Jinsi nilivyokataliwa na hawa vijana

Sina dada! kwetu tupo watatu, wote maharamia kudadeki.
Kwasababu hauna ndiyo uwafanyie hivyo wadada wawatu? Kwani huwezi kuzaa binti? Mungu fundi anaweza fanana na .....sio vizuri, ni maoni yangu tu lakini!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Mimi chuo nimekataa mademu watatu kisa sijavutiwa nao [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Halafu pisi kali zote wakanitolea nje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimetoka kapa [emoji23][emoji23][emoji23]

Malipo ni hapa hapa

Ajabu hizo pisi kali hamzioi mnatuoa sisi sura ya baba Grade 1
 
Awo vijana wazembe ningekuwa mimi nachapa alafu natimka
 

[emoji23][emoji23][emoji23] Bora wewe alifikisha ujumbe mimi niliomtumA na yeye alijituma akambeba moja kwa moja

Huyo wa pili ndio mpk dedication za Mauasama ila akanichomolea
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] msabato kashika amri 10
 
Awo vijana wazembe ningekuwa mimi nachapa alafu natimka

Mungu aliniepusha na vijana wa hovyo aiseee hawakunikula nahisi waliniona mtoto wakanionea huruma[emoji1787]
 
Sikumfanyia hvyo coz mimi sina dada. Nilimjibu nilichomjibu kwasababu ni mbaya! Siwezi kudate demu mbaya abadan.

Ukute demu wako ni kama tulia tu[emoji12]

Kwanza wanaume wengi hawajui kuchagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…