Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa

inasemekana malkia huondoka mapema sana! na hao nyuki hufuata nyayo zake, ktk safari yao wakichoka hupumzika kwa kurundikana sehemu kisha safari inaendelea
Ngoja nitafuatilia nijue what's special about Queen bees. Sasa kwanini hua hawaondoki wote Kama hua wanasense Hatari
 
Kuna ile jiwe jeusi ambalo tunalitumia kutoa sumu ya nyoka akikung'ata scientifically is correct. Lile jiwe linaweza ondoa sumu lakini kwa kiwangu kiasi tu. Usidanganywe kua kila nyoka hilo jiwe linaweza kutoa sumu sema kinachotusaidia ni kwamba Africa nyoka wengi hawana sumu kali (Ukimtoa Black mamba) wengine hawana sumu kabisa.


Nb. You're always welcome to my inbox... Anytime sir
 
Halafu kipindi hiki cha mvua hua wanapenda kupanda kitandani unajifunika nae shuka. Utasikia tu ubaridi na kuteleza ukimulika unamuona mzee baba kajikunja kama kata. Angalia chini ya mto๐Ÿƒ
Aaah usinifanyie hivo mkuu, mwili unasisimka kabisa๐Ÿ˜ช kuna siku home natoka nje hamadi mzee baba huyu hapa nilikimbia kurudi ndani nikapanda kwenye kiti, mama ndiyo akatoka kumpiga aah alinicheka sana
 
Sir.. Thanks so much for clarification.
Ndio maana nimelileta mbele yenu hapa nipate mawazo tofauti na nachelea kusema uko sahihi katika jema na baya!
Salute Sir
 
Aaah usinifanyie hivo mkuu, mwili unasisimka kabisa๐Ÿ˜ช kuna siku home natoka nje hamadi mzee baba huyu hapa nilikimbia kurudi ndani nikapanda kwenye kiti, mama ndiyo akatoka kumpiga aah alinicheka sana
Pole sana sasa kwenye kiti si angeinua kichwa tu akakudokoa. Nyoka akiingia ndani ya sofa lako akiwa mdogo anatoka akiwa anaconda kabisa na watoto kadhaa..

PS. Usiogope niko hapa nitakulinda๐Ÿค—
 
Juice ya unga wa mkaa ukinywa usaidia kufyonza sumu je KWA sumu ya nyoka inaweza fyonza pia? Wakati ukijiandaa kwenda kituo cha afya
Hv nn maana halisi ya juice!?maana kila mkorogo ck hz unaitwa juice!!
 
Pole sana sasa kwenye kiti si angeinua kichwa tu akakudokoa. Nyoka akiingia ndani ya sofa lako akiwa mdogo anatoka akiwa anaconda kabisa na watoto kadhaa..

PS. Usiogope niko hapa nitakulinda๐Ÿค—
Ooh wanazaliana ndani ya sofa? Tobaa, kwenye kiti niliassume hawezi kuniona hivo angepita zake chini๐Ÿ˜‚
 
Hv nn maana halisi ya juice!?maana kila mkorogo ck hz unaitwa juice!!
Juice ni kimiminika kinachotoka ndani ya matunda au mbogamboga. Sasa usiniambie kua mfuta ya nazi ni juice nitakufumua๐Ÿ˜…
 
Hivi niliskia eti nyoka ukimmwagia mafuta ya taa anakatika vipande vipande kweli?
Hizo ni myths tuu.
Wengine husema kwamba eti ukiweka oil chafu,mafuta ya taa nyoka hawawezi kusogelea nyumba yako. Lakini ukweli ni kwamba nyoka hua hapendi tu harufu kali ndio maana ukiweka mafuta atatoka ahame hilo eneo. Au ukichoma mifupa ya samaki na mpira/tairi lazima atoke coz vina harufu kali.

Ni kama mimi hua sipendi moshi wa sigara so ukivuta sigara karibu yangu lazima niondoke tu
 
Huu mwandiko remind me of my furendii. btn uzi mzuri ๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