Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Kile kibinti kinajikutaga mboga tisa wakati shida zimekajaa hadi mgongoni.nadhani tumsikilize pia na mabeste anasemaje kuhusu tuhuma hizi..
Tusikilize pande zote mbili.
Sema wanawake wa sasa mkiachana ataanza ooh nimemlea..sijui nini
Siku zote tunafundishwa kushukuru hata kwa kidogo.
.
Anatakiwa aheshimu mchango wa Mabeste jamaa ana mwili mdogo ila hadi alinyauka zaidi means he was struggling for her health, what goes around huwa inakuja tena iko siku katapatwa na shida katamkumbuka msela hapo katakuwa kwa mtu wa ajabu kabisa