Jinsi mrembo alivofanya niende mahabusu kwa mara ya kwanza

Shida ulitaka kutumia changamoto upate mzigo in a wrong way.
Kuna kanuni ya kutumia matatizo kama fursa ambazo hukuzingatia. Ilitakiwa ucheze na saikolojia na vitendo bila kuongea, unaacha room ya maneuver (mixed and dilema intention)
 
Piga chini hakuna jipya hapo
 
Me siku ya kwanza kwenda selo nmerudi tu ghetto nmefua nmeoga simu ilivyo kuwa on nikamwambia nipo akaja nikaichapa kama pole
 
Uzuri yeye ni mwanaJF anausoma uzi wako. Atakujibu
 
Labda bado ulikuwa na harufu ya sero (cell)
 
Piga chini
Piga chini
Piga chini

Nilikuwaga na demu wa dizaini hiyo, akiondoka kwangu hata Kama timelala wote hapokei Simu hata Kama amepnda basi na umejirishisha amepanda basi.

Utashangaa jioni ndio anakutafta na sababu hazieleweki.
Aliniaumbua sana.

Piga chini
Piga chini
Piga chini
 
Unaandika vibaya sana, huna nukta wala mkato. Uandishi wa namna hii unachosha kusoma.
 
Shida ulitaka kutumia changamoto upate mzigo in a wrong way.
Kuna kanuni ya kutumia matatizo kama fursa ambazo hukuzingatia. Ilitakiwa ucheze na saikolojia na vitendo bila kuongea, unaacha room ya maneuver (mixed and dilema intention)
kivip mkuu fafanua kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…