Jinsi Mike Tyson alivyokaa Miaka 5 bila kushiriki Ngono, wewe ungeweza?

Jinsi Mike Tyson alivyokaa Miaka 5 bila kushiriki Ngono, wewe ungeweza?

Nina mwaka mmoja na nusu sijashiriki ngono zaidi ya kujichukulia hatua mkononi mara chache kwa afya!
 
Kujichukulia hatua mkononi ni ngono tu sababu una mwaga shahawa hizo mkuu

Mimi namaanisha ku abstain kabisa
acha uzushi kujichukulia sheria mkononi inakuaje kundi moja na ngono?
maana ya ngono ni nini na maana ya kujichukulia sheria mkononi nini maana yake?
vipi ukiota ndoto pendwa ukamwaga nayo ni ngono?

uzushi tu!
😎😎😎
 
Hata mimi sijwahi zidi mwaka 1 acha nijaribu ya miaka 5 kama tyson nione impact yake
Unaanza bila lengo?
Kila njia itakufikisha.
Mwenzio alilenga jambo, wewe unalenga nini?
 
Ni uamuzi kama una kitu muhimu unacho kitaka
Kwani ngono ni lazima?
Nipe pesa wewe baki na ngono!
 
Back
Top Bottom