Jinsi polisi walivyonusuru maisha yangu last night

Jinsi polisi walivyonusuru maisha yangu last night

Pole sana mkuu, chukua tahadhari usipuuze hata kidogo.
Naomba kuuliza. Ivi kwa nini SA kuna matukio mengi ya mauaji kuliko nchi zingine, wanaishi maisha kama kwenye movie.
Ni kwa sababu kila mtu kaja kutafuta, na wengi wa waliokuja kutafuta wanataka utajiri wa haraka haraka aidha kwa njia ya wizi, kuuza madawa ya kulevya, kutapeli nk.

Na matukio hayo mara nyingi huendana na mauaji, utekaji nk.
 
Hongera kwa kutambua hatari...

Next time jitahidi kuchukua aina yoyote ya ushahidi pia gari yako iwekee Dashboard camera.. na rear camera. Pia weka tinted kali.

Nyumba yako iwekee security nzuri bila kusahau camera.. sometimes unapata ushahidi kwa kufatilia footages za miezi kadhaa nyuma na kumjua/kuwabaini watu wabaya.

Pia ukiwa na mishe zako usiwe mtu wa kutumia njia moja. Yaan njia hiyo hiyo utakayotoka nayo ndio urudi nayo..

Jitahidi uwe mtu wa kubadiri njia mara kwa mara yaan UNPREDICTABLE
Hakika JF bado ina watu muhimu sana kama wewe. Huu ushauri sikutegemea kuupata kwa mtu yoyote.

Ni ushauri ambao unaweza kumsaidia mimi na wasomaji wengine hapa JF

Ubarikiwe sana mkuu kwa moyo wako wa kusaidia wengine kujilinda.
 
Hahaaaaa, dogo hajui maisha anajiongelea tu huyo. Pambana mwanaume.
Imagine mtu mwenye roho ya upambanaji kama mimi, nimeshakwepa vifo hatari kibao, alaf waje wasikie nimeuwawa na dogo sijui Ali Dangote kwa kupigwa kisu kimoja cha mbavu.

Huo sasa utakuwa ujanja au ujinga wa kujitakia 🤣🤣🤣
 
Sio lazima wote tujazane nchi 1 kama dagaa mkuu.
Usihangaike naye huyo, wabongo ndiyo walivyo washamba. Mtu akiwa nje ya nchi akilalamika au kukutana na kisa kitu cha kwanza anachoambiwa ni ''si urudi kwenu!'' Duania ya leo watu wanajitahidi kusafiri na kuishi nchi nyingine lakini kuna watu wanadhani ni sifa kukaa Bongo...
Back to the topic.. Huyo mpopo unayesema aliuawa pengine ilikuwa ni kisasi au aliingilia kwenye himaya za watu za kuuza madawa ya kulevya na kisa chako inawezeka walikuwa wezi wa kawaida tu.(kama kwenye madawa na uhalifu haupo). Mtu unapokuwa nchi isiyo na usalama mzuri na unasafiri alfajiri kama ulivyosema ni bora uende mapema ulale airport. Airport nyingi zinakuwa na facilities za kuwezesha mtu kukaa kwa muda mrefu kusubiri ndege. Nyingine zina mpaka sehemu zenye makochi ya kulalia.
 
Back
Top Bottom