Jinsi Mike Tyson alivyokaa Miaka 5 bila kushiriki Ngono, wewe ungeweza?

Hv nyie mnawezaje kukaa mda mrefu bila kupata utelezi, nikijinyima hainifanyi kua na stamina sema inanifanya kua na hasira, uchovu flan, Kuna namna nakua mzito kufanya maamuzi hata ratiba binafsi sitekelezi Kwa ufanisi pia nakosa utulivu wa akili
 
Fanya kazi ingiza Pesa utasahau hata harufu ya cooma ipoje au cooma inanukaje,
 
Kaka hela natafuta sana harakati za hapa na pale nazifanya sana ndo maana naishi hapa mjini lkn haibadilishi uhitaji wa kudinya 🤔
Bado huna kazi inayokukeep busy wewe una kijikazi tu, itoshe kusema hivyo na atosha kujaji ulichokielezea njaa za kichwa Cha chini zinazidi uwezo wa kichwa Cha juu hilo ndio tatizo ulilonalo, tafuta kazi itakayo kukeep busy 24/7 7 days a week 365 day non stop tuone km utaiwaza hata robo hio cooma au kuona cooma inaonekanaje, maana muda wote utakua ukiingiza cheda tu unapeezi hapo hapo, ushaelewa namaanisha nini ?
 
🤣🤣🤣24/7 days 365

Kaka angalia namna ya kurahisisha unachokifanya usijitese ili uepuke kula mema ya dunia.
Nature ya kazi nazofanya ni za kutumia mouse
 
Hata apetite ya kula sometimes siipati nashtuka Giza limeshatanda nashtuka tayari kumeshakucha kumepambazuka,
 
Watu tumefika mwaka wa 25 hatujawahi kufanya tangu tuzaliwe niiiini Tyson!
 
Back
Top Bottom