Kishasahau hili ingawa ni mapema mno.
Na mwanamme ambaye hahudumii familia anaonekana tuu from the very first beginning earlier before having babies. If she chose to be rebellious woman angeendelea tuu until the end.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana yake ugwadu au unamtamani kingono ndo maana ya uhanga au UH+Utakuwa umechanganya files.
Binafsi vijana wengi kusimamia familia hatuwezi sababu ya anasa na kujipenda kulikopitiliza kunakoleta ubinafsi ndiyo maana mjini unaweza kuta mbaba in his 50's amevaa rafu na sendo chini muda wote yupo busy ila ukienda home mke wake anafaidi anasukuma range na watoto wanasoma na mahitaji wanapata kwa wakati.... Ila kijana bado hajanunua kipochi cha gucci sijui raba kali mara ashinde saloon kuweka kijogoo. .its sad
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana yake ugwadu au unamtamani kingono ndo maana ya uhanga au UH+
Sifa unazompa huyo mama hazisitahili hata kidogo. Fikiria una mke anatembea na rafiki yako, hiyo ni udhalilishwaji wa mumeweOkay, mara nyingi tunaposhindwa hoja tunakuja na allegations za namna hii.
Siwezi kumtetea mwanaume aliyeolewa na mwanamke for more than 4 years.
Mkuu tunapoongelea kuhusu wazazi wako ....hapo tunazungumzia Generation nyingine kabisa tofauti na hii generation ya kizazi cha sasa ambacho kilianzia mnamo miaka ya 80 kuja Juu mpaka miaka ya 2000.... Generations hizo tajwa ni disaster especially katika masuala ya mahusiano na Nidhamu ya maadili katika hili taifaMe mama yangu kamvumilia mzee wangu alikosa kazi Mwaka 1 mzima huduma zote mama ndo alikuwa ana hudumia kuanzia kulipa ada shule, kula, nauli za Baba kwenda kutafuta kazi sehemu tofauti tofauti pamoja na kumlisha Baba n.k.Mzee baba sio wanawake wote wapo hivyo.
Huwezi kutoa uamuzi lwa kusikiliza upande mmoja..mzeeKasikilizeni interview hiyo, acheni kufanya judgement kabla hamjasikiliza kesi.
Mkuu mimi nilipoona ni hapo demu anasema amehudumia familia miezi miwili mitatu ndo kachoka duuh wanawake wabinafsi kinoma wakati saa zingine unakuta majamaa tunawachukua life halina directio hata kidogo ila hatuongei sana
Hao vileni maarufu tu ndio maana tumejua...
Lakini kuna kajamba nani kibao wanaopitia hayo na maisha yanasonga
Kuachana sio kupoteza kiungo cha uzazi...
Mkuu sio mliovikuta bali wenye tabia hizo jinwale mlipitia msoto fulani ila baba alivyoanza kufanikiwa vile vitu ulikua umeshaa za kua mkubwa..ila ungevikuta tangu unazaliwa ungekua unaona kawaida sana..Vijana tuna shida sehemu, nakumbuka mzee wangu alikua ana dress simple ana heshima ya matumizi kama haumfahamu huwezi dhania hata ana mali ila sisi tulio vikuta tulikua tunataka kila mtu atujue fujo nyingi mtaani wakati hata mia kutafuta hatujui
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kutoa uamuzi lwa kusikiliza upande mmoja..mzee
Sifa unazompa huyo mama hazisitahili hata kidogo. Fikiria una mke anatembea na rafiki yako, hiyo ni udhalilishwaji wa mumewe
Samahani mkuu kwa michango yako hii wewe hata miaka 30 huna.Siwezi kusikiliza mwanaume akijiliza kuachwa.
Tena yeye mwanaume ndo wa kwanza kwenda kwenye mitandao.
Alitakiwa kufanyia kazi mapungufu yaliyosababisha aachwe, kama ni hela atafute hela, atapata wa kumfaa. Ila kwenda kulia redioni na mitandaoni kutafuta huruma ni kujidhalilisha
Sasa hadi hapo upo biased mkuu...unatakiwa uwe fair unapotoa judgment ya aina yoyote ile...hear the other side...Siwezi kusikiliza mwanaume akijiliza kuachwa.
Tena yeye mwanaume ndo wa kwanza kwenda kwenye mitandao.
Alitakiwa kufanyia kazi mapungufu yaliyosababisha aachwe, kama ni hela atafute hela, atapata wa kumfaa. Ila kwenda kulia redioni na mitandaoni kutafuta huruma ni kujidhalilisha
Siwezi kusikiliza mwanaume akijiliza kuachwa.
Tena yeye mwanaume ndo wa kwanza kwenda kwenye mitandao.
Alitakiwa kufanyia kazi mapungufu yaliyosababisha aachwe, kama ni hela atafute hela, atapata wa kumfaa. Ila kwenda kulia redioni na mitandaoni kutafuta huruma ni kujidhalilisha