Tukio litokee Februari 9 muda wote walisubiri nini? Ulikuwepo wakati wa tukio acha uongo wa kipuuzi. Diwani anadai kupigiwa simu kutoa msaada na yeye akapata kipigo. Wewe nae ulipigwa?Natamani nifunguke ila nitatambulika kirahisi sana. Kwa ufupi nilikuwa eneo la tukio. Polisi walienda hadi wakapewa pf3 wakaenda kutibiwa mount meru hospital.
Kinachosikitisha mashtaka ya kwenye charge sheet hayana uzito ukilinganisha na kelele zinazopigwa. Na mimi naamini kuna misukumo wa kisiasa.Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'
Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa alipigwa biti ili amapatie Sabaya mil 90. Ilikuwa ni mazingira gani mpaka analazimishwa kwa nini hakufungua malalamiko polisi mpaka wanaharakati wa twita ndio wakaweka mbinyo?
Pia wanaodai kuwa waliteswa na kupigwa na Sabaya walikuwa wapi kufungua malalamiko polisi? Hakuna ushahidi wa wazi kuwa walimuona kwa macho yao akwatembezea mateso na kichapo zaidi ya Ansbert Ngurumo anayetumiwa na Chadema kupakaza hizi tuhuma.
Unyag'anyi wa kutumia siraha ni moja ya makosa makubwa kabisa. Jeshi la polisi lilikuwa wapi kumkamata mtuhumiwa maana alikuwa akihatarisha maisha ya watu.
My take: Chadema ni chama cha wakora na mafisadi ukipambana nao wakishindwa kukuua kama Chacha Wangwe wanakufanyia njama mbaya
Wewe kaa kwa kutulia subiri ushahidi utolewe hadharani mbona mtakimbiana mnaotetea jamabazi, muuwaji, mbakaji na mla rushwa. Unataka upewe ushahidi humu jukwaani ili ujue utamsaidia vipi?Tukio litokee Februari 9 muda wote walisubiri nini? Ulikuwepo wakati wa tukio acha uongo wa kipuuzi. Diwani anadai kupigiwa simu kutoa msaada na yeye akapata kipigo. Wewe nae ulipigwa?
Ni muhimu kutofautisha kati ya Chadema na serikaliKwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'
Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa alipigwa biti ili amapatie Sabaya mil 90. Ilikuwa ni mazingira gani mpaka analazimishwa kwa nini hakufungua malalamiko polisi mpaka wanaharakati wa twita ndio wakaweka mbinyo?
Pia wanaodai kuwa waliteswa na kupigwa na Sabaya walikuwa wapi kufungua malalamiko polisi? Hakuna ushahidi wa wazi kuwa walimuona kwa macho yao akwatembezea mateso na kichapo zaidi ya Ansbert Ngurumo anayetumiwa na Chadema kupakaza hizi tuhuma.
Unyag'anyi wa kutumia siraha ni moja ya makosa makubwa kabisa. Jeshi la polisi lilikuwa wapi kumkamata mtuhumiwa maana alikuwa akihatarisha maisha ya watu.
My take: Chadema ni chama cha wakora na mafisadi ukipambana nao wakishindwa kukuua kama Chacha Wangwe wanakufanyia njama mbaya
Itakuwa mkuu wa TAKUKURU ni Chadama!Sasa kwenye hili hao chadema wameingiaje? Kahojiwa na Takukuru ya Chadema? Kakamatwa na polisi wa chadema? Kafikishwa mahakama ya chadema? Au hata Kisongo ni gereza la chadema?
Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'
Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa alipigwa biti ili amapatie Sabaya mil 90. Ilikuwa ni mazingira gani mpaka analazimishwa kwa nini hakufungua malalamiko polisi mpaka wanaharakati wa twita ndio wakaweka mbinyo?
Pia wanaodai kuwa waliteswa na kupigwa na Sabaya walikuwa wapi kufungua malalamiko polisi? Hakuna ushahidi wa wazi kuwa walimuona kwa macho yao akwatembezea mateso na kichapo zaidi ya Ansbert Ngurumo anayetumiwa na Chadema kupakaza hizi tuhuma.
Unyag'anyi wa kutumia siraha ni moja ya makosa makubwa kabisa. Jeshi la polisi lilikuwa wapi kumkamata mtuhumiwa maana alikuwa akihatarisha maisha ya watu.
My take: Chadema ni chama cha wakora na mafisadi ukipambana nao wakishindwa kukuua kama Chacha Wangwe wanakufanyia njama mbaya
Kweli kabisa. CHAWA wa Sabaya wapo wengi wanamtetea. Walinufaika na uongozi dhalimu.Umeandika ugolo. Wew ni miongoni wa mliofaidika na dhuluma za Sabaya, hela ya supu imekata au, jinai haiishi
Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'
Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa alipigwa biti ili amapatie Sabaya mil 90. Ilikuwa ni mazingira gani mpaka analazimishwa kwa nini hakufungua malalamiko polisi mpaka wanaharakati wa twita ndio wakaweka mbinyo?
