Jinsi Natepe alivyomhenyesha Rais Ali Hassan Mwinyi

Kinyungu ukweli ni upi?
 
Kinyungu hebu mjibu muhenga mwenzio
 
Hiyo hadithi ya mabati ina utata. Nimesikia Makweta ndie aliyechukua, pengine nimesikia ni Natepe, sasa nahisi kuwa ni Moyo! Ukweli uko wapi?

Amandla...
 
Inawezekana pia kuwa Makweta alipangiwa nyumba aliyokuwa anaishi Mwinyi maana nyumba nyingi za viongozi hazikuwa tied quarters. Na sijui kama waziri wa nyumba alikuwa na mamlaka ya kumtoa mtu kwenye nyumba maana zilikuwa zinagawiwa na utumishi au ujenzi. Hao ndio walikuwa wanatoa notisi ya kuachia au kuhama kwenye nyumba.

Amandla...
 
Tupo na wazee kama mimi hapa jamvini!!!

Je? Hassan Moyo alikuwa na uhusiano na Nassor Moyo?
 
Alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi mwaka 83 kama sijakosea nafasi yake aliteuliwa mzee mmoja kutoka Zanzibar anaitwa mzee Natepe kushika Uwaziri wa Mambo ya ndani ya nchi.
Mkuu Konzo Ikweta , kwanza asante kwa story hii kwasababu ni tukio la kweli ila umekosea dates na datas.

Unapokosea data wanaojua wakakusahihisha, ulipaswa kurekebisha bandiko lako. Mwinyi hakujiuzulu mwaka 83, alijiuzulu mwaka 1977 kwa tukio la 1976. Aliyemtimua kwenye nyumba sio Natepe ni Jackson Makweta.
Rekebisha Jinsi Natepe alivyomhenyesha Rais Ali Hassan Mwinyi
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…