Sure! Kweli Mabeste alihangaika sana kuchangisha pesa ya kumtibia mke wake! Kumbe ndo kukaa tu vile! Tenda Wema Chapa lapaMwanamke mzuri vile awez kuish bila kusaidiwa ila akumbuke tu kipindi anaumwa mabeste ndio alipambana
Sent using Jamii Forums mobile app
sikiliza na hii ubalanceUkisikiliza hiyo interview utamuheshimu zaidi.
Hayo yote kayasema, plus the fact kwamba Mabeste alikuwa hataki kufanya kazi na mtu mwingine isipokuwa Pancho.
Na eti jamaa alifikia sehemu akaomba aachwe peke yake kwa atleast miaka 4.
Mkuu ina maana huyu dada alimkuta Mabeste hana shughuli au? Kama alimkuta na shughuli now mambo yamekwama anamkosea sana. Naona namna mambo yakiyumba sana mwanaume akikosa kipato kuliko wanawake. Huwezi kusikia mwanaume akisema nimemuacha sababu nilikuwa namlea.
Wadada wa siku hizi pamoja na kuelimika wamekuwa tegemezi zaidi kuliko mama zetu wa zamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo uhanga unakusumbuaNakuhakikishia, ukikaa ukaisikia interview yake, utatamani huyo dada awe available umuoe.
She was so real.
Siyo uhanga unakusumbua
Ok mkuu, mimi nimesoma tu maelezo yake post ya kwanza. Sijaona interview.Kasikilizeni interview hiyo, acheni kufanya judgement kabla hamjasikiliza kesi.
Pole ! UH+Uhanga ni nini?
Haswa ndie yeye,Ila si ndo uyu demu ambae alikua anaumwaga kpnd flani hv MABESTE alikua nae bega kwa bega lamn ? Au yule alikua kamikaze maana nawafananishaga sana hawa jamaa wawili
yess BiShoo haswaaA
Kishasahau hili ingawa ni mapema mno.Mwanamke mzuri vile awez kuish bila kusaidiwa ila akumbuke tu kipindi anaumwa mabeste ndio alipambana
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole ! UH+
Binafsi vijana wengi kusimamia familia hatuwezi sababu ya anasa na kujipenda kulikopitiliza kunakoleta ubinafsi ndiyo maana mjini unaweza kuta mbaba in his 50's amevaa rafu na sendo chini muda wote yupo busy ila ukienda home mke wake anafaidi anasukuma range na watoto wanasoma na mahitaji wanapata kwa wakati.... Ila kijana bado hajanunua kipochi cha gucci sijui raba kali mara ashinde saloon kuweka kijogoo. .its sad
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi mwanaume unapoachwa nategemea ubaki nalo mwenyewe, kuanza kwenda kwenye media kulalamika ni kujidhalilisha mwenyewe.
Huwezi kushindana na mwanamke kwenye kuongea.
Naunga mkono hoja tutafuteni pesa.Pesa pesa pesa
Wanaume wenzaangu nawaasa tutafute pesa aisee. Hizo sababu aalizotoa uyo Lisa inaonyesha tatizo ni pesa tu imekauka kwa mabeste
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok mkuu, mimi nimesoma tu maelezo yake post ya kwanza. Sijaona interview.
Sent using Jamii Forums mobile app