Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
Hii inatufunza kuwa wa kweli na si mavisasi yasiokuwa na tija kwa Taifa..
Live longer Mzee Mwinyi..
Live longer Mzee Mwinyi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndipo akaambiwa umetoka kwa natepe mzee mwinyi akacheka sana akawaambia wasaidizi wake shusheni mabati 150 na saruji 100 hizo ndio haki yangu zingine mrudishieni tu.
Hekima ni zaidi ya pesa nautajilimwingine wote wa hapa chini ya jua
Waambie hao hawajielewi ndio maana kila siku kuishangilia CCM waambie wasome vitabu labda akili zitakaa vizurMtoto wako akisoma historia ya TAA akaja kukusimulia naye anakuwa tayari mhenga?
Story nzuri kwa viongozi wetu wajifunze kutolipa kisasiAlipojiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi mwaka 83 kama sijakosea nafasi yake aliteuliwa mzee mmoja kutoka zanzibar anaitwa mzee natepe kushika uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi.
Natepe alipoingia tu officen alimtaka waziri aliemtangulia kutoka katika nyumba ya waziri ili yeye aweze kukaa hapo kama waziri.
Ilikuwa shida kidogo maana waziri alieondoka bado alikuwa anatafuta makazi lakini alitakiwa haraka kutoka na Natepe.
Ikampasa mzee mwinyi kutoka kwa haraka na siku anatoka pale nyumbani alikuwa amenunua mabati 150 na mifuko ya saruji 100 ya kwake wala sio mali ya serekali.
Natepe alimkatalia kuvichukua akidai ni mali ya serekali kweli mzee mwinyi akaviacha akaondoka.
Baada ya miezi kadhaa tu mzee mwinyi akateuliwa kuwa Rais zanzibar Natepe wakati ana jifikiria jinsi ya kwenda kumpongeza na kumuomba radhi kwa aliyomfanyia kabla ya kufikiria njia mzee mwinyi akaletwa bara mwaka 1985 kama Rais wa JMT.
Hapa sasa Natepe akajua kazi hana na atatimuliwa haraka iwezekanavyo tena na kutengwa na nyadhifa za JMT kwakuwa kuna mabaya ya wazi na ya sirini aliyomtendea mzee mwinyi.
Mzee mwinyi baada tu ya kuapishwa kuwa Rais wa JMT wakati anateua baraza la mawaziri akamteua tena Natepe kuwa waziri pale pale mambo ya ndani.
Siku ya kumuapisha akamwambia Natepe sio kwamba nakupenda sana hapana ila napenda kazi yako unavyofanya endelea kufanya kazi.
Siku moja mzee mwinyi yupo ikulu kapumzika akaona malori yanaingia na akaambiwa mzigo wako huu mh Rais akashtuka mbona sijaagiza kitu mie??
Ndipo akaambiwa umetoka kwa natepe mzee mwinyi akacheka sana akawaambia wasaidizi wake shusheni mabati 150 na saruji 100 hizo ndio haki yangu zingine mrudishieni tu.
Ukiongalia hii cabinet utaona mseto wa makabila na imani za Watanzania. Sio huyu tuliyekuwa nae, Cabinet na manaibu wake, na teule zake zote za kabila au kanda moja.Kama kweli mwinyi alijiuzulu 1977 hii habari si kweli kama uonavyo orodha hii ya baraza la mawaziri baada ya ccm kuundwa 1977,waziri alikua Moyo sio Abdallah Natepe
--The inauguration of CCM to replace TANU
and ASP has been followed by a number of
new appointments and a cabinet reshuffle.
The Cabinet on February 14th includes:
Prime Minister: Edward Sokoine
Foreign: Ben Mkapa
Defence: Rashidi Kawawa
Finance: Edwin Mtei
Works: Alfred Tandau
Natural Resources: Solomon Ole Saibul
Labour: Crispin Tungaraza
Agriculture: John Malecela
Lands: Tabitha Siwale
Education: Nicholas Kuhanga
Justice: Julie Manning
Information and Broadcasting: Isaac Sepetu
National Culture and Youth: Mirisho
Sarakikya
Communications: Amir Jamal
Commerce: Alphonse Rulegura
Home Affairs: Nassor Moyo
Capital Development: Hasnu Makame
Health: Leader Stirling
Water: Al-Noor Kassum
Industries: Cleopa Msuya
Civil Service: Abel Mwenga
Pius Msekwa was appointed Executive
Secretary General of the CCM. His deputies
are Salmini Amur [Amour] from Zanzibar,
and Col. Simba Ibrahim Kaduna, the former
Foreign Minister replaced Msekwa as Vice
Chancellor at the University. Other
Maana jamaa mishipa ya shingo imemtokaa anahadithiaa kila kituuuHahahah
Mbona wakina luteni kanali jk(waziri wa nishati) na kanali kinana(waziri wa ulinzi) walistaafu jeshini wakati tayari ni mawaziri..Mambo ya kuteua wanajeshi nadhani yamekuja kwa kasi miaka ya hivi karibuni.
Zama za JKN, Mwinyi na Mkapa ilikuwa uwezi teuliwa serikarini kuchukua nafasi ya siasa mpaka uache jeshi na ninauhakika Natepe alistaafu jeshi Kama sio kipindi cha Mkapa basi awamu ya pili ya Mwinyi na hakuwahi kuwa waziri alipostaafu zaidi ya kufanya kazi za CCM.
Ukiwa mwanajeshi hata unapostaafu unabaki na cheo chako.Mbona wakina luteni kanali jk(waziri wa nishati) na kanali kinana(waziri wa ulinzi) walistaafu jeshini wakati tayari ni mawaziri..
Jakaya na kinana wamestaafu jeshini mwaka 1992Ukiwa mwanajeshi hata unapostaafu unabaki na cheo chako.
Lakini wote hao hadi kushika nafasi hizo lazima watakuwa walibwaga majukumu yao ya kijeshi, vinginevyo wasingeteuliwa.
Hekima hii nimeipenda bila kupepesa macho. Tunayo mengi ya kujifunza.Alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi mwaka 83 kama sijakosea nafasi yake aliteuliwa mzee mmoja kutoka zanzibar anaitwa mzee natepe kushika uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi.
Natepe alipoingia tu officen alimtaka waziri aliemtangulia kutoka katika nyumba ya waziri ili yeye aweze kukaa hapo kama waziri.
Ilikuwa shida kidogo maana waziri alieondoka bado alikuwa anatafuta makazi lakini alitakiwa haraka kutoka na Natepe.
Ikampasa mzee mwinyi kutoka kwa haraka na siku anatoka pale nyumbani alikuwa amenunua mabati 150 na mifuko ya saruji 100 ya kwake wala sio mali ya serekali.
Natepe alimkatalia kuvichukua akidai ni mali ya serekali kweli mzee mwinyi akaviacha akaondoka.
Baada ya miezi kadhaa tu mzee mwinyi akateuliwa kuwa Rais zanzibar Natepe wakati ana jifikiria jinsi ya kwenda kumpongeza na kumuomba radhi kwa aliyomfanyia kabla ya kufikiria njia mzee mwinyi akaletwa bara mwaka 1985 kama Rais wa JMT.
Hapa sasa Natepe akajua kazi hana na atatimuliwa haraka iwezekanavyo tena na kutengwa na nyadhifa za JMT kwakuwa kuna mabaya ya wazi na ya sirini aliyomtendea mzee mwinyi.
Mzee mwinyi baada tu ya kuapishwa kuwa Rais wa JMT wakati anateua baraza la mawaziri akamteua tena Natepe kuwa waziri pale pale mambo ya ndani.
Siku ya kumuapisha akamwambia Natepe sio kwamba nakupenda sana hapana ila napenda kazi yako unavyofanya endelea kufanya kazi.
Siku moja mzee mwinyi yupo ikulu kapumzika akaona malori yanaingia na akaambiwa mzigo wako huu mh Rais akashtuka mbona sijaagiza kitu mie??
Ndipo akaambiwa umetoka kwa natepe mzee mwinyi akacheka sana akawaambia wasaidizi wake shusheni mabati 150 na saruji 100 hizo ndio haki yangu zingine mrudishieni tu.
Ni hivi ukiingia tu kwenye chama lazima uache kazi ya jeshi utabaki tu unaitwa kwa title lakini kambini tena uendi kama mwanajeshi na majukumu ya kijeshi wanakuvua.Jakaya na kinana wamestaafu jeshini mwaka 1992
Jakaya kawa waziri toka 1988.