Jinsi Muungano unavyoathiri Waislamu wa Tanganyika wakati wale wa Zanzibar wakineemeka

Jinsi Muungano unavyoathiri Waislamu wa Tanganyika wakati wale wa Zanzibar wakineemeka

Ooh! Hapana hujagundua, Waislam sisi tunapata kwa kuangaika sana kuanzia kwenye kuuza maandazi n.k lakini wenzetu wengi huko serikalini wanajichotea Mahela mengi mno na kuyaficha.

Wanatupa data za uongo kuwa sisi ndio matajiri kumbe sikweli. Unaufahamu utajiri wa Edward Lowasa? Marehemu Mfugale? Kijazi, vipi yule mhaya wa Heineken Rugemalila? Prof. Tibaijuka yaani wana mamilion ya dola sema wenzetu wajanja hawasemi katu na hela wameficha huko umangani.

Kikubwa Waislam wengi wanaonekana matajiri kwasababu wali/wanajishughulisha na biashara yaani baada ya kuona mfumo zamani kama uliwakataa wakaanza kuwa wafanyabiashara matokeo yake ikawa heri kwao. Lakini sasa hivi tumejanjaruka na hivi vinafasi vya serikalini jambo ambalo linazolotesha ufanisi wa uchumi bibafsi labda update shimo upige kwelikweli!

Muhimu kuepuka masuala ya udini japokuwa kwenye teuzi huwa haiepukiki kwani inaleta hisia za kipuuzi hata kama aliyeteuliwa hakusaidii chochote.

Mimi muislam ninayejielewa lakini Waislam wenzangu wanaoteuliwa ukiwaendea maofisini wakusaidie wanakupiga danadana tu tena unaweza au unasaidiwa na mkristo tena fresh tu, hapo ndo huwa nashindwa kuelewa udini huwa una nini cha maana; so their appointments have nothing to do with my success!

Kuna Waislam wamenufaika na urafiki wao na Wakristo lakini pia kuna wakristo wamenufaika na urafiki wao na Waislam. Ukikagua viwanda na makampuni mengi ya kiislam utawakuta wako wakristo kibao tena katika nafasi nyeti za HR, IT n.k

Hata Shule kubwa tu kama FEZA, ALMUNTAZIL n.k utawakuta Wakristo kibao tena wakuu wa vitengo wanajinyakulia mishahara minono vivyo hivyo kwa wakristo.

Haya mambo huwa tunayaangalia sisi watu wa chini yaani kajitu kapo kishemundu hakana hata hekari ya mahindi lakini utasikia kanashangilia kuteuliwa boss fulani kisa tu ni dini yake. Upumbavu kama huu unaukuta Afrika hususani Tanzania.

Udini ni sumu, mfano Muislam kama Bashiru Ally aliibuliwa na Magufuli Mkristo kutoka kusiko (Ex nihilo) mpaka kuwa KMK, lakini ukimkuta sehemu utakuta anakwambia Waislam siyo kabisa!

Mtu kama Makonda (natolea mfano) aliibuliwa na Kikwete Muislam kutoka kusiko lakini unaweza kumkuta sehemu anawaponda Waislam na udini.

Nilikaa chini nikagundua kama dini ndo zinaleta mfarakano huu basi hazina maana! Umaana uje kwa kuutanguliza upendo wa ubinadamu wetu ambao Allah alituumba nao.

Wabillah wataufiq!

makufuli na ukristo wake aliwajengea waislamu misikiti, kikwete alijenga wapi?
 
Wazanzibari, kwa mujibu wa Sensa ya 2022, ni Asilimia 1 (01%) ya Watanzania. Wanapangiwaje Asilimia 25 (25%) ya nafasi za Ajira katika Serikali ya Muungano?

Hii ni kero kubwa ya Muungano. Kero nyingine kubwa ni vipi SSH awe 'Rais wa Tanganyika' (kwa maana ya kuwa na absolute power over Mainland Tanzania hata juu ya 'Mambo ambayo siyo ya Muungano' wakati Rais Mtanganyika hana mamlaka Zanzibar kwa mambo yasiyo ya Muungano?
Hivi na wewe kwa busara zako ulizopewa na Muumba unaamini kwamba asilimia 25 ya ajira wanapewa Wazanzibari?

