Jinsi polisi walivyonusuru maisha yangu last night

Ushasema USA. Kule ni mbali ndio maana wengi hatufikirii kwenda kuishi kule.
Hapa Kaburu ni karibu mno na nyumban, na kila mara nikitaka kuja bongo kufanya mambo yangu, naruka mara 1 baada ya wiki 1 au 2 narudia Kaburu kuendelea na maisha.
Kweli kabisa siku hizi kwa Magufuli kuna basi la laki tatu kwenda jobenga
 
Uzuri wa Jamii forum kila mmoja yupoa mambele
N. B nipo zangu Tokyo natafuna kahwa
 
Ya ni kweli mkuu, huenda alieuwawa alikuwa na beef na watu fulani so wakaamua kumuondoa mwa tyle ile.

Pia unachosema kuhusu airport wala haujakosea, lkn sisi tulikuwa na gari ndio maana hatukuona ulazima wa kubaki pale hadi asubuhi kwani huwa nashindikiza watu na kurudi nyumbani muda wowote bila tatizo.

Sema ndio hivyo siku hazifanani ndio maana yakatokea yaliotokea usiku. Hata hivyo namshukuru Mungu kwa kuniokoa na kunifanya niendelee kuishi maana kuna majambazi wengine japo utawapa gari waende nalo ili wakuache salama, lkn anaweza kutokea mmoja wao akaamua kukushuti na kukupotezea uhai wako bure.

Kuhusu jamaa wa kurudi bongo kwa kweli hata mimi mwanzo sikumuelewa lengo lake. Hivyo nikamjibu kiufupi tu nadhan na yeye akaelewa.

Shukran sana kwa ushauri mzuri mkuu.
 
Uzuri wa Jamii forum kila mmoja yupoa mambele
N. B nipo zangu Tokyo natafuna kahwa
Kila la heri huko ulipo mkuu. Kwa vile sikujui na wewe haunijui basi sina shida ya kukubishia, kwani Japan au nchi yoyote iliyopo duniania inaweza kufikika muda wowote na kwa mtu yoyote ilimradi uwe na vigezo vya kukufikisha huko.

Ni miaka ya 80 hadi 90 ndo ilikuwa mtu ukijulikana uko nje ya Tz unaonekana wa ajabu na mjanja kuliko maelezo yenyewe. Ila kwa sasa sehemu ambayo watu wanaona haiwezi kufikika kiurahisi ni mbinguni peke yake, ndomaana mtu akienda huko hushindwa tena kurudi.

Wape salam kina fresh jumbe na wabongo wengine kwa ujumla.
 
Pole sana. Kama wewe muislam basi zidisha swala na omba dua na toa swadaka. Kama sio muislam basi haraka uingie ktk uislam ili ukifa ufe ukiwa muislam ili ukaishi maisha mazuri
 
so huyu mkongo walimuua lkn hawakuchukua gari wala chochote?so inawezekana ilikua mauaji ya kisasi?
 
Nimeogopa.
Wanaume maisha ni mapambano.

Chukueni tahadhari sana, ukiweza hiyo gari usiitumie kwa muda fulani
Shukran sana kwa ushauri mkuu. Kuna baadhi ya watu wananishauri hivyo hivyo ila wao wanasema niache nyumban alaf nitafute mteja niiuze.

Wengine wanashauri nihame mji. Binafsi sielewi kuwa nilikuwa natafutwa mimi, gari yangu (kwa maana ya wezi walitaka kuniibia tu gari) , au alikuwa anatafutwa yule rafiki yangu tuliekuwa nae ndan ya gari.

I mean mpaka sasa sielewi elewi lengo na nia ya wale jamaa ilikuwa ni nini?
 
so huyu mkongo walimuua lkn hawakuchukua gari wala chochote?so inawezekana ilikua mauaji ya kisasi?
Inawezekana ni kisasi chao wenyewe (wauaji) au walipewa deal na mtu wakamuue yule mkongo, maana walipomaliza hawakuchukua chochote.

Walipoingia ghafla pale barazani walikuta watu wanaangalia tv kubwa ya plasma, laptop, simu za maana sana zinachajiwa huku wengine wamezishika mkononi wanachati.
 
Kwenye makasino ya wacheza kamari kuna msemo mmoja maarufu sana" winners knows when to quit. "
South africa na uzuri wake katika utafutaji wa pesa nyie wahusika mnatakiwa muwe na ratiba ya kutoka na kurudi nyumbani kuwekeza .
Tukio zima lililokutokea jana mimi limeahawahi kunitokea miaka 17 nyuma na nilisha wahi leta story hapa . enzi hizo nokiishi hillbrow at its best.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…