Yeye hajiulizi hata hapo Tz anapoona kuna amani, juzikati kuna watu walikuwa wanafurahia kutembea usiku baada ya kijana aliekuwa anaingia nyumba moja moja kuchinja watu na kusepa zake alipouwawa na askari hapo Arusha.Acha woga.
Nenda ukale Maisha.
Hatari ipo popote. Unatembea nayo.
Hii ni kweli mkuu Robert Heriel Mtibeli maana ushahidi wa ulichoandika kipo mkuu.Kuna Watu ni wapumbavu sana.
Na namna ya kudili nao ni kama hivyo.
Mpumbavu hawezi kuzeeka lazima afe mapema kwa sababu ya Upumbavu wake
Yeye hajiulizi hata hapo Tz anapoona kuna amani, juzikati kuna watu walikuwa wanafurahia kutembea usiku baada ya kijana aliekuwa anaingia nyumba moja moja kuchinja watu na kusepa zake alipouwawa na askari hapo Arusha.
Mifumo hiyo ipo mkuu, sema hapo ndo imetoka hiyo. Mara nyingi umakini huchukuliwa kama yametokea maafa.Pole san mkuu hiv hao askar ukiwapa taarfa kuw gari imewafata wapi had hapo.mlipo inamaana njia zao hazina kamera kufalia gari yako na ya hao watu wanaokufata
Lakn inawezekan bado technology haitumiw vzr maan hapo zoez lilikuw jepesi sana kutambua hyo gari kama kungekuw na mifumo mizur ya CCTV camera
Sasa still bado hutoishi kwa aman , kama wanakufatilia wanakujua kbsa kuw makn zaidMifumo hiyo ipo mkuu, sema hapo ndo imetoka hiyo. Mara nyingi umakini huchukuliwa kama yametokea maafa.
Ila kwa vile hakuna maafa yaliotokea, na jamaa wametokomea zao basi inakua hakuna ufuatiliaji. Matukio hapa ni mengi kiasi ya kwamba hawawezi kufuatilia kila tukio.
Kongo au Sudan kusini. Pamoja na kwamba ni nchi za vita na yanatokea mauaji kila siku. Lakini bado utakuta kuna watu wanaishi maeneo hayo ya vita ambayo ndio huwapatia wao riziki zao za kila siku.Mtu uache kufanya kazi inayokupa ulaji ati uogope Kifo ambacho kipo tuu hata ukilala nyumbani kwako. Kuna Watu upeo Mdogo.
Wapo Watu wanakufa wakiwa mbele ya madaktari bingwa.
Na wapo Watu wanakufa wakiwa chini ya ulinzi Mkali. Wengine wanafia Ikulu.
Kweli mkuu ni kuwa makini na kumtanguliza sana Mungu mbele.Sasa still bado hutoishi kwa aman , kama wanakufatilia wanakujua kbsa kuw makn zaid
Unafuu unakuwa Sandton yoote au ndani ya mageti tu...hata kwenye malls kuna usalama?Yah Sandton kuna unafuu mkubwa maana wanaishi watu wenye pesa tu.
Na kuna sehemu zingine kama vile Randpark ridge, northclif, randbag nk. Ila ni hapa hapa joz
Pole sana. Muhimu kuendelea kuchukua tahadhari!Habari zenu wanaJF wenzangu,
Kwanza napenda kumshukuru mw/Mungu kwa kuendelea kunipa nafasi nyingine ya kuishi hapa duniani. Naelewa kila mtu atakufa kwa kifo cha namna yake hapa duniani, lkn katika maisha yangu nimekuwa nikimuomba Mungu siku akinihitaji kurudi kwake, basi kifo changu kiwe cha amani mfano kiwe cha usingizini, cha nyumbani nikiwa nimekaa nk.
Vifo vya kufa kwa kuuwawa mara nyingi huwa sio vizuri. Ni vya mateso na maumivu makali, japo dini hutuambia kwamba wale wanaouwa wenzao kwa namna yoyote, na wao adhabu yao huwa kubwa kwa Mungu, na pia hapa duniani kwa sheria za nchi husika. Hivyo inapotokea mtu umenusurika kifo cha kuuwawa na mtu/ watu, basi ni bora kutumia muda mwingi kumshukuru Mungu na yule/ wale waliokuwa sababu ya kukuokoa.
Let's go to the mada husika hapo chini 👇
Wakuu mimi ni mbongo nilieamua kuhamishia maisha yangu Kaburu longtime ago, japo mara nyingi huwa nakuja bongo kwa mambo yangu binafsi na kuondoka.
Usiku wa kuamkia leo, kuna ndugu yangu alikuwa anasafiri na ndege ya usiku, kutoka hapa Afrika kusini kuelekea Tz (nyumbani). Huyu ndugu yangu ni mwenyeji wa Cape Town, hivyo alivyofika hapa mimi ndio nilikuwa mwenyeji wake.
Alikuwa anaondoka na ndege ya saa tisa alfajiri, hivyo ikabidi mimi na rafiki yangu tumpeleke uwanja wa ndege wa Oliver Tambo saa sita usiku, ili awahi kufanya process zake zingine za usafiri nk, na pia na sisi angalau tuwahi kurudi kupumzika kwa ajili ya kesho (leo asubuhi) kazini. Basi baada ya kufika kule na kupiga story mbili tatu za kuagana, na baadae kufanya process zake za usafiri, sisi mida ya saa saba na nusu tukaanza safari ya kurudi nyumbani.
Wakati nakanyaga mafuta katika highway ya kutoka Kempton park kuelekea Johannesburg town, nikaona kama kuna gari fulan ndogo inatufuata kwa nyuma. Mwanzo tulijua ni gari tu ya kawaida au maybe askari wanataka watusimamishe wakague gari yetu (huo ni utaratibu wao), lkn kila nilipokuwa naongeza mwendo na wao pia waliongeza kimya kimya.
Nilivyofika sehemu fulani kuna mjengo mkubwa umeandikwa "Builders Warehouse" Edenvale, nikaingia kushoto kuelekea Edenvale road ila mimi nikakunja kushoto kuelekea upande wa Germiston road, kuangalia nyuma naona na wao wanaelekea upande ule ule ninaoelekea mimi. Sasa nikawa nishajua kwamba jamaa wanatufuata ni sisi na tukifanya masihara tutagawa maisha yetu kwa shetani (nasema ivi kwa sababu mtu anaetaka kukufanyia uovu anakuwa connected moja kwa moja na shetani) hivyo nikabidi nizidishe speed bila kujali mshale unasoma ngapi kibaoni.
Nilivyokunja pale Edenvale road kuelekea Germiston road nikavuka robot ya kwanza (mataa), nikavuka ya pili kuna daraja la highway ya gari zinazotoka Pretoria, alaf mbele nikakunja kulia jamaa wako na sisi tu japo tayari tulikuwa tushawaacha distance kadhaa. Nikakamua kweli kweli mpaka tukakutana na highway wa Albertina Sisulu, jamaa hawakati tamaa wako na sisi tu.
Tukatambaa na highway mpaka mitaa ya karibu na Eastgate Mall. Pale tukakuta kuna gari ya askari imepaki pembeni wanafanya ukaguzi wa kawaida, tukasema hapa hapa ndo tutapopatia usalama wetu. Japo hawakutaka kutusimisha, lkn ikabidi sisi wenyewe tusimame, ili tuwape maelezo ya ile gari inayotufatilia.
Wakati nimepaki pemben nashuka kwenda kuwapa maelezo wale askari tukaona ile gari nayo inakuja wangu wangu.., ila walipoona kuna askari, na sisi tumepaki tukiongea na askari, jamaa wakapandisha kwa njia ya juu kushoto inayoelekea Eastgate kwenyewe na kutokomea kusikojulikana.
Sasa kwa vile ni usiku na tulikuwa kwenye kukimbizwa na watu hatari, hatukuweza kui mark gari yenyewe wala namba za gari, hivyo ikawa ngumu kwa sisi na askari kuwakamata, kwani tulijaribu kuwafuatilia kwa nyuma na gari yetu tukiongozana na ile ya askari, lkn hola hatukuwapata, na ukizingatia J'burg ni mji mkubwa na una barabara nyingi mno. Basi tukarudi home na kulala hadi asubuhi.
Hii imenikumbusha, week 2 zilizopita, kuna mkongo mmoja alifuatiliwa hivyo hivyo kutoka Yeoville hadi kwake Bez alley. Inasemekana kuwa mkongo baada ya kufika kwake alifungua mlango fasta, na kuingia kwake. Ila bahati mbaya (au naweza kusema siku zake zilikuwa zimefika) hakuwa amebana vizuri gate la kuingilia kwake, na jamaa wakawa wameshafika na kuona nyumba aliyoingia. Jamaa wakapush mlango, wakaingia ndani na kukuta watu wakiwa hawana hili wala lile, jamaa wakiwa na "double 9" mkononi wakauliza yule mtu aliekimbilia humu yuko wapi? Mpopo (nigeria guy) mmoja akajibu hatujamuona, kabla hajamaliza kauli akapigwa ya Paja, na kuelekezewa nyingine kichwani, akaambiwa tunauliza kwa mara ya mwisho, bila jibu sahihi tunafumua ubongo na kukamata mungine mpaka tutawamaliza. Walivyouliza kwa mara ya pili, wote wakajibu pamoja kwamba amejificha chooni.
Ndo wakamwambia mpopo akawaoneshe chooni, kweli Ile kuingia wakakuta jamaa kajificha anatetemeka. Wakamtoa nje mbele ya familia yake, wakamuomba funguo za gari na simu, akawa funguo akasema hana simu. Basi jamaa wakafumua kichwa kwa risasi 4 mbele ya ndugu zake, alafu funguo ya gari wakaachana nayo wakatoka nje na kutokomea kusikojulikana.
So na sisi tulivyokuwa tunafuatwa, basi nilihisi na mimi yanakwenda kunikuta yale ya mkongo. Kwamba huenda jamaa wamepewa dili tu kama ilivyotokea kwa yule mkongo au labda walikuwa ni majambazo wa magari nk.
Huu ndio unakuaga mwezi mgumu, na hatari kuliko miezi yote hapa Kaburu. Wengi huwa tunaweka mbele maombi na dua mbali mbali ili kuuvuka salama mwezi huu.
Yes kama mnarusiwa kumilk mguu wa kuku make sure you have itKweli mkuu ni kuwa makini na kumtanguliza sana Mungu mbele.
Mambo mengine ni pasua kichwa kiasi kwamba mtu unashindwa kujua la kufanya kwa muda husika.
Usalama wa kule ni kwa sababu watu wengi yani 90% au 95 ya wanaoishi kule wanamiliki silaha, hivyo inafanya wahalifu waogope kwenda kufanya uhalifu kama wanavyofanya maeneo mengine.Unafuu unakuwa Sandton yoote au ndani ya mageti tu...hata kwenye malls kuna usalama?
Asante mkuu.Pole sana. Muhimu kuendelea kuchukua tahadhari!
Yah japo process ni ndefu lkn nitajaribu ili nijilinde mkuuYes kama mnarusiwa kumilk mguu wa kuku make sure you have it
pOLE SANA DIASPORAHabari zenu wanaJF wenzangu,
Kwanza napenda kumshukuru mw/Mungu kwa kuendelea kunipa nafasi nyingine ya kuishi hapa duniani. Naelewa kila mtu atakufa kwa kifo cha namna yake hapa duniani, lkn katika maisha yangu nimekuwa nikimuomba Mungu siku akinihitaji kurudi kwake, basi kifo changu kiwe cha amani mfano kiwe cha usingizini, cha nyumbani nikiwa nimekaa nk.
Vifo vya kufa kwa kuuwawa mara nyingi huwa sio vizuri. Ni vya mateso na maumivu makali, japo dini hutuambia kwamba wale wanaouwa wenzao kwa namna yoyote, na wao adhabu yao huwa kubwa kwa Mungu, na pia hapa duniani kwa sheria za nchi husika. Hivyo inapotokea mtu umenusurika kifo cha kuuwawa na mtu/ watu, basi ni bora kutumia muda mwingi kumshukuru Mungu na yule/ wale waliokuwa sababu ya kukuokoa.
Let's go to the mada husika hapo chini 👇
Wakuu mimi ni mbongo nilieamua kuhamishia maisha yangu Kaburu longtime ago, japo mara nyingi huwa nakuja bongo kwa mambo yangu binafsi na kuondoka.
Usiku wa kuamkia leo, kuna ndugu yangu alikuwa anasafiri na ndege ya usiku, kutoka hapa Afrika kusini kuelekea Tz (nyumbani). Huyu ndugu yangu ni mwenyeji wa Cape Town, hivyo alivyofika hapa mimi ndio nilikuwa mwenyeji wake.
Alikuwa anaondoka na ndege ya saa tisa alfajiri, hivyo ikabidi mimi na rafiki yangu tumpeleke uwanja wa ndege wa Oliver Tambo saa sita usiku, ili awahi kufanya process zake zingine za usafiri nk, na pia na sisi angalau tuwahi kurudi kupumzika kwa ajili ya kesho (leo asubuhi) kazini. Basi baada ya kufika kule na kupiga story mbili tatu za kuagana, na baadae kufanya process zake za usafiri, sisi mida ya saa saba na nusu tukaanza safari ya kurudi nyumbani.
