Jinsi mbunge Ramadhan Kihiyo alivyojiuzulu baada ya kashfa ya kufoji vyeti

Jinsi mbunge Ramadhan Kihiyo alivyojiuzulu baada ya kashfa ya kufoji vyeti

Hicho si kigezo cha magufuli kumkumbatia Daud Bashite
Nimeuliza majina halisi ya Mbowe maana mara kwa mara akitajwa DAB lazima Mbowe atajwe kwenye suala vyeti, kama Mbowe alifeli na anatumia majina yale yale sidhani kama ni kosa
 
Kama sifa ni kujua kusoma na kuandika hao madaktari na ma prof wanachomolewa wa nini huko vyuoni si waachwe watuelimishie watt wetu,wanaojua kusoma/kuandika wamejaa mitaani kibao!
 
Lakuvunda halina ubani,kama anasingiziwa si aweke mambo hadharani.
 
Ndio maana kira ck tunasema serekali haina nia njema na wananchi tumehakikiwa Mara 4 Leo unatwambia wabunge mawaziri na Wakuu wamikoa haiwahusu kweli?
 
Kihiyo alijiuzulu kuogopa kukutwa na hatia ya kudanganya wapiga kura kuhusu elimu yake
Bashite ashitakiwe kwa kujipatia nafasi ya elimu ya juu kwa kutumia vyeti vya kughushi
Kusema Magu atamtimua kwa kosa hilo ni ndoto kwani mahaba yake kwa Daudi hayatamruhusu
 
Wadau tangu tarifa itoke kuwa viongozi wa nafasi ya kisiasa sifa kuu ni kujua kusoma na kuandika, kwanini sasa mahakama ilimvua ubunge bwana kihio aliyeshinda nafasi ya ubunge Temeke mwaka 1995 ikiwa sifa ni kujua kusoma na kuandika?

kwanini walimvua nafasi yake kwa kosa la kudanganya elimu yake kwanini wasingempa adhabu nyingine ikiwa sawa na kufoji vyeti baadala ya kumvua ubunge bado nawaza tu
 
Kihiyo hakuvuliwa ubunge alijiuzulu mwenyewe kati kati ya kesi kwa madai afya yake siyo ya kuridhisha nyie mmezaliwa lini mbona kizazi hiki kimejaa uongo au makusudi
Nyie member wapya nyie mna matatizo sana ebu kaa chini acha wenzako waongee
 
vilaza nyie na Team Mange...KIHIYO ALIVULIWA UBUNGE NA MAHAKAMA BAADA YA KESI ILIWASILISHWA NA MREMA CHINI YA UWAKILI WA LAMWAI...KAMA MNA USHAHIDI WA MTU MWENYE VEYTI FEKI NENDENI MAHAKAMANI NA MKISHINDA MHUSIKA ATAVULIWA NYADHIFA ZAKE .

BLAH BLAHH ZA INSTA HAZISADII...ANZENI NA KESI YA VYETI VYA MBOWE MBURULAZ NYIE
Jina lako na ulichoandika vinafanana JINGA LAO
 
vilaza nyie na Team Mange...KIHIYO ALIVULIWA UBUNGE NA MAHAKAMA BAADA YA KESI ILIWASILISHWA NA MREMA CHINI YA UWAKILI WA LAMWAI...KAMA MNA USHAHIDI WA MTU MWENYE VEYTI FEKI NENDENI MAHAKAMANI NA MKISHINDA MHUSIKA ATAVULIWA NYADHIFA ZAKE .

BLAH BLAHH ZA INSTA HAZISADII...ANZENI NA KESI YA VYETI VYA MBOWE MBURULAZ NYIE
We tulia utakuja ona usiwe na haraka
Kuna kesi tayari ipo mahakamani,itajulikana tu
 
We tulia utakuja ona usiwe na haraka
Kuna kesi tayari ipo mahakamani,itajulikana tu
ianze haraka na wadhibiti akina GSM wasitembeze Rushwa na ndumba za Bashite kwani sasa anamiliki utitiri wa waganga wa kienyeji.
 
Vifungu vya sheria ya kughushi vyeti imehamia kichwani mwa JPM.
 
Elimu ya Tanzania imebakwa kwa manufaa ya watawala...Sheria zinapindishwa kumlinda mteule wa rais..

EDUCATION reputation has fallen a natural death..Leo hii Bashite amekuwa chanzo cha kubadili katiba na kupindisha mambo mengi ili kumlinda...Bashite ana nini kwa ujumla...hadi mawaziri wanamuogopa

Rais anamuogopa? Tunaenda wapi..tz nakupenda
 
Wadau tangu tarifa itoke kuwa viongozi wa nafasi ya kisiasa sifa kuu ni kujua kusoma na kuandika, kwanini sasa mahakama ilimvua ubunge bwana kihio aliyeshinda nafasi ya ubunge Temeke mwaka 1995 ikiwa sifa ni kujua kusoma na kuandika?

kwanini walimvua nafasi yake kwa kosa la kudanganya elimu yake kwanini wasingempa adhabu nyingine ikiwa sawa na kufoji vyeti baadala ya kumvua ubunge bado nawaza tu
Kufoji ni kosa la jinai ni kashfa
 
Sasa vyeti vya nini waliangalia ikiwa sifa kuu ya ubunge ni kujua kusoma na kuandika vyeti vya nini ikiwa vyeti ni sifa moja wapo ya kuwa mbunge mbona wabunge hawajakaguliwa sasa kama kuwa na vyeti feki au halali ndio sifa ya ubunge
 
Back
Top Bottom