Pia wanaodai kuwa waliteswa na kupigwa na Sabaya walikuwa wapi kufungua malalamiko polisi? Hakuna ushahidi wa wazi kuwa walimuona kwa macho yao akwatembezea mateso na kichapo zaidi ya Ansbert Ngurumo anayetumiwa na Chadema kupakaza hizi tuhuma.
Unyag'anyi wa kutumia siraha ni moja ya makosa makubwa kabisa. Jeshi la polisi lilikuwa wapi kumkamata mtuhumiwa maana alikuwa akihatarisha maisha ya watu.
My take: Chadema ni chama cha wakora na mafisadi ukipambana nao wakishindwa kukuua kama Chacha Wangwe wanakufanyia njama mbaya
Mabosi siyo chakula Bali mabaki ya pombe baada ya kuchujwa! Wewe umeyala na Sasa yanakulevya!Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'
Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa alipigwa biti ili amapatie Sabaya mil 90. Ilikuwa ni mazingira gani mpaka analazimishwa kwa nini hakufungua malalamiko polisi mpaka wanaharakati wa twita ndio wakaweka mbinyo?
Pia wanaodai kuwa waliteswa na kupigwa na Sabaya walikuwa wapi kufungua malalamiko polisi? Hakuna ushahidi wa wazi kuwa walimuona kwa macho yao akwatembezea mateso na kichapo zaidi ya Ansbert Ngurumo anayetumiwa na Chadema kupakaza hizi tuhuma.
Unyag'anyi wa kutumia siraha ni moja ya makosa makubwa kabisa. Jeshi la polisi lilikuwa wapi kumkamata mtuhumiwa maana alikuwa akihatarisha maisha ya watu.
My take: Chadema ni chama cha wakora na mafisadi ukipambana nao wakishindwa kukuua kama Chacha Wangwe wanakufanyia njama mbaya
Hakuna jipya chini ya siasaKwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'
Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa alipigwa biti ili amapatie Sabaya mil 90. Ilikuwa ni mazingira gani mpaka analazimishwa kwa nini hakufungua malalamiko polisi mpaka wanaharakati wa twita ndio wakaweka mbinyo?
Pia wanaodai kuwa waliteswa na kupigwa na Sabaya walikuwa wapi kufungua malalamiko polisi? Hakuna ushahidi wa wazi kuwa walimuona kwa macho yao akwatembezea mateso na kichapo zaidi ya Ansbert Ngurumo anayetumiwa na Chadema kupakaza hizi tuhuma.
Unyag'anyi wa kutumia siraha ni moja ya makosa makubwa kabisa. Jeshi la polisi lilikuwa wapi kumkamata mtuhumiwa maana alikuwa akihatarisha maisha ya watu.
My take: Chadema ni chama cha wakora na mafisadi ukipambana nao wakishindwa kukuua kama Chacha Wangwe wanakufanyia njama mbaya
Haki ni pamoja na kumshitaki mtu kwa makosa ya kweli, sio mtu akipambana na Mbowe basi mnamuundia Zengwe.
Ngoja wakutafute ukathibitishe huo ushahidi wa kutengeneza.Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'
Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa alipigwa biti ili amapatie Sabaya mil 90. Ilikuwa ni mazingira gani mpaka analazimishwa kwa nini hakufungua malalamiko polisi mpaka wanaharakati wa twita ndio wakaweka mbinyo?
Pia wanaodai kuwa waliteswa na kupigwa na Sabaya walikuwa wapi kufungua malalamiko polisi? Hakuna ushahidi wa wazi kuwa walimuona kwa macho yao akwatembezea mateso na kichapo zaidi ya Ansbert Ngurumo anayetumiwa na Chadema kupakaza hizi tuhuma.
Unyag'anyi wa kutumia siraha ni moja ya makosa makubwa kabisa. Jeshi la polisi lilikuwa wapi kumkamata mtuhumiwa maana alikuwa akihatarisha maisha ya watu.
My take: Chadema ni chama cha wakora na mafisadi ukipambana nao wakishindwa kukuua kama Chacha Wangwe wanakufanyia njama mbaya
Aliekuambia nafanya kazi za vyombo vya usalama nani? Kama wamepewa hiyo dhamana mbona rais kamuambia Igp wafute kesi walizobambikia watu makosa? Tumia akili bwege mkubwa.
Kabisa mimi ni MATAGAKwel ww n taga
Poor guy
Kabisa mimi ni MATAGA
ulitaka kingine zaidi?