Konzo Ikweta
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 735
- 1,467
- Thread starter
- #21
Kumbe
Kuwa na subira ya hali ya juu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa na subira ya hali ya juu!
Kumbe
SawaKabisa!
Lady MadonnaHuyo Natepe ana jina moja tu, kama Madona?
Hahahahaa..!! If this is a true tell, aisee it has made my week so far.ALLY HASSAN MWINYI BABA WA HEKIMA!!!
Alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi mwaka 1983 kama sijakosea nafasi yake aliteuliwa mzee mmoja kutoka zanzibar anaitwa mzee natepe kushika uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi.
Natepe alipoingia tu officen alimtaka waziri aliemtangulia kutoka katika nyumba ya waziri ili yeye aweze kukaa hapo kama waziri.
Ilikuwa shida kidogo maana waziri alieondoka bado alikuwa anatafuta makazi lakini alitakiwa haraka kutoka na Natepe.
Ikampasa mzee mwinyi kutoka kwa haraka na siku anatoka pale nyumbani alikuwa amenunua mabati 150 na mifuko ya saruji 100 ya kwake wala sio mali ya serekali.
Natepe alimkatalia kuvichukua akidai ni mali ya serekali kweli mzee mwinyi akaviacha akaondoka.
Baada ya miezi kadhaa tu mzee mwinyi akateuliwa kuwa Rais zanzibar Natepe wakati ana jifikiria jinsi ya kwenda kumpongeza na kumuomba radhi kwa aliyomfanyia kabla ya kufikiria njia mzee mwinyi akaletwa bara mwaka 1985 kama Rais wa JMT.
Hapa sasa Natepe akajua kazi hana na atatimuliwa haraka iwezekanavyo tena na kutengwa na nyadhifa za JMT kwakuwa kuna mabaya ya wazi na ya sirini aliyomtendea mzee mwinyi.
Mzee mwinyi baada tu ya kuapishwa kuwa Rais wa JMT wakati anateua baraza la mawaziri akamteua tena Natepe kuwa waziri pale pale mambo ya ndani.
Siku ya kumuapisha akamwambia Natepe sio kwamba nakupenda sana hapana ila napenda kazi yako unavyofanya endelea kufanya kazi.
Siku moja mzee mwinyi yupo ikulu kapumzika akaona malori yanaingia na akaambiwa mzigo wako huu mh Rais akashtuka mbona sijaagiza kitu mie??
Ndipo akaambiwa umetoka kwa natepe mzee mwinyi akacheka sana akawaambia wasaidizi wake shusheni mabati 150 na saruji 100 hizo ndio haki yangu zingine mrudishieni tu.
Hapa kuna masomo makubwa ma tatu vema viongozi wetu wa sasa wakajipambanua kwayo ili tuende kwa weledi na umakini sana. Hata kwetu sisi wanadamu ni somo zuri sana la kujifunza.
©Besta Mlagila
Abdallah Saidi NatepeHuyo Natepe ana jina moja tu, kama Madona?
Ndiyo maana mzee Mwinyi na marehemu Mzee Kitwana Kondo walishibana sanaStory ya uongo na ya kutungwa
Mzee Mwinyi alijiuzulu 1976 sio 1983
1983-1984 aliekuwa Waziri wa mambo ya Ndani hakuwa Natepe alikuwa Dr Salmeen Amour Juma ( Komandoo )
Kuna mtu alinirushia kwa Wasap nikam challenge akaishia kuniambia yeye alifowadiwa nae kaifoward
Ally Hassan Mwinyi baada ya kujiuzulu Uwaziri aliempa notes ya kuhama kwenye Nyumba ya Waziri alikuwa Waziri wa Nyumba aliekuwa anahusika na Shirika la Nyumba ambayo ndio walikuwa wamempa Nyumba na ilijulikana baadae kuwa huyo Waziri alikuwa amepokea maelekezo toka juu
Ally Hassan Mwinyi akiwa hajui afanyaje aliokolewa na Hayati Mzee Kitwana Kondo aliemsitiri kwa kumpa Nyumba yake akae bure mpaka siku akiamua kwa hiyari yake kutoka
Natepe hakuhusika kwa namna yoyote ile na Mwinyi ‘kufukuzwa ‘ kwny ile Nyumba
Warioba alijaribu kumng'oa Kondo,alikiona cha moto!Ndiyo maana mzee Mwinyi na marehemu Mzee Kitwana Kondo walishibana sana
Position ya Bashite kwa sasa ndiyo mzee Kitwana Kondo alikuwa nayo enzi zileWarioba alijaribu kumng'oa Kondo,alikiona cha moto!
Lady Madonna
Haifikii hata roboPosition ya Bashite kwa sasa ndiyo mzee Kitwana Kondo alikuwa nayo enzi zile