Jinsi Mike Tyson alivyokaa Miaka 5 bila kushiriki Ngono, wewe ungeweza?

Jinsi Mike Tyson alivyokaa Miaka 5 bila kushiriki Ngono, wewe ungeweza?

Ila mwanaume mwenye akili zake timamu kukaa miaka 5 bila ngono mixer kujichua Ni Jambo gumu Sana.

Kweli watu hatufanani,sir wengine kumaliza hata Mwezi Ni mtihani Sana.
Binafsi niliwahi jaribu zoezi la nofap challenge uvumilivu ukanishinda nikapiga chini.
mashart na vigezo tu mkuu
 
Tyson ni mwongo. Haiwezekani kabisa hayo anayodai kuwa kweli. Isitoshe mwana michezo wa level yake enzi hizo na hata leo hii hahitaji ku boost testosterone levels zake eti kwa kuacha kufanya ngono. It's bullshit. Kuna madawa kibao angewezwa kutumia ambayo yangeongeza testosterone levels kwenye damu. Haya madawa hata boxers mabingwa wa sasa waliyo kwenye pound-for-pound best list wanatumia na wanapeta. Ulimwengu wa masumbwi/ndondi na vyama vinavyosimamia vimejaa rushwa kubwa.
 
Seriously mkuu,yule uliyeniona nae Jana ni rafiki yangu tu...na aliweka kichwa tu.Sa hapo utasema tulizagamuana kweli?
Umechanganya ma file jana sikukuona wala kuchat na ww hivyo sielewi unachoongea au umenifananisha?? 🤔
 
Uamuzi wa Tyson pia uliathiri sana hali yake ya kiakili na kihisia kwa kumfanya awe very aggressive kwenye ndondi.

chunga sana hayo maneno!
 
Back
Top Bottom