Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa

I'm not good on snake animals over all but most the time, i enjoy watching them Pal'. For example Anaconda, one of the interesting feature that distinguish Anaconda and mostly of the other snake. The eyes and nostrils are set on the top of its head, which enables it to see and breathe while mostly submerged.

Myth:
Some even believe its name is derived from a Tamil word anaikondran meaning elephant killer!​


Thanks for a nice & amazing thread🔥.
Cheers Pal'✌️.
 
Juice ya unga wa mkaa ukinywa usaidia kufyonza sumu je KWA sumu ya nyoka inaweza fyonza pia? Wakati ukijiandaa kwenda kituo cha afya
Mkaa wowote?? Maana kuna miti mingine ni sumu tayari
 
Sir, kiukweli mimi siwapend kabisa nyoka na hata uzi huu sio kwamba nilitaka kuonyesha mapenzi juu ya nyoka. Siwapendi na ninawaogopa walinifanya niache kuogelea baada ya kuona documentary fulani ya nyoka wa majini. Ni kwamba tu sipendi kuua wadudu. Ila wewe unasema Anaconda ndio nyoka yako pendwa🙄
 
Kumpenda kwangu ni kawaida tu, nilijaribu kuonyesha sifa ya anaconda na utafouti wake ambayo nyoka wengine walio wengi hawana sifa hiyo. Mwanadamu kutokana na hulka yake ya ubinafsi amekuwa Anthropocentric. Lakini nijukumu letu sote kama wanadamu kuheshimu na kulinda viumbe hai na mazingira yao kwa ujumla sio kwa amri yetu tu bali hata maandiko matakatifu yametufunulia hivyo

Ushahidi ni huu👉Biblical verse Genesis God has clearly placed humans in a position of responsibility over the creation. (1) Genesis 2:15 says “The Lord God took the man and put him in the Garden of Eden to work it and take care of it.”(2) We recognize that all created things belong to God (3) and that we are accountable to Him as stewards of the creation. God commissions us to rule over the creation in a way that sustains, protects, and enhances his works so that all creation may fulfill the purposes God intended for it. We must manage the environment not simply for our own benefit but for God′s glory.

That's it Pal'🙏.
Kila chenye nafsi na kuvuta pumzi kimsifu bwana.
In a normal way kila kiumbe hai kina sifa ya Umungu ndani yake.
 
So hamna miti ambayo inaweza kuwa na madhara kwa mkaa wake hata kabla hujaaanza kuungua?
Sijawahi kusikia kwakweli maana mimi ni mchoma mikaa hua nakati miti yoyote tu. Halafu joto linalozalishwa wakati unachoma mkaa sidhani kama kuna sumu yoyote ambayo inaweza kubaki kwenye mkaa. Since mara nyingi majimaji ya mti ndio hua sumu na sio mti wenyewe.

Ila mkaa ukiwa unautumia ubatoa gesi ya Carbon Monoxide (Sio Dioxide ile tunayo Exhale kwenye process ya Gaseous Exchange) ni gesi hatari sana ndio maana hutakiwi kupikia mkaa kwenye jiko lisilo na dirisha kubwa unakuua taratibu.
 
Hayo yoote ya carbon monoxide nayajua na impacts zake..nisichokua nakijua ni kuwa kumbee majivu au unga unga wa mkaa wowote ule haijalishi ni mti gani unaweza kunywa tuu na ni dawa...oookey.
 
Hayo yoote ya carbon monoxide nayajua na impacts zake..nisichokua nakijua ni kuwa kumbee majivu au unga unga wa mkaa wowote ule haijalishi ni mti gani unaweza kunywa tuu na ni dawa...oookey.
Now you know.!
La sivyo tungepoteza watu wengi Sana wanaotumia majivu kama tiba ya tumbo au Heartburn.
 
You have a point sir, a good one!
That's it Pal'🙏.
Kila chenye nafsi na kuvuta pumzi kimsifu bwana.
In a normal way kila kiumbe hai kina sifa ya Umungu ndani yake.
Leo for the first time nitapingana nawe.. sio kila kiumbe hai kina sifa ya uungu ndani yake ni mwanadamu tu ndio mwenye sifa hiyo maana aliumbwa kwa mfano wa muumba na kupewa nafsi yake ya uhai.

Je mbuzi, mti, Nyoka wana soul???
 
Kifutu niliwahi mjanyaga mkia shambani aisee kidogo nipae kwa kuruka😂
Kwa mujibu wa maelezo yako now I understand kwanini tabora wamejazana koboko.

Btw mimi sina elimu yoyote kuhusu nyoka na siwapendi kabisa so ndio maana nakua nipo nje ya point but I would like to thank you Sir coz you always there to correct me.

Appreciate ✌️
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] I know how you felt....! me niliwahi kumkanyaga juu ya mti kwenye mti uliotoboka nikiwa nakata kuni

Kilichofata nilijikuta niko chini na shoka ndio inanifata
 
Yes, wanazo.

I hope your okay mate.
Naelewa sometimes ningumu kukubali but huo ndio ukweli mkuu.


Maybe, we can start a little debate about this, in this thread?
In order to make things clear.
Okay, you can start it sir. And I'll participate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…