Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
Na wewe ulikuwa waziri mwaka gani?Uongo tu. Hakuna ukweli. Mwinyi alijiuzuru 1977 na aliyembadili ni Hassan Moyo.
Mwinyi alipelekwa kuwa Balozi. Sio kweli kwamba hakuwa na kazi.
Hassan Moyo Ali kuwa waziri mambo ya ndani muda mfupi.
Mwinyi alirudi kuwa waziri 1983
Stories za vijiweni