Jinsi Muungano unavyoathiri Waislamu wa Tanganyika wakati wale wa Zanzibar wakineemeka

Wewe ni mjinga wa kiwango cha juu sana,Jiografia ya Tanzania inaruhusu hivyo mji mkuu wa Tanzania Dar es Salaam unapatikana katika eneo ambalo asilimia 75% ya wakazi wake kiimani ni Waislam,hivyo fursa nyingi zinazoiwakilisha nchi lazima watu walio karibu na huo mji wawe wengi.
 
Tanganyika iko wapi!?
 
Hawa watu sampuli ya mleta uzi huu ni hatari sana na mawazo kama haya yakikomaa yanazaa element ya ugaidi. Kila wakati mtu anawaza udini tu utafikiri hiyo dini ndiyo inampatia mkate wake wa siku.
Unakuaje Kama haimpatii mkate?
 
Kabisa, wagalatia hasa Waroma hawana shida, tunakaa nao makazini hata majumbani yaani safi tu, kazi yangu niliyonayo sasa ni mgalatia tena wa kanda ya nyonyo ndiye aliniunganisha aisee!!

Sema ukutane na wenzetu wenye suruali fupi wanaopata mafunzo maalumu pale msikiti wa Switkona pale Sinza darajani kwa mbele kidogo karibu na shule ya Tandare Mangharibi; ayayayaya wale sooo...kwanza wanatubagua siye Wengine ati si Waislam.

Kuna siku nitasema jambo msikitini mbele ya mashekh wetu kama viboko nitatandikwa tu kwani nini?
 
Kipindi hiko..

Umemaanisha nini? Hivi mtaacha lini kuandika Kiswahili cha vidada vinavyoanza kuota matiti?
Mkuu nadhani naandikia Waswahili wenye mchanganyiko wa Wabara, Wamwambao na wale wanaozungumza lahaja nyingine za Kiswahili. Nikifanya hivyo ili kila mtu afahamu. Ningekuwa nazungumza kwetu ningeandika 'hicho'. Wewe ungandikaje? Kiswahili ni mchanganyiko wa lahaja nyingi, hivyo unapaswa kuwa mvumilivu; vinginevyo itabidi mimi na wewe turudi darasanie, jambo ambalo
 
Kweli mwanangu, sema sisi Waislam wengine bado njaa kali mwanangu, yaani makato yaani makato ya kodi mpaka ndoa zinayumba *****

Ooh! Sawa nimekuelewa Mkuu! Tuko pamoja!
 
Mie sitaki kujua kuhusu dini ya aliyeteuliwa na ktk hiyo dini, Ni mwanadini wa upande upi wa muungano amenufaika

Swali langu Ni Je, mambo haya ya LATRA Ni ya muungano? Kwamba LATRA ipo mpaka Zanzibar?
 
Mie sitaki kujua kuhusu dini ya aliyeteuliwa na ktk hiyo dini, Ni mwanadini wa upande upi wa muungano amenufaika

Swali langu Ni Je, mambo haya ya LATRA Ni ya muungano? Kwamba LATRA ipo mpaka Zanzibar?
Na mimi nasubiri wajuzi wa hili jambo waje.
 

Kumbe huwa mnakula mboko aisee,pole sana.
 
Brigedia Adam Mwakanjuki, Jaji Augustino Ramadhani, Charles Hilary......
Mkuu mimi naogezea Modline Castico, Suzan Kunambi, Marina Joel Thomas na Joseph Kilangi. Hawa wote hivi sasa ni wakuu Serkalini ukiacha Castico ambaye amestaafu. Suzan na Merina ni wakuu wa wilaya na Joseph ni Katibu Mkuu au Mkurugenzi.
 
Brigedia Adam Mwakanjuki, Jaji Augustino Ramadhani, Charles Hilary......
Huyu makanjuki alishafariki ila jamaa alikua roho mbaya sanaaa alikua akifanya kazi pale wizara ya mawasiliano alifariki kwa ajali kma sijakosea
Kuna ishu iyo aliwahi fanya ila siwezi sema hpa dah
 
Bro. Missile of Nation@
Umefanya uchambuzi muhimu sana ambao wengi hawajuufikiria. Kwakweli ni muhimu sana Waislam wa Tanganyika waanze kuhitathmini uwakilishi wao ktk Muungano.

Inasikitisha kuona ndugu zetu wa Kikiristo kulingiza hisia zao za kijinga ktk huu uzi
 

Mimi Mkristo wa Kibandamaiti nasaidikaje hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…