Jinsi Mike Tyson alivyokaa Miaka 5 bila kushiriki Ngono, wewe ungeweza?

Jinsi Mike Tyson alivyokaa Miaka 5 bila kushiriki Ngono, wewe ungeweza?

Jicho la tatu?

Ndio , lengo kubwa hasa la kufanya hiyo ‘Semen Retention’ yaani kuzuia kutoa manii/Shahawa kwa kutokujamiina au ukijaamiiana na mwenza wako/mke unaweza kuzuia kutoa manii/shahawa kwa njia ya ‘dry orgasm’ pale unapofika mshindo (climax) hii itapelekea kudhibiti nguvu zako za ki mwili na ki Roho na kuelekeza hiyo nguvu kubwa kwenye maeneo mengine (kuimarisha mwili na udhibiti wa nafsi) mfano ni kama mtoa mada alivyosema kwa Mike Tyson alivyo jiepusha kujamiiana ili kulinda uimara wake wa kimwili (na ikamsaidia ulingoni ktk mapambano yake) na hiyo inasaidia pia kiroho na masuala yote ya utambuzi na usafi wa nafsi

Nakuomba ukipata muda unaweza soma kitabu kinaitwa ‘Semen Retention Miracle’
 
Nyie ke hapa hamna effect maana nyie mnapoteza tiyari daily kwenye period [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].

Ila sisi me ina msaada sana
Msitutenge na sisi ni hivyo hivyo kama ninyi [emoji28] tunakuwa na nguvu balaa. [emoji40][emoji40]
 
Kuweni makini isije ikawa ni technic ya wahamasishaji wa ushoga na usagaji. Lengo la hawa wapumbavu ni kutaka tusizaliane, ivi mwanaume rijali unakaaje miaka mi5 bila kumgonga demu?? Hilo godoro unalolalia si linajaa mabao kila Kona? Boarding tu miezi minne tulikuwa tunateseka sasa mtu anakuja hapa kusifia dume linakaa miaka 5 kweli??? Kuna mwamba kadi's like comment yangu hapo juu, isije ikawa wale wahamasishaji wamo humu! Huo ni mtazamo wangu tu! Five years without sexual intercourse never!! Unless Kuna tatizo la kiafya
 
Usifikiri negative mkuuu kila kitu duuh
Endelea ku dislike tu naona uko kazini! Nikikutana na ww uso kwa uso ukanihamasisha huu upuuzi unakula za uso! Yaani nikae kuanzia Leo tarehe 11 may 2023 Hadi tarehe 10 may 2028 bila kufanya mapenzi Kuna kuzaliana kweli hapo? Hata tembo tu hawakai hivyo! Wewe komaa na kazi inayokulipa ila usikutane na mm
 
Endelea ku dislike tu naona uko kazini! Nikikutana na ww uso kwa uso ukanihamasisha huu upuuzi unakula za uso! Yaani nikae kuanzia Leo tarehe 11 may 2023 Hadi tarehe 10 may 2028 bila kufanya mapenzi Kuna kuzaliana kweli hapo? Hata tembo tu hawakai hivyo! Wewe komaa na kazi inayokulipa ila usikutane na mm
🤔🤔🤔🤔 Acha nikae kimya tu hii id hainiruhusu niwe mkorofi

Ngoja nikuongeze kwenye ignore list RIP to you kwaheri ukae huko kwenye gereza tulivu 🤖🤖🤖🤖
 
Za sahizi wakuu,

Leo, hebu tuongee juu ya safari isiyo ya kawaida ya shujaa wa ndondi Mike Tyson na uamuzi wake wa kukaa bila kujihusisha kimapenzi kwa miaka tano ya kushangaza. 🥊

-Mike Tyson, anayejulikana kwa ngumi zake zenye nguvu na mtindo wa kupigana kwa ukali, alikabili changamoto nyingi katika kazi yake. Mojawapo ya maamuzi yasiyotarajiwa kabisa aliyoyafanya ilikuwa kuanza kipindi cha kujiepusha na uhusiano wa kimapenzi.

-Mwaka 2009, Tyson alitangaza hadharani uamuzi wake wa kujizuia na kujiepusha na ngono kwa kipindi cha miaka mitano. Alifanya uchaguzi huo kama sehemu ya kujitolea kwake kwa kazi yake ya ndondi na ukuaji wake binafsi, akilenga kuweka nguvu yake kabisa katika mazoezi na kujiboresha.

-Uamuzi wa kujiepusha na ngono kwa kipindi kirefu kama hicho unaweza kuonekana usio wa kawaida, lakini unasisitiza nidhamu na azimio kuu aliokuwa nao Tyson. Alitambua kwamba uhusiano na mahusiano ya kimapenzi yanawezaleta kero na aliamua kuyatenga kabisa katika maisha yake.

-Kujiepusha kwa Tyson hakukuwa tu kuhusu kuepuka kujamiana kimwili pia kulihusisha kutafuta amani ya ndani na ya akili. Kwa kuondoa hamu za kimapenzi na mahusiano katika maisha yake, alilenga kufikia kiwango cha juu cha umakini katika ndondi.

- Kwa miaka hiyo mitano, Tyson alijitolea kikamilifu kwa utaratibu wake wa mazoezi, akiiweka mwili na akili yake kwenye mipaka mipya. Alifuata maisha ya nidhamu, akizingatia lishe yenye afya, mazoezi makali, na kutenga masaa mengi kwa mazoezi ya ndondi.

-Kwa kutumia nishati yake ya kimapenzi katika mazoezi yake, Tyson alipata lengo jipya na hamasa. Alifanikiwa kuchochea motisha ya kipekee, akijisukuma kuwa bondia bora na kuboresha ustawi wake kwa ujumla.

- Uamuzi wa Tyson pia uliathiri sana hali yake ya kiakili na kihisia kwa kumfanya awe very aggressive kwenye ndondi 😊😃😃View attachment 2615771

JE WEWE NDUGU YANGU UNGEWEZA

MIMI BINAFSI HAIWEZI PITA MIEZI 5 😃😁😁😁😁😁😁
Raha ya mwanaume mshaambiwa Ni wakati anamwaga haijalishi kamuiingilia Nani


Binafsi naweza ishi 5yrs nikijichua .sifanyi ngono
 
Hii ni kweli kabisa mi niliwahi fikisha mwaka 1 nilkuwa na nguvu hatari asee nalala hata masaa 2 kwa siku na bado energy imo ndani aseee noma kweli

Safari hii acha niianze upya nimekuwa mzinzi sana hivi majuzi 😏
Mhm ebu wacheni ujinga wenu hapa. Ukitomber ndio unakuwa na nguvu maana kwanza stress huna.
Tatizo yenyuu mnataka goli moja mpige dakika 40. Wee hii ni 2min tosha
 
Back
Top Bottom