Jinsi Ole Sabaya atavyochomoka kwenye mikono dhalimu iliyombambikia kesi

Proof beyond reasonable doubt
Wewe ndo unajua zaidi ya waliofanya upelelezi wa tuhuma za huyo jambazi? Waliofanya upelelezi wameona Ole Jambazi ana kesi ya kujibu, halafu linakuja lisukuma gange linaanza kulialia nyuma keyboard. Shenzi kabisa.
 
Sawa mke wa Sabaya.
Mumeo sahivi analiwa 0 na wahuni pale Kisongo Prison, kwa kifupi aliyekuwa mumeo sahivi ni mke wa mtu
 
Mikono dhalimu ya wapinzani??
 
Hata kama pamoja na hayo tunachojua sisi ananyea ndoo.
 
Wewe vp unajielewa lakini ulitaka waripoti polisi ipi wakati wa magufuli kulikuwa hakuna haki polisi hiyo polisi ilikuwa chini ya amri ya huyo jangili mwenzako mwache anyee ndooni.
 
Unajua kujenga hoja kama shahidi mwaminifu!
 
Yani utafikiri takukuru ni kampuni ya chadema. Huoni unaidhalilisha nchi yako
 
Dah ww jamaa una roho ngumu sana kwa leo naishia hapa
 
Mpiga dili alishalala tangu 17.03.2021 na madhalimu wenzie wanashughulikiwa barabara,walitesa sana watu eti wazalendo kwenye nchi iliyokuwa huru tangu December 9,1961 wakapumbaza wajinga kwa vile sehemu wanayotekea wajinga na wapumbavu ni wengi kana kwamba taifa lilikuwa mikononi mwa mabeberu na mafisadi,halafu cha ajabu chama ni kile kile tangu enzi za uhuru,wakazalisha upuuzi ambao haujawahi tokea tangu uhuru.
 
Tunatengeneza precedent mbaya,

Ikija awamu ya saba itadeal na watu wa awamu ya sita,

Taifa litakua la visasi tu,

Tunapiga hatua moja mbele tunarudi tano nyuma.

Maskini Tanzania sijui lini utazifikia ndoto zako.
 
Kwani CHADEMA ndio wamemkamata?
Nonsense.
 
Kudhibitisha madai hayo ni rahisi sana .....akijifanya jiwe atafungwa kweli njia pekee kama pesa anayo na kweli anayo awape ndugu zake waende kulipa madeni angalau nusu kwa kila hotel ujue risiti zipo.....waliobakwa waombe msamaha na kuwapoza kiasi kidogo wazee wa busara.....lengo kuvuruga mashahidi wasitokee mahakamani ndugu yangu hapo tu atafaulu..........arudi chini alipe ujinga aliofanya....vinginevyo watatoka wote ameisha
 
Mumeo kaolewa!
 
Huwa mnalazimishwa kuchangia mada zilizoenda shule?
Huo mhalo ulimwaga hapa ndo unauita umeenda shule?Tangu shule zifungwe basi wanafunzi ndo mnajifunza kutype maneno mengi humu.Ninachokukubaki unapenda kuandika maneno mengi ila nisichokukubali maneno yako huwa hayana facts.
 
Sasa kwenye hili hao CHADEMA wameingiaje? Kahojiwa na TAKUKURU ya CHADEMA? Kakamatwa na Polisi wa CHADEMA? Kafikishwa Mahakama ya CHADEMA? Au hata Kisongo ni gereza la CHADEMA?

ndio mnakumbushwa muache kucheza disco la ccm mbuzi nyinyi.
 

katika makosa 4 aliyobanwa nayo sabaya la ubakaji halipo.
vipi jiwe kawatokea wabakwaji na kuwatisha au!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…