Jinsi polisi walivyonusuru maisha yangu last night

Rudi TZ uendelee kuishabikia CCM.
 
Japo hayo hutokea kwa baadhi ya watu, lkn mimi sio mmoja wao mkuu.

Na jamaa niliemshindikiza hawezi kufanya huo mchongo kwani yeye hapa ni mgeni kutoka cape town, na mimi ndio nilikuwa mwenyej wake, alaf ni ndugu wa damu kabisa.
Jirudie home...kumenogaaπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
Duh yaani nikishaishi sehemu kama hizo kuna vitu viwili lazima ntazingatia, safari za usiku zisizokuwa na kichwa wala miguu ntazikacha, halafu lazima