fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Sio mti kama mti bali dawa ya kuwatoa huko waliko imefukiwa chini ya huo mti.Sijawahi sikia kuwa kuna mti ambao watu waliokufa kwa njia ya kichawi wanaweza rudi. Ingekuwa hivyo ingekuwa ndo mwisho wa wachawi kufanya ujinga wao na pia kuumbuka. Pia watu wengi wangerudishwa maana kila mtu angeenda kuuchukua. Kumbuka kuwa hapa Tanzania mambo kama hayo yanafanya watu wengi waliofanikiwa kushindwa kufanya maendeleo yao vijijini kisa ni ujinga huu