Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

nadhani tumsikilize pia na mabeste anasemaje kuhusu tuhuma hizi..

Tusikilize pande zote mbili.
Sema wanawake wa sasa mkiachana ataanza ooh nimemlea..sijui nini
Kile kibinti kinajikutaga mboga tisa wakati shida zimekajaa hadi mgongoni.
Siku zote tunafundishwa kushukuru hata kwa kidogo.
.
Anatakiwa aheshimu mchango wa Mabeste jamaa ana mwili mdogo ila hadi alinyauka zaidi means he was struggling for her health, what goes around huwa inakuja tena iko siku katapatwa na shida katamkumbuka msela hapo katakuwa kwa mtu wa ajabu kabisa
 
Sio Siri angekomaa kipindi kile angekuwa far away.
Yeye alipokutana na huyu mzungu koko akaona kashafika mwenyewe, kayapatia maisha..

Hata huyu mama anaonekana alimpendea mabeste "ustar "aliokuwa nao that time .

Of course, na alijua kwa hustle zake wakikomaa pamoja watatoboa.

Mabeste alikuja akarelax, demu kaondoka kwa sababu za kifedha. Kwa hiyo jamaa anatakiwa apige kazi.
 
Ila Ni kweli ukae Tu uhudumiwe hujishughulishi na chochote upo tuuu unasubiri mkeo apambane hata pipi huuzi au huonyeshi jitihada zozote za kutafuta mweeeehhhh
Sio Lisa hata Mimi siwezi kuvumilia
Ntavumilia mwanaume hata akiwa anauza nyanya au mzibua vyooo mradi anapata kihalali hapo mabeste alikua amekaa anasubiri apate shoo so akili yake inamuambia kwa hadhi yake hawezi uza pipi yeye Ni staa[emoji41][emoji41][emoji41]mpuuzi huyo kaka!!!
Mwanamke hata siku 1 hawezi ona wala kukubali wanawe walale njaa atapambana mpk kieleweke

Wanaume hakuna kazi ya hadhi yako, kazi Ni kazi mradi mkono uende kinywani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23]🤣


Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wachache Sana hapa duniani wanaweza kumvumlia Lisa kwenye kile kipindi alichopitia Cha ugonjwa alafu Leo unashindwa kuwa nashukrani japo kidogo tu kwa mabeste.Bora dada umekuwa mkweli kwa kuchangia bila kuangalia yule ni mwanamke mwenzako.
 
Livivuu!basi ataolewa[emoji3][emoji3][emoji3]alijua kapata mzungu wa kumchuna
Hajui kua ukishikwa shikamana usibweteke!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba alikua anahangaika hakubweteka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila si ndo uyu demu ambae alikua anaumwaga kpnd flani hv MABESTE alikua nae bega kwa bega lamn ? Au yule alikua kamikaze maana nawafananishaga sana hawa jamaa wawili

yess BiShoo haswaaA

Daaa jamaa huyu mm shabiki yake sana kwa hii nyimbo moja tu.

Sijui ni kwanin hakuonyesha mapenz ya kutosha kwa mkewake, Labda na yeye atakua na yake ya kusema.
 
je mabeste amelinda jina la lisa????

Sent from my Moto C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…