Wakati nakanyaga mafuta katika highway ya kutoka Kempton park kuelekea Johannesburg town, nikaona kama kuna gari fulan ndogo inatufuata kwa nyuma. Mwanzo tulijua ni gari tu ya kawaida au maybe askari wanataka watusimamishe wakague gari yetu (huo ni utaratibu wao), lkn kila nilipokuwa naongeza mwendo na wao pia waliongeza kimya kimya.
Nilivyofika sehemu fulani kuna mjengo mkubwa umeandikwa "Builders Warehouse" Edenvale, nikaingia kushoto kuelekea Edenvale road ila mimi nikakunja kushoto kuelekea upande wa Germiston road, kuangalia nyuma naona na wao wanaelekea upande ule ule ninaoelekea mimi. Sasa nikawa nishajua kwamba jamaa wanatufuata ni sisi na tukifanya masihara tutagawa maisha yetu kwa shetani (nasema ivi kwa sababu mtu anaetaka kukufanyia uovu anakuwa connected moja kwa moja na shetani) hivyo nikabidi nizidishe speed bila kujali mshale unasoma ngapi kibaoni.
Nilivyokunja pale Edenvale road kuelekea Germiston road nikavuka robot ya kwanza (mataa), nikavuka ya pili kuna daraja la highway ya gari zinazotoka Pretoria, alaf mbele nikakunja kulia jamaa wako na sisi tu japo tayari tulikuwa tushawaacha distance kadhaa. Nikakamua kweli kweli mpaka tukakutana na highway wa Albertina Sisulu, jamaa hawakati tamaa wako na sisi tu.
Tukatambaa na highway mpaka mitaa ya karibu na Eastgate Mall. Pale tukakuta kuna gari ya askari imepaki pembeni wanafanya ukaguzi wa kawaida, tukasema hapa hapa ndo tutapopatia usalama wetu. Japo hawakutaka kutusimisha, lkn ikabidi sisi wenyewe tusimame, ili tuwape maelezo ya ile gari inayotufatilia.
Wakati nimepaki pemben nashuka kwenda kuwapa maelezo wale askari tukaona ile gari nayo inakuja wangu wangu.., ila walipoona kuna askari, na sisi tumepaki tukiongea na askari, jamaa wakapandisha kwa njia ya juu kushoto inayoelekea Eastgate kwenyewe na kutokomea kusikojulikana.
Sasa kwa vile ni usiku na tulikuwa kwenye kukimbizwa na watu hatari, hatukuweza kui mark gari yenyewe wala namba za gari, hivyo ikawa ngumu kwa sisi na askari kuwakamata, kwani tulijaribu kuwafuatilia kwa nyuma na gari yetu tukiongozana na ile ya askari, lkn hola hatukuwapata, na ukizingatia J'burg ni mji mkubwa na una barabara nyingi mno. Basi tukarudi home na kulala hadi asubuhi.
Hii imenikumbusha, week 2 zilizopita, kuna mkongo mmoja alifuatiliwa hivyo hivyo kutoka Yeoville hadi kwake Bez alley. Inasemekana kuwa mkongo baada ya kufika kwake alifungua mlango fasta, na kuingia kwake. Ila bahati mbaya (au naweza kusema siku zake zilikuwa zimefika) hakuwa amebana vizuri gate la kuingilia kwake, na jamaa wakawa wameshafika na kuona nyumba aliyoingia. Jamaa wakapush mlango, wakaingia ndani na kukuta watu wakiwa hawana hili wala lile, jamaa wakiwa na "double 9" mkononi wakauliza yule mtu aliekimbilia humu yuko wapi? Mpopo (nigeria guy) mmoja akajibu hatujamuona, kabla hajamaliza kauli akapigwa ya Paja, na kuelekezewa nyingine kichwani, akaambiwa tunauliza kwa mara ya mwisho, bila jibu sahihi tunafumua ubongo na kukamata mungine mpaka tutawamaliza. Walivyouliza kwa mara ya pili, wote wakajibu pamoja kwamba amejificha chooni.