Hebu punguzeni dhambi kidogo zungumzeni ukweli na kama hamuna taarifa sahihi basi bora kunyamaza
 
Waislamu wa Tanganyika wakitaka wale matunda ya uhuru wa Tanganyika, structure ya huu muungano lazima ibadilike au Muungano ufe. Otherwise watajikuta siku zote wamewekwa mtu kati na Waislamu wa Zanzibar na Wakiristo wa Tanganyika. Maana power iko kwa makundi hayo mawili.
 
Waislamu wa Tanganyika wakitaka wale matunda ya uhuru wa Tanganyika, structure ya huu muungano lazima ibadilike au Muungano ufe. Otherwise watajikuta siku zote wamewekwa mtu kati na Waislamu wa Zanzibar na Wakiristo wa Tanganyika. Maana power iko kwa makundi hayo mawili.
Mkuu naunga mkono hoja. Hemu basi a
Waislamu wa Tanganyika wakitaka wale matunda ya uhuru wa Tanganyika, structure ya huu muungano lazima ibadilike au Muungano ufe. Otherwise watajikuta siku zote wamewekwa mtu kati na Waislamu wa Zanzibar na Wakiristo wa Tanganyika. Maana power iko kwa makundi hayo mawili.
Hemu basi anza ili tukomboke
 
Nakubaliama na wewe 100%. Hali ni mbaya zaidi CCM. Ukiangali structure ya uongozi ya CCM utaona nafasi walizonazo Waislam wa Zanzibar ni nyingi kuliko wale wa Bara. Na hii inatokana na kwamba CCM wenyewe wanataka Wazanzibar wawepo kwenye uongozi ambao automatic ni Waislam so inapokuja nafasi wapewe watu wa Bara, nafasi wanachukua Wakristu kwa zaidi ya 80%
Kwanini wasihamie visiwani?
 
Nakubaliama na wewe 100%. Hali ni mbaya zaidi CCM. Ukiangali structure ya uongozi ya CCM utaona nafasi walizonazo Waislam wa Zanzibar ni nyingi kuliko wale wa Bara. Na hii inatokana na kwamba CCM wenyewe wanataka Wazanzibar wawepo kwenye uongozi ambao automatic ni Waislam so inapokuja nafasi wapewe watu wa Bara, nafasi wanachukua Wakristu kwa zaidi ya 80%
Kwanini wasihamie visiwani?
 
Hii mada iko objective. Utapotea sana ukiijadili kwa hisia, udini au ushabiki.

Hii mada siyo ya kidini ndiyo maana Inahoji namna gani waislamu wa upande mmoja wanufaike zaidi kuliko wa upande mwingine licha ya wote kuwa dini moja.

Kwa hiyo weka hisia pembeni, njoo tujadili hili suala la kijamii tukiwa open minded!

Hii mada Ni ya UDINI [emoji817] au wewe unadhani udini maana yake nini?
 
Ukiwaanzishia uzi ili kujua nao wanaathirika vipi itapendeza sana. Itatusaidia kuutazama upya muungano wetu.
Unaonekana tuu mbinafsi, huwezi kutaka amani na nafuu ya upande mmoja kwa kuacha kuzingatia upande mwingine kwa kigezo cha kuacha watu wengine wawasemee. Uzi wako umekosa mantiki kwa kitu kidogo tu, mtu anaweza asianzishe uzi mwingine, ila aka dump kila ulichoandika kwa sababu hiyo tu.
 
Katika nchi hii, Muhimili wa Power upo katika makundi makubwa mawili. (a) Wakiristo wa Tanganyika (b) Waislamu wa Zanzibar.

Haya Makundi ndiyo makundi makuu yenye mamlaka za kisiasa hapa nchini. Hali hii inawaathiri sana Waislamu wa Tanganyika, nitaeleza.

a) Kutokana na kwamba kule Zanzibar Waislamu ni Majority, basi nafasi yoyote ya Uteuzi ktk serikali ya Muungano, kama mzanzibari ndiye atateteuliwa, basi kuna probability kubwa kuwa mtu huyo akawa Muislamu. Na hivyo basi wakishateuliwa kushika hizo nyadhifa Inakuwa ni vigumu sana kwa nafasi nyingine zilizobaki kuteua waislamu wengine wa Tanganyika kujaza au kuchukua nafasi hizo zilizobaki, Ili isije kuonekana teuzi zimelalia watu wa dini moja. Kwa hivyo basi, nafasi zilizobaki watateuliwa Wakiristo wa Tanganyika.

Chunguza teuzi nyingi za Serikali, hata serikali hii ya awamu ya Sita. Utaona wazi kuwa kama aliyeteuliwa ni muislamu, basi kunakuwa na uwezekano mkubwa wa mteuliwa huyo ni Muislamu wa Zanzibar badala ya Muislamu wa Tanganyika.

b) Tatizo hilohilo pia linajitokeza katika Ajira na Utumishi. Wazanzibari kwa mujibu wa Makubaliano ya kimuungano, wameshatengewa asilimia 25 za ajira zote za Muungano. Halafu asilimia 75 zimebaki kwa Watanganyika. Sasa huku Tanganyika maana yake ni kwamba Wakiristo wa huku na Waislamu wa huku na watu wachache wa dini nyingine ndo wanagombea asilimia 75 zilizobaki.

Hii pia inawaathiri Waislamu wa Tanganyika kwa maana, HR Manager au mamlaka za ajira zinapoletewa requirement ambayo tayari 25% ni watu wa dini moja, Ni vigumu kudhani watakuwa malaika kuongeza namba ya watu wanaofanana na hao ambao tayari wameshalamba shavu. Watataka watu wa Imani nyingine ili kuoffset imbalance ya kiimani. Hapa ndipo Waislamu wa Tanganyika inapokula kwao!

KWA HIYO
1. Huu muungano, kwa namna Ulivyo Waislamu wa Tanganyika ni kama Pawns, ila Wakiristo wa Tanganyika na Waislamu wa Zanzibar ndiyo King Makers

2. Ipo haja ya kukaa mezani seriously na kuangalia aina gani ya Muungano tunayoitaka (Kama muungano wenyewe unamake sense anyway), Na tukikaa Mezani tuzungumze Masilahi serious ya kila kundi, siyo habari za tumeoleana kwa muda mrefu. Mambo ya kuoa na kuolewa ni personal hayana maslahi mapana kwa Taifa.

3) Waislamu wa Tanganyika sasa nao waamke, waanze kudai uwakilishi zaidi serikalini, katika teuzi mbalimbali za kuhudumu serikalini n.k

Inabidi wadai kunufaika ipasavyo na matunda ya uhuru (walioupigania sana wakati ule wa kudai uhuru) ikiwemo ajira, na utumishi wa ndani ya serikali
vipi Wakristo wa Zanzibar ?! Wao je hawajatengwa kama walivyotengwa "watukufu waislamu wa Tanganyika" ??

Waislamu hua ni walalamishi, complainers sana wataka upendeleo tu, wabinafsi na washari. Hii dini ya kuhaidiwa mabikra 72 hua ina matatizo sana.

Yani hapa mtoa mada anaona Waislamu wa Tanganyika wanaonewa ila kajivika upofu wa Wakristo wa Zanzibar ambao hata kuabudu wanakatazwa, haki ya kumiliki ardhi wamenyimwa, nafasi za ajira wanatengwa.
 
Naona kisa kupewa huyo Mzanzibari Uenyekiti wa bodi ndio umekosa raha.

Nyie viumbe mna matatizo sana, wakati wa Magufuli mlikuwa mnalalamika anapendelea wakristo wenzake, leo amekuja mwenzenu bado mnaendelea kulalamika anapendelea kule atokako hata kama anawateua waislamu wenzenu..

Sikutegemea kwa namna mnavyobebwa huku bara kwenye teuzi siku hizi, bado mtazitolea macho nafasi za Zanzibar ikiwa bado wanapewa waislamu wenzenu, huu ubinafsi sijawahi kuuona hapa duniani, nyie iko siku mtatafunana..
hawa wafuasi wa kuzawadiwa bikra 72 peponi hua wajinga sana
 
vipi Wakristo wa Zanzibar ?! Wao je hawajatengwa kama walivyotengwa "watukufu waislamu wa Tanganyika" ??

Waislamu hua ni walalamishi, complainers sana wataka upendeleo tu, wabinafsi na washari. Hii dini ya kuhaidiwa mabikra 72 hua ina matatizo sana.

Yani hapa mtoa mada anaona Waislamu wa Tanganyika wanaonewa ila kajivika upofu wa Wakristo wa Zanzibar ambao hata kuabudu wanakatazwa, haki ya kumiliki ardhi wamenyimwa, nafasi za ajira wanatengwa.
Sasa waislamu gani walalamishi, hawa wa Tanganyika au wa Zanzibar?
Maana mada inasema kuwa Waislamu wa Zanzibar wanakula shavu zaidi katka muungano kuliko wa Tanganyika
 
Sasa waislamu gani walalamishi, hawa wa Tanganyika au wa Zanzibar?
Maana mada inasema kuwa Waislamu wa Zanzibar wanakula shavu zaidi katka muungano kuliko wa Tanganyika
Waislamu wa Tanganyika wanalalamika, hivi mkuu umesoma andiko na hata haujaelewa na ni Kiswahili wakiandia kwa lugha ya malkia itakuwaje ?! Au na wewe ni mfuasi wa "munyazi mungu" unatetea tetea bila hoja. (Hii pia ni sifa kuntu ya wala tende na wanufaika wa bikra za peponi)
 
Ndio mana tunataka tuwe na nchi moja yenye serikali moja ili huu upuuzi unao uwaza mleta mada usiwepo.
Yes!. Muungano wa serikali Moja nchi moja ndio utaleta maana,sijui nini kinashindikana.
Kama kunakinacho shindikana then uvunjwetu haunafaida yoyote sanasana utakuja kuleta shida kubwa huko mbele.
 
Lakini unasahau kwamba labda Uchumi wa Tanzania karibia wote kwa >85% umeshikikiwa na Waislamu, leo hii Mtanzania yoyote akitafuta kazi private sector hakwepi Uislamu, hivyo Waislamu Tanzania ndiyo wako privileged na wanamiliki Uchumi wa nchi na Mbuga zetu na rasilimali Waislamu ndiyo wamiliki, sijawahi kusikia mfanyabiashara mkubwa Mkristo ukiondoa Mengi (RIP) na alipigwa vita kweli kweli hata na Wakristo wenyewe ingawaje alipambana.

Hivyo kama ni Haki na Mpambano Wakristo ndiyo wanaopaswa kupambana na kuamka pia kumiliki Keki ya nchi, wanaoneemeka na Tanzania ni Waislamu, Wakristo wengi wamelala they don’t own anything wanafikiri Ubunge au Uwaziri ndiyo kila kitu kumbe wanasahau wanao pool strings Tanzania ni Wafanyabiashara na haijalishi raisi ni nani, na Wafanyabiashara wakubwa >75% ni Waislamu.

Kuanzia football wamiliki wa football clubs ni Waislamu Wakristo kazi yao kushangilia tu, wauzaji mafuta ya kula, Supermarkets, wamiliki wa vyombo vya Habari, Migodi, Mbuga zetu wote ni Waislamu, Wakristo nchi hii ni Watumwa tu kama Msigwa ingawaje hawalijui hilo, bado wamelala.

Hivyo kama kuna yoyote anayepaswa kupambana na kujikwamua ni Mkristo wa Tanzania, Waislamu wako vizuri sana kiuchumi, …
Waislamu wanaomiliki uchumi ni waarabu na sio waislamu weusi kama wewe.
 
Uko sahihi.

Kiuchumi, majority ya waislamu wana hali mbaya zaidi
Bora Wakiristo angalau wingi wao katika ajira za serikali unawapa wao na ndugu zao unafuu mkubwa zaidi wa maisha, ikiwemo kukopesheka, bima za afya na pensheni
Mbona kila kitu unakizungumzia kwa muktadha wa ”DINI”?

Mimi ukoo wangu wenye nyumba zaidi ya 38 hatuna mtu anaefanya kazi serikalini hata Mwalimu kwetu hatuna mbona tunaishi maisha standard tu?(kwamba kila mtu ana uwezo wa kutatua changamoto zake za msingi)je!unaweza kunielewesha ni kwa namna gani mimi Mkristo nisiyekuwa na mtu serikalini ninavyofaidika na uwepo wao huko?though hawanijui?
 
Waislamu wanaomiliki uchumi ni waarabu na sio waislamu weusi kama wewe.
Jina lenyewe anajiita Kijakazi meaning "MTUMWA"waliompa dini wamempa mpaka jina!

Huyu muulize wale waislam wa tandale chanika na mbagala kuwataja kwa uchache ambao huenda kukopa unga kwa mangi wakristo pale wanapokwama wananufaika vipi na utajiri wa mtu kama Mohamed Dewj na Rostam Aziz?
 
Back
Top Bottom