Nimeuliza majina halisi ya Mbowe maana mara kwa mara akitajwa DAB lazima Mbowe atajwe kwenye suala vyeti, kama Mbowe alifeli na anatumia majina yale yale sidhani kama ni kosaHicho si kigezo cha magufuli kumkumbatia Daud Bashite
hehehehe mzee baba umeamuaBashite ana vyeti halali kabisa ila sio vyake, hapo ndipo tatizo linapoanzia
Yanini?ilikuwa kesi ya kufoji vyeti vya elimu yake.kati kati ya kesi
Wadau tangu tarifa itoke kuwa viongozi wa nafasi ya kisiasa sifa kuu ni kujua kusoma na kuandika, kwanini sasa mahakama ilimvua ubunge bwana kihio aliyeshinda nafasi ya ubunge Temeke mwaka 1995 ikiwa sifa ni kujua kusoma na kuandika?
kwanini walimvua nafasi yake kwa kosa la kudanganya elimu yake kwanini wasingempa adhabu nyingine ikiwa sawa na kufoji vyeti baadala ya kumvua ubunge bado nawaza tu
Sasa kama bashite ana vyeti feki kwa nini anachwa aendelee na maradaraka ya ukuu wa mkoaKihiyo alikuwa Na vyeti feki Na ndivyo vilivyomtoa ubunge
Nyie member wapya nyie mna matatizo sana ebu kaa chini acha wenzako waongeeKihiyo hakuvuliwa ubunge alijiuzulu mwenyewe kati kati ya kesi kwa madai afya yake siyo ya kuridhisha nyie mmezaliwa lini mbona kizazi hiki kimejaa uongo au makusudi
Kwa hiyo bashite ana vyeti halali?Kihiyo alikuwa Na vyeti feki Na ndivyo vilivyomtoa ubunge
Jina lako na ulichoandika vinafanana JINGA LAOvilaza nyie na Team Mange...KIHIYO ALIVULIWA UBUNGE NA MAHAKAMA BAADA YA KESI ILIWASILISHWA NA MREMA CHINI YA UWAKILI WA LAMWAI...KAMA MNA USHAHIDI WA MTU MWENYE VEYTI FEKI NENDENI MAHAKAMANI NA MKISHINDA MHUSIKA ATAVULIWA NYADHIFA ZAKE .
BLAH BLAHH ZA INSTA HAZISADII...ANZENI NA KESI YA VYETI VYA MBOWE MBURULAZ NYIE
We tulia utakuja ona usiwe na harakavilaza nyie na Team Mange...KIHIYO ALIVULIWA UBUNGE NA MAHAKAMA BAADA YA KESI ILIWASILISHWA NA MREMA CHINI YA UWAKILI WA LAMWAI...KAMA MNA USHAHIDI WA MTU MWENYE VEYTI FEKI NENDENI MAHAKAMANI NA MKISHINDA MHUSIKA ATAVULIWA NYADHIFA ZAKE .
BLAH BLAHH ZA INSTA HAZISADII...ANZENI NA KESI YA VYETI VYA MBOWE MBURULAZ NYIE
Kampiga Limbwata baba JescaSasa kama bashite ana vyeti feki kwa nini anachwa aendelee na maradaraka ya ukuu wa mkoa
ianze haraka na wadhibiti akina GSM wasitembeze Rushwa na ndumba za Bashite kwani sasa anamiliki utitiri wa waganga wa kienyeji.We tulia utakuja ona usiwe na haraka
Kuna kesi tayari ipo mahakamani,itajulikana tu
Kufoji ni kosa la jinai ni kashfaWadau tangu tarifa itoke kuwa viongozi wa nafasi ya kisiasa sifa kuu ni kujua kusoma na kuandika, kwanini sasa mahakama ilimvua ubunge bwana kihio aliyeshinda nafasi ya ubunge Temeke mwaka 1995 ikiwa sifa ni kujua kusoma na kuandika?
kwanini walimvua nafasi yake kwa kosa la kudanganya elimu yake kwanini wasingempa adhabu nyingine ikiwa sawa na kufoji vyeti baadala ya kumvua ubunge bado nawaza tu
Sasa vyeti vya nini waliangalia ikiwa sifa kuu ya ubunge ni kujua kusoma na kuandika vyeti vya nini ikiwa vyeti ni sifa moja wapo ya kuwa mbunge mbona wabunge hawajakaguliwa sasa kama kuwa na vyeti feki au halali ndio sifa ya ubunge