Ndo wakamwambia mpopo akawaoneshe chooni, kweli Ile kuingia wakakuta jamaa kajificha anatetemeka. Wakamtoa nje mbele ya familia yake, wakamuomba funguo za gari na simu, akawa funguo akasema hana simu. Basi jamaa wakafumua kichwa kwa risasi 4 mbele ya ndugu zake, alafu funguo ya gari wakaachana nayo wakatoka nje na kutokomea kusikojulikana.
So na sisi tulivyokuwa tunafuatwa, basi nilihisi na mimi yanakwenda kunikuta yale ya mkongo. Kwamba huenda jamaa wamepewa dili tu kama ilivyotokea kwa yule mkongo au labda walikuwa ni majambazo wa magari nk.
Huu ndio unakuaga mwezi mgumu, na hatari kuliko miezi yote hapa Kaburu. Wengi huwa tunaweka mbele maombi na dua mbali mbali ili kuuvuka salama mwezi huu.
Kwani upweke mkuu? Hakuna waafrika kule?Pambaneni, nimeishi USA na ningeweza baki, ila upweke ulinirudisha, usa palikuwa salama sana kwangu
Asante kwa kutoa taarifa ya ukweli kuhusu maisha katika Jiji hilo la Joburg. Wengi wetu wakiambiwa kuhusu hatari iliyopo huko hawaamini.Asante mkuu, japo asieogopa kifo, lkn haya ndio maisha yetu kwa kiwango kikubwa hapa Kaburu. Hususan jozi
Botswana na penyewe pagumu mzunguko wa pesa ni mgogo na ajira hakunaPole Sana ....
Why usiahamie hata Botswana...
Au Namibia?
Pole sana,Mungu ni mwema,Rudini nyumbani kumenoga!Habari zenu wanaJF wenzangu,
Kwanza napenda kumshukuru mw/Mungu kwa kuendelea kunipa nafasi nyingine ya kuishi hapa duniani. Naelewa kila mtu atakufa kwa kifo cha namna yake hapa duniani, lkn katika maisha yangu nimekuwa nikimuomba Mungu siku akinihitaji kurudi kwake, basi kifo changu kiwe cha amani mfano kiwe cha usingizini, cha nyumbani nikiwa nimekaa nk.
Vifo vya kufa kwa kuuwawa mara nyingi huwa sio vizuri. Ni vya mateso na maumivu makali, japo dini hutuambia kwamba wale wanaouwa wenzao kwa namna yoyote, na wao adhabu yao huwa kubwa kwa Mungu, na pia hapa duniani kwa sheria za nchi husika. Hivyo inapotokea mtu umenusurika kifo cha kuuwawa na mtu/ watu, basi ni bora kutumia muda mwingi kumshukuru Mungu na yule/ wale waliokuwa sababu ya kukuokoa.
Let's go to the mada husika hapo chini 👇
Wakuu mimi ni mbongo nilieamua kuhamishia maisha yangu Kaburu longtime ago, japo mara nyingi huwa nakuja bongo kwa mambo yangu binafsi na kuondoka.
Usiku wa kuamkia leo, kuna ndugu yangu alikuwa anasafiri na ndege ya usiku, kutoka hapa Afrika kusini kuelekea Tz (nyumbani). Huyu ndugu yangu ni mwenyeji wa Cape Town, hivyo alivyofika hapa mimi ndio nilikuwa mwenyeji wake.
Alikuwa anaondoka na ndege ya saa tisa alfajiri, hivyo ikabidi mimi na rafiki yangu tumpeleke uwanja wa ndege wa Oliver Tambo saa sita usiku, ili awahi kufanya process zake zingine za usafiri nk, na pia na sisi angalau tuwahi kurudi kupumzika kwa ajili ya kesho (leo asubuhi) kazini. Basi baada ya kufika kule na kupiga story mbili tatu za kuagana, na baadae kufanya process zake za usafiri, sisi mida ya saa saba na nusu tukaanza safari ya kurudi nyumbani.
Wakati nakanyaga mafuta katika highway ya kutoka Kempton park kuelekea Johannesburg town, nikaona kama kuna gari fulan ndogo inatufuata kwa nyuma. Mwanzo tulijua ni gari tu ya kawaida au maybe askari wanataka watusimamishe wakague gari yetu (huo ni utaratibu wao), lkn kila nilipokuwa naongeza mwendo na wao pia waliongeza kimya kimya.
Nilivyofika sehemu fulani kuna mjengo mkubwa umeandikwa "Builders Warehouse" Edenvale, nikaingia kushoto kuelekea Edenvale road ila mimi nikakunja kushoto kuelekea upande wa Germiston road, kuangalia nyuma naona na wao wanaelekea upande ule ule ninaoelekea mimi. Sasa nikawa nishajua kwamba jamaa wanatufuata ni sisi na tukifanya masihara tutagawa maisha yetu kwa shetani (nasema ivi kwa sababu mtu anaetaka kukufanyia uovu anakuwa connected moja kwa moja na shetani) hivyo nikabidi nizidishe speed bila kujali mshale unasoma ngapi kibaoni.
Nilivyokunja pale Edenvale road kuelekea Germiston road nikavuka robot ya kwanza (mataa), nikavuka ya pili kuna daraja la highway ya gari zinazotoka Pretoria, alaf mbele nikakunja kulia jamaa wako na sisi tu japo tayari tulikuwa tushawaacha distance kadhaa. Nikakamua kweli kweli mpaka tukakutana na highway wa Albertina Sisulu, jamaa hawakati tamaa wako na sisi tu.
Tukatambaa na highway mpaka mitaa ya karibu na Eastgate Mall. Pale tukakuta kuna gari ya askari imepaki pembeni wanafanya ukaguzi wa kawaida, tukasema hapa hapa ndo tutapopatia usalama wetu. Japo hawakutaka kutusimisha, lkn ikabidi sisi wenyewe tusimame, ili tuwape maelezo ya ile gari inayotufatilia.
Wakati nimepaki pemben nashuka kwenda kuwapa maelezo wale askari tukaona ile gari nayo inakuja wangu wangu.., ila walipoona kuna askari, na sisi tumepaki tukiongea na askari, jamaa wakapandisha kwa njia ya juu kushoto inayoelekea Eastgate kwenyewe na kutokomea kusikojulikana.
Sasa kwa vile ni usiku na tulikuwa kwenye kukimbizwa na watu hatari, hatukuweza kui mark gari yenyewe wala namba za gari, hivyo ikawa ngumu kwa sisi na askari kuwakamata, kwani tulijaribu kuwafuatilia kwa nyuma na gari yetu tukiongozana na ile ya askari, lkn hola hatukuwapata, na ukizingatia J'burg ni mji mkubwa na una barabara nyingi mno. Basi tukarudi home na kulala hadi asubuhi.
Hii imenikumbusha, week 2 zilizopita, kuna mkongo mmoja alifuatiliwa hivyo hivyo kutoka Yeoville hadi kwake Bez alley. Inasemekana kuwa mkongo baada ya kufika kwake alifungua mlango fasta, na kuingia kwake. Ila bahati mbaya (au naweza kusema siku zake zilikuwa zimefika) hakuwa amebana vizuri gate la kuingilia kwake, na jamaa wakawa wameshafika na kuona nyumba aliyoingia. Jamaa wakapush mlango, wakaingia ndani na kukuta watu wakiwa hawana hili wala lile, jamaa wakiwa na "double 9" mkononi wakauliza yule mtu aliekimbilia humu yuko wapi? Mpopo (nigeria guy) mmoja akajibu hatujamuona, kabla hajamaliza kauli akapigwa ya Paja, na kuelekezewa nyingine kichwani, akaambiwa tunauliza kwa mara ya mwisho, bila jibu sahihi tunafumua ubongo na kukamata mungine mpaka tutawamaliza. Walivyouliza kwa mara ya pili, wote wakajibu pamoja kwamba amejificha chooni.
Ndo wakamwambia mpopo akawaoneshe chooni, kweli Ile kuingia wakakuta jamaa kajificha anatetemeka. Wakamtoa nje mbele ya familia yake, wakamuomba funguo za gari na simu, akawa funguo akasema hana simu. Basi jamaa wakafumua kichwa kwa risasi 4 mbele ya ndugu zake, alafu funguo ya gari wakaachana nayo wakatoka nje na kutokomea kusikojulikana.
So na sisi tulivyokuwa tunafuatwa, basi nilihisi na mimi yanakwenda kunikuta yale ya mkongo. Kwamba huenda jamaa wamepewa dili tu kama ilivyotokea kwa yule mkongo au labda walikuwa ni majambazo wa magari nk.
Huu ndio unakuaga mwezi mgumu, na hatari kuliko miezi yote hapa Kaburu. Wengi huwa tunaweka mbele maombi na dua mbali mbali ili kuuvuka salama mwezi huu.
Nakuhakikishia mwezi wa 1 tarehe 8 2024 hufiki.