Mkuu sio mliovikuta bali wenye tabia hizo jinwale mlipitia msoto fulani ila baba alivyoanza kufanikiwa vile vitu ulikua umeshaa za kua mkubwa..ila ungevikuta tangu unazaliwa ungekua unaona kawaida sana..
Kwann utafute pesa kwa ajili ya mwanamkeNaunga mkono hoja tutafuteni pesa.
Mwanamke kasema alihudumia Familia kwa Miezi Miwili, Wewe unasema 4 YearsOkay, mara nyingi tunaposhindwa hoja tunakuja na allegations za namna hii.
Siwezi kumtetea mwanaume aliyeolewa na mwanamke for more than 4 years.
Mkuu una familia? Au unazungumza kwa uzoefu tu?nakubaliaja nawewe katika kujituma mkuu ila hawa wazee sio kwamba hawapendi kuvaa vizuri nooo ila muda wa kutafuta pamba kali hawana mtu muda wote wapo busy
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake ni hela ndefu,mengine upumbavu mtupu!
Oh sijui mapenzi,sijui nini,nini....uongo mtupu!
Mwanamke kasema alihudumia Familia kwa Miezi Miwili, Wewe unasema 4 Years
Inaonekana wewe umemuamini huyu Mwanamke kwa 100% kwamba yote aliyoyasema ni ya kweli.
Ukitazama kwa kina maisha yana Tufanya wanaume as watumwanakubaliaja nawewe katika kujituma mkuu ila hawa wazee sio kwamba hawapendi kuvaa vizuri nooo ila muda wa kutafuta pamba kali hawana mtu muda wote wapo busy
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh tenda wema nenda zako ndo hii hapaNdo huyo Mkuu, Jamb alipambania sana Afya yake.
Ha ha ha!!Hahaha, fundisho kubwa kwetu ni kwamba tupime uwezo wetu kabla ya kuingia kwenye mahusiano.
Kama ukiona level siyo yako waachie wenyewe.
Mbona yupo wa generation mfano mzuri Kuna jirani yetu alikuwa na maisha mazuri baada ya muda fulani akayumba ana miaka 29 mkewe ana 25 baada kuyumba kiuchumi mkewe akawa anagharamia huduma zote mpaka mtoto ukiachana tu na matumizi ya nyumbani lakini pia alikuwa anampa mpaka mumewe hela za kawaida za kuhuge na za familia yake na hatujawahi kunuona live akimvunjia heshima mumewe hadharani ukiachana na hiyo akamtafutia kazi kabisa mumewe.Ndomaana nakwambia sio wanawake wote wapo Kama mke wa mabeste na tatizo kubwa sisi wanaume tufeli kwanza kwenye kuchagua mwanamke tunaangalia shape na uzuri pekee bila kuangalia vitu vingine matokea yake unapata matatizo Kama ya mabeste na stamina.Mkuu tunapoongelea kuhusu wazazi wako ....hapo tunazungumzia Generation nyingine kabisa tofauti na hii generation ya kizazi cha sasa ambacho kilianzia mnamo miaka ya 80 kuja Juu mpaka miaka ya 2000.... Generations hizo tajwa ni disaster especially katika masuala ya mahusiano na Nidhamu ya maadili katika hili taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika ugoloMabeste hakuwa tayari kuoa, aliolewa yeye.
Vita ya Iran na USAMnajadili nini..?
Interview ya side moja heeellKasikilizeni interview hiyo, acheni kufanya judgement kabla hamjasikiliza kesi.