Jinsi picha la kurudia chaguzi Tanzania linavyochezwa

Jinsi picha la kurudia chaguzi Tanzania linavyochezwa

Wapi sera ya kubana matumizi??..sema sisi wabongo wajinga sana aisee
Sera utazijuaje kama hata kuzitangaza hizo sera ni sheeda! Upinzani umebanwa pumnzi. It is like TZ imerudi nyuma miaka 20
 
Yaani akitoa tamko kali mnasema anavunja katiba hafati sheria..akifata sheria na katiba mnasema hatoi tamko wala hakemei.

Suala la mtu kuhama chama na uchaguzi kurudiwa ni haki ya kila mtu kisheria na kikatiba. SASA kwanini mnataka rais avunje katiba kwa kukemea???.
Mkiambiwa mnavuta bangi pale ufipa makaburini mnatukana.
Hili la bange litakuwa linakuhusu wewe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom