dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
- Thread starter
- #21
Nina Elimu kubwa sna kwenye mambo haya hisa na dhamana Hadi kuingia na kuchagua kampuni hyo nilijiridhisha kbsa kuwa it's trade vzrHapo hakuna cha utapeli, naona kuna mambo makuu mawili...
1.Tamaa ya utajiri wa haraka
-Kwa mara ya kwanza tu kujihusisha na uwekezaji wa hisa ,ukaamua kununua za Millioni 2,ambazo kwa kipato chako inaonekana hiyo hela ni kubwa.
2.Kukosa elimu
Kwa maelezo yako ,inaonesha wazi haukuwa na elimu ya kutosha na mpaka bado hauna elimu ya kutosha kuhusiana na hisa.
Kilichokuchanganya ni kuskia neno IPO,,,ambapo
Ukiona elimu gharama, jaribu ujinga....
- ni kawaida katika IPO bei za hisa kuwa juu....
- Ulinunuaje hisa bila kupata elimu ya Sekta ya Nishati hasa katika makampuni ya utafiti wa mafuta.
- Ulinunuaje bila kufuatilia financial statements za kampuni husika.?
- Kampuni ya utafiti wa mafuta huwa inaingiza hasara always, unapewaje gawio? Hiyo ni dunia nzima.
Sasa kwani. Hisa zake zimeporomoka na Hakuna taarifa zozote
Hata rfk angu alizinunua za TBL Hadi Sasa hajauzana anakosa mteja hata za crdb na nmb haziuziki wewe unaongea hbr gani