Jinsi Natepe alivyomhenyesha Rais Ali Hassan Mwinyi

Jinsi Natepe alivyomhenyesha Rais Ali Hassan Mwinyi

Uongo tu. Hakuna ukweli. Mwinyi alijiuzuru 1977 na aliyembadili ni Hassan Moyo.

Mwinyi alipelekwa kuwa Balozi. Sio kweli kwamba hakuwa na kazi.

Hassan Moyo Ali kuwa waziri mambo ya ndani muda mfupi.

Mwinyi alirudi kuwa waziri 1983

Stories za vijiweni
Kinyungu ukweli ni upi?
 
Story ya uongo na ya kutungwa

Mzee Mwinyi alijiuzulu 1976 sio 1983

1983-1984 aliekuwa Waziri wa mambo ya Ndani hakuwa Natepe alikuwa Dr Salmeen Amour Juma ( Komandoo )

Kuna mtu alinirushia kwa Wasap nikam challenge akaishia kuniambia yeye alifowadiwa nae kaifoward


Ally Hassan Mwinyi baada ya kujiuzulu Uwaziri aliempa notes ya kuhama kwenye Nyumba ya Waziri alikuwa Waziri wa Nyumba aliekuwa anahusika na Shirika la Nyumba ambayo ndio walikuwa wamempa Nyumba na ilijulikana baadae kuwa huyo Waziri alikuwa amepokea maelekezo toka juu


Ally Hassan Mwinyi akiwa hajui afanyaje aliokolewa na Hayati Mzee Kitwana Kondo aliemsitiri kwa kumpa Nyumba yake akae bure mpaka siku akiamua kwa hiyari yake kutoka

Natepe hakuhusika kwa namna yoyote ile na Mwinyi ‘kufukuzwa ‘ kwny ile Nyumba
Kinyungu hebu mjibu muhenga mwenzio
 
Hiyo hadithi ya mabati ina utata. Nimesikia Makweta ndie aliyechukua, pengine nimesikia ni Natepe, sasa nahisi kuwa ni Moyo! Ukweli uko wapi?

Amandla...
 
Inawezekana pia kuwa Makweta alipangiwa nyumba aliyokuwa anaishi Mwinyi maana nyumba nyingi za viongozi hazikuwa tied quarters. Na sijui kama waziri wa nyumba alikuwa na mamlaka ya kumtoa mtu kwenye nyumba maana zilikuwa zinagawiwa na utumishi au ujenzi. Hao ndio walikuwa wanatoa notisi ya kuachia au kuhama kwenye nyumba.

Amandla...
 
Uongo tu. Hakuna ukweli. Mwinyi alijiuzuru 1977 na aliyembadili ni Hassan Moyo.

Mwinyi alipelekwa kuwa Balozi. Sio kweli kwamba hakuwa na kazi.

Hassan Moyo Ali kuwa waziri mambo ya ndani muda mfupi.

Mwinyi alirudi kuwa waziri 1983

Stories za vijiweni
Tupo na wazee kama mimi hapa jamvini!!!

Je? Hassan Moyo alikuwa na uhusiano na Nassor Moyo?
 
Alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi mwaka 83 kama sijakosea nafasi yake aliteuliwa mzee mmoja kutoka Zanzibar anaitwa mzee Natepe kushika Uwaziri wa Mambo ya ndani ya nchi.
Mkuu Konzo Ikweta , kwanza asante kwa story hii kwasababu ni tukio la kweli ila umekosea dates na datas.

Unapokosea data wanaojua wakakusahihisha, ulipaswa kurekebisha bandiko lako. Mwinyi hakujiuzulu mwaka 83, alijiuzulu mwaka 1977 kwa tukio la 1976. Aliyemtimua kwenye nyumba sio Natepe ni Jackson Makweta.
Rekebisha Jinsi Natepe alivyomhenyesha Rais Ali Hassan Mwinyi
P
 
Back
Top Bottom