Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Hiyo paragraph ya mwisho ina fikirisha sana
Mkuu ina maana huyu dada alimkuta Mabeste hana shughuli au? Kama alimkuta na shughuli now mambo yamekwama anamkosea sana. Naona namna mambo yakiyumba sana mwanaume akikosa kipato kuliko wanawake. Huwezi kusikia mwanaume akisema nimemuacha sababu nilikuwa namlea.

Wadada wa siku hizi pamoja na kuelimika wamekuwa tegemezi zaidi kuliko mama zetu wa zamani

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila si ndo uyu demu ambae alikua anaumwaga kpnd flani hv MABESTE alikua nae bega kwa bega lamn ? Au yule alikua kamikaze maana nawafananishaga sana hawa jamaa wawili

yess BiShoo haswaaA
Haswa ndie yeye,
Mume alipambana sana kumnusuru mkewe.
Na haya ndio malipo ya mke kwa mumewe[emoji119] #wanawake pepo tutaishia kuisoma kwenye vitabu vitakatifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nilipenda ndoa yao na wote nimesikia interview zao ila kwa upande wa mabeste hajafunguka Kama mke wake so sitaki nikae kwenye upande fulani cos sijajua mkewe Lisa aliyoongea ni kweli au la! Cha msingi ni vizuri Lisa angevunga au kukaa kimya ili kulinda jina la mabeste kingine mnapofunga ndoa kunakuwa na kiapo kinachosema hasa kwa kikristo tutapendana kwenye shida na wakati wa Raha naonaga hiki kipengele akitekelezwi sijui kwanini?
 
Mwanamke mzuri vile awez kuish bila kusaidiwa ila akumbuke tu kipindi anaumwa mabeste ndio alipambana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kishasahau hili ingawa ni mapema mno.

Na mwanamme ambaye hahudumii familia anaonekana tuu from the very first beginning earlier before having babies. If she chose to be rebellious woman angeendelea tuu until the end.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa upande wangu Maisha ya huyo mzee Anaye vaa rough na sendo chini halafu mkewe na watoto wake wanakula maisha mazuri siwezi kuyaishi ..kwangu huo nahesabu kuwa ni sehemu ya utumwa .....

Kama ni maisha mazuri basi yapasa tuyafaidi sote pamoja ....sio Mimi nipitie shida ili wengine wale raha Big no

All in all vijana wa siku hizi tunapaswa kujituma na kuya simamia majukumu yetu ipaswavyo otherwise tutazidi kuizorotesha heshima ya KIUME
Binafsi vijana wengi kusimamia familia hatuwezi sababu ya anasa na kujipenda kulikopitiliza kunakoleta ubinafsi ndiyo maana mjini unaweza kuta mbaba in his 50's amevaa rafu na sendo chini muda wote yupo busy ila ukienda home mke wake anafaidi anasukuma range na watoto wanasoma na mahitaji wanapata kwa wakati.... Ila kijana bado hajanunua kipochi cha gucci sijui raba kali mara ashinde saloon kuweka kijogoo. .its sad

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom