Jinsi nilivyolazwa nje na wachawi mkoani Njombe

Jinsi nilivyolazwa nje na wachawi mkoani Njombe

OK. Umemaliza? Una kisa kingine? Leta vitu jombii.


uhalisia ni kuwa hukuwa umeingia ndani. Ulilewa sana. Ukawa hujielewi ukawaza umeenda ndani hukwenda ndani. Na pesa ulizochukua Dukani kwako ukaendea Bar. Ukapiga sana maji. Ukarudi na Mang'amung'amu. Ukalala nje. Asubuhi kuamka ukaendelea kufikiria ulilazwa nje na wachawi. Kumbe mchawi wewe mwenyewe tu. Pombe siyo chai.
😂😂😂😂😂
 
Me nililala na nguo Hasubuhi najikuta nipo na boxer ila shati lilibaki suruali ndiyo nilivuliwa ingawa hawakunitoa nje au pengine walinitoa na kunirudisha sijui.daah yule mama Muha wa Kigoma sitamsahau kwa uchawi wake alitutessa sana wapangaji wenzake
 
Me nililala na nguo Hasubuhi najikuta nipo na boxer ila shati lilibaki suruali ndiyo nilivuliwa ingawa hawakunitoa nje au pengine walinitoa na kunirudisha sijui.daah yule mama Muha wa Kigoma sitamsahau kwa uchawi wake alitutessa sana wapangaji wenzake
Haukukuta ute ute kwenye makalio
 
Shalom wapendwa,

Leo nimekumbuka kisa hiki, kilichonitokea mwenyewe nikiwa katika harakati Mkoa wa Njombe. Narudia tena hii sio stori ya kufikirika imenitokea mwenyewe.

Uchawi hauna faida yoyote ni ujinga uliokomaa, ni utumwa. Walio wachawi wanamani kutoka ila there is no way out there. Ninamiliki maduka ya dawa za binadamu yaliyopo maeneo ya vijijini huko, kazi yangu hua ni kuzunguka na kutafuta watu wa kuuza tu na kufunga mahesabu mwisho wa mwezi.

Siku Moja kuna dada wa ADDO aliyekuwa akiuza moja kati ya maduka alipata dharura na kwakua nilikuwa na nafasi nilimruhusu aende nami nikaenda kumpokea kuuza dawa Ili clients wasikose huduma mpaka atakaporejea. Sasa hapo ndipo tatizo lilipoanzia.

Hiyo siku nimeamka vizuri kabisa nikashinda vema jioni imefika nikafunga hesabu na kulikua na pesa kwenye draw nilizibeba na kwenda nazo nyumbani kwa sababu za kiusalama, nikaacha kiasi kadhaa pia kwenye draw. Baada ya kufikia nyumbani nikaweka pesa vizuri nikawasha data niperuzi kidogo Kisha nikalala.

Naamka asubuhi nimelala nje😂😂😂 kwenye shimo Moja lilikua jirani na nyumba. Kitu kilichonishangaza nililala na boksa nikaamka nje nikiwa na nguo zangu nilizovaa jana😨

Kitendo cha kutaka kurudi ndani nakuta mlango umefungwa kwa ndani, nikawa najiuliza nilitokea wapi? Nikajaribu kupush mlango ukafunguka kuingia ndani nakuta panya sita kitandani wametulia wananiangalia tu😂😂😂 nikarusha kiatu wakapanda darini na kupotea ghafla kukawa kimya.

Impact za tukio lile, pesa nilizorudi nazo jana hakukua na hata kumi iliyokuepo😬 (zilipotea)

Sikuweza kukaa tena kule, nikafunga duka mpaka yule dada aliporudi kusongesa gurudumu. Kwa Sasa nikienda huwa silali kabisa hata iwe late kiasi gani nitarudi mjini.

Kama hujapita Njombe hujaona uchawi bado.
Peleka Facebook.
 
Kwa baridi la Njombe ukalala nje?

Ulikua kwenye hatari ya kufa kwa hypothermia au kupatwa na shida ya frostbitten but you suffered neither.

Nieleweshe kwanini hukukutwa na chochote kati ya hivyo.
wachawi walijua hilo ndio maana wakamlaza na sweater karibu na shimo nyumbani kwake
 
Me nililala na nguo Hasubuhi najikuta nipo na boxer ila shati lilibaki suruali ndiyo nilivuliwa ingawa hawakunitoa nje au pengine walinitoa na kunirudisha sijui.daah yule mama Muha wa Kigoma sitamsahau kwa uchawi wake alitutessa sana wapangaji wenzake
VIPi ulimnyima nini
 
Ilitakiwa ujimwage hapo hapo msibani ulale
Pale ilikua ni mkesha tunachoma moto kula kande ndizi na matakaPela na chai.
Mikate ilikua ya kumwaga nilikuja
Nayo.
Sema mda wangu ulikua mfupi.
Nimeshinda barabarani usiku kucha nawezaje kukesha pale.
Sikuwa hata na hiyo program.
Ila nilipoambiwa jirani kafa hapo asb nawaza niondoke kwenda Tokyo ( Tukuyu)
Ndio msiba huo.
Doh nikaenda kibingwa tu.
Siku 5 ilikua lazima nitimke.
 
Back
Top Bottom