki vyeti bandia watanzania wajue moja wapate kutoa maamuzi ya jumla.
 
It's about one rule for one and one for another.
 
Soma alama za nyakati. Kulikuwa na blackmail
 
Kugushi vyeti ni kosa la jinai ndiyo maana alienda kuomba Viza Ubalozi wa Uingereza wakamkatalia wakitoa sababu kuwa wamepata taarifa jina la kwenye passport yake ni feki.
Wazungu mbona wameisha mshitukia siku nyingi hata alipokuja mkuu wa World Bank walihakikisha haudhurii uzinduzi aliokuwa anaufanya boss wao pale Zanaki. Walimkaribisha DC wa Ilala siyo Makonda.
 
Meya wa Dar alishampeleka sehemu fulani amazing huyo Bashite wenu. Time will tell.
 
Kuna mambo mengine braza usiumize sana kichwa miaka 3 sio mingi ataondoka atakuja mwingine itabakia historia tu..
 
Kihiyo hakuwa mmakonde/mmakua kama aliyekuwa anatawala enzi hiyo. Hii ya Bashite ni kesi ya Damu nzito kuliko Maji.
 
Kwa sababu aligushi vyeti huyu mama ametuletea maigizo tu be hakuna la maana nadhani walikuwa wanasherehekea kuamzishwa Udom siyo vyeti feki
 
Meya wa Dar alishampeleka sehemu fulani amazing huyo Bashite wenu. Time will tell.
Itatoka amri hawataendelea Na hiyo kesi itafutwa kama wale wa Jamhuri walipoenda shule wakaambiwa waende na barua toka Wizarani, RaS na Necta wakaambiwa taarifa za exams result ni za mtahiniwa na Necta! Siyo rahisi hiyo kesi ya Meya itakuwa dismissed! Kote kulishatiwa STOP/UNTOUCHABLE!
 
Mwaka huu utabadilisha avatar utatuwekea mpaka ya mkweo..ushahidi gani sasa mbona alivamia clouds
 
Kihiyo hakuvuliwa ubunge alijiuzulu mwenyewe kati kati ya kesi kwa madai afya yake siyo ya kuridhisha nyie mmezaliwa lini mbona kizazi hiki kimejaa uongo au makusudi
 
Kazi tunayo. Anyways, no situation is permanent.
 
Kihiyo hakuvuliwa ubunge alijiuzulu mwenyewe kati kati ya kesi kwa madai afya yake si nzuri nyie mmezaliwa lini mbona mmejaa uongo au makusudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…