Nyanjilinji
Senior Member
- Oct 23, 2016
- 150
- 141
very interesting story hata kama ni ya uongo........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaitwa Natepe tuu hana surname wala la baba?Alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi mwaka 83 kama sijakosea nafasi yake aliteuliwa mzee mmoja kutoka zanzibar anaitwa mzee natepe kushika uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi.
Natepe alipoingia tu officen alimtaka waziri aliemtangulia kutoka katika nyumba ya waziri ili yeye aweze kukaa hapo kama waziri.
Ilikuwa shida kidogo maana waziri alieondoka bado alikuwa anatafuta makazi lakini alitakiwa haraka kutoka na Natepe.
Ikampasa mzee mwinyi kutoka kwa haraka na siku anatoka pale nyumbani alikuwa amenunua mabati 150 na mifuko ya saruji 100 ya kwake wala sio mali ya serekali.
Natepe alimkatalia kuvichukua akidai ni mali ya serekali kweli mzee mwinyi akaviacha akaondoka.
Baada ya miezi kadhaa tu mzee mwinyi akateuliwa kuwa Rais zanzibar Natepe wakati ana jifikiria jinsi ya kwenda kumpongeza na kumuomba radhi kwa aliyomfanyia kabla ya kufikiria njia mzee mwinyi akaletwa bara mwaka 1985 kama Rais wa JMT.
Hapa sasa Natepe akajua kazi hana na atatimuliwa haraka iwezekanavyo tena na kutengwa na nyadhifa za JMT kwakuwa kuna mabaya ya wazi na ya sirini aliyomtendea mzee mwinyi.
Mzee mwinyi baada tu ya kuapishwa kuwa Rais wa JMT wakati anateua baraza la mawaziri akamteua tena Natepe kuwa waziri pale pale mambo ya ndani.
Siku ya kumuapisha akamwambia Natepe sio kwamba nakupenda sana hapana ila napenda kazi yako unavyofanya endelea kufanya kazi.
Siku moja mzee mwinyi yupo ikulu kapumzika akaona malori yanaingia na akaambiwa mzigo wako huu mh Rais akashtuka mbona sijaagiza kitu mie??
Ndipo akaambiwa umetoka kwa natepe mzee mwinyi akacheka sana akawaambia wasaidizi wake shusheni mabati 150 na saruji 100 hizo ndio haki yangu zingine mrudishieni tu.
Kwani Magu hakumsamehe Nape?Natepe ashukuru kwamba hakumfanyia Magufuli.
Kwani Magu hakumsamehe Nape?
Sio mzee Natepe,anagalia kwenye orodha ya mawaziri wa miaka hiyo ambaye alimrithi mzee MwinyiWana JF
Nimepata sehemu katika soma soma za jumapili, nikakutana na maelezo fulani sijui kama yana ukweli maana yana kiwango kikubwa cha msamaha kwa watesi. Mwinyi alipata matatizo kwenye uongozi, akajiuzuru akiwa wizara ya mambo ya ndani, aliyeteuliwa ghafla akamtaka aondoke siku iliyofuata na afungashe kilicho chake, nisiku choshe soma mwenyewe.
View attachment 2049849
Yule mrundi angemngoa meno kwa meno yake.Natepe ashukuru kwamba hakumfanyia Magufuli.
Kwa mujibu wa kitabu cha Mzee Rukhsa. Waziri aliyehamia kwenye nyumba aliyokuwa akikaa Oysterbay ni Jackson Makweta. Pamoja na kwamba alizuia vifaa vyake lakini alipokiwa Rais alimteua Makweta kuwa WaziriSio mzee Natepe,anagalia kwenye orodha ya mawaziri wa miaka hiyo ambaye alimrithi mzee Mwinyi
Acheni upumbavu chadema Burundi ni nchi ya watuYule mrundi angemngoa meno kwa meno yake.
Kutoka chanzo kinachoaminika, alierithi nafasi ya wizara kutoka kwa mzee ruksa sio Natepe. Na haikuwa 1983 bali ni 1976.Alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi mwaka 83 kama sijakosea nafasi yake aliteuliwa mzee mmoja kutoka Zanzibar anaitwa mzee Natepe kushika Uwaziri wa Mambo ya ndani ya nchi.
Natepe alipoingia tu ofisini alimtaka Waziri aliyemtangulia kutoka katika nyumba ya Waziri ili yeye aweze kukaa hapo kama Waziri.
Ilikuwa shida kidogo maana Waziri aliyeondoka bado alikuwa anatafuta makazi lakini alitakiwa haraka na Natepe kutoka.
Ikampasa Mzee Mwinyi kutoka kwa haraka na siku anatoka pale nyumbani alikuwa amenunua mabati 150 na mifuko ya saruji 100 ya kwake wala sio mali ya Serekali.
Natepe alimkatalia kuvichukua akidai ni mali ya Serekali kweli mzee Mwinyi akaviacha akaondoka.
Baada ya miezi kadhaa tu mzee mwinyi akateuliwa kuwa Rais Zanzibar. Natepe wakati anajifikiria jinsi ya kwenda kumpongeza na kumuomba radhi kwa aliyomfanyia kabla ya kufikiria njia Mzee Mwinyi akaletwa bara mwaka 1985 kama Rais wa JMT.
Hapa sasa Natepe akajua kazi hana na atatimuliwa haraka iwezekanavyo tena na kutengwa na nyadhifa za JMT kwakuwa kuna mabaya ya wazi na ya sirini aliyomtendea Mzee Mwinyi.
Mzee Mwinyi baada tu ya kuapishwa kuwa Rais wa JMT wakati anateua baraza la Mawaziri akamteua tena Natepe kuwa Waziri palepale Mambo ya Ndani.
Siku ya kumuapisha akamwambia Natepe sio kwamba nakupenda sana hapana ila napenda kazi yako unavyofanya endelea kufanya kazi.
Siku moja Mzee Mwinyi yupo Ikulu kapumzika akaona malori yanaingia na akaambiwa mzigo wako huu mh Rais akashtuka mbona sijaagiza kitu mie?
Ndipo akaambiwa umetoka kwa Natepe Mzee Mwinyi akacheka sana akawaambia wasaidizi wake shusheni mabati 150 na saruji 100 hizo ndio haki yangu zingine mrudishieni tu.
Mwisho wa ubaya ni aibu!Alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi mwaka 83 kama sijakosea nafasi yake aliteuliwa mzee mmoja kutoka Zanzibar anaitwa mzee Natepe kushika Uwaziri wa Mambo ya ndani ya nchi.
Natepe alipoingia tu ofisini alimtaka Waziri aliyemtangulia kutoka katika nyumba ya Waziri ili yeye aweze kukaa hapo kama Waziri.
Ilikuwa shida kidogo maana Waziri aliyeondoka bado alikuwa anatafuta makazi lakini alitakiwa haraka na Natepe kutoka.
Ikampasa Mzee Mwinyi kutoka kwa haraka na siku anatoka pale nyumbani alikuwa amenunua mabati 150 na mifuko ya saruji 100 ya kwake wala sio mali ya Serekali.
Natepe alimkatalia kuvichukua akidai ni mali ya Serekali kweli mzee Mwinyi akaviacha akaondoka.
Baada ya miezi kadhaa tu mzee mwinyi akateuliwa kuwa Rais Zanzibar. Natepe wakati anajifikiria jinsi ya kwenda kumpongeza na kumuomba radhi kwa aliyomfanyia kabla ya kufikiria njia Mzee Mwinyi akaletwa bara mwaka 1985 kama Rais wa JMT.
Hapa sasa Natepe akajua kazi hana na atatimuliwa haraka iwezekanavyo tena na kutengwa na nyadhifa za JMT kwakuwa kuna mabaya ya wazi na ya sirini aliyomtendea Mzee Mwinyi.
Mzee Mwinyi baada tu ya kuapishwa kuwa Rais wa JMT wakati anateua baraza la Mawaziri akamteua tena Natepe kuwa Waziri palepale Mambo ya Ndani.
Siku ya kumuapisha akamwambia Natepe sio kwamba nakupenda sana hapana ila napenda kazi yako unavyofanya endelea kufanya kazi.
Siku moja Mzee Mwinyi yupo Ikulu kapumzika akaona malori yanaingia na akaambiwa mzigo wako huu mh Rais akashtuka mbona sijaagiza kitu mie?
Ndipo akaambiwa umetoka kwa Natepe Mzee Mwinyi akacheka sana akawaambia wasaidizi wake shusheni mabati 150 na saruji 100 hizo ndio haki yangu zingine mrudishieni tu.
Kwanza mpumbavu ni wewe unayehusisha comment na chadema maana hakuna sehemu Kuna neno chadema au CCM.Acheni upumbavu chadema Burundi ni nchi ya watu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app