Jinsi mbunge Ramadhan Kihiyo alivyojiuzulu baada ya kashfa ya kufoji vyeti

Hajasema mahali popote ni ruksa
 
Kumshitaki bila ushahidi ni ujinga
 
Kwanini usiende mahakamani
 

sasa we mjinga umepeleka kesi mahakamani? mbona mnakuwa wasengerema?
 
CCM bila Aibu wanatetea vyeti Feki vya Daud Bashite ni bora watangaze kuanzia sasa kuwa ni ruksa kwa wakuu wa mikoa na wilaya kumiliki vyeti bandia watanzania wajue moja wapate kutoa maamuzi ya jumla.
Hakuna aliyetetea kama una ushahidi peleka mamlaka husika
 

mtanzania halisi, halafi mama wa familia

ulichofanya ni kujaza post zisizo na matokeo!
kwa nn usifungue kesi??
 
Waziri Kairuki ameonyesha udhaifu mkubwa sana, maelezo yake ni kichekesho na yanaonyesha jinsi serikali ilivyojaa usanii na double standard. Kwa lugha nyepesi anamaanisha ni halali kwa kiongozi wa juu wa serikali kufanya udanganyifu wa vyeti lakini ni kosa la jinai kwa mwananchi wa kawaida kutenda kosa hilo...huu ni usanii uliopitiliza
 
Sauti za taarabu ni burudani!
 
Safi sana wanaomtuhumu wampeleke mahakamani nashangaa wanalalamika tu kila siku mwezi wa TATU huu
 
Sasa kama bashite ana vyeti feki kwa nini anachwa aendelee na maradaraka ya ukuu wa mkoa
Una ushahidi? kihiyo alifikishwa mahakamani akapigwa na lamwai wakili wa mrema mpk akaandika barua ya kujiuzulu kwanini na nyie msimburuze mahakamani?
 
Kwanini asipelekwe mahakamani tume haina adhabu ya kifungo jela
Tume ikithibitisha kuwa jamaa ni Bashite, huoni huo utakuwa ni mwanzo mzuri wa kwenda mahakamni?
Najua alikuwa na sababu za msingi kupelekahuko alikopeleka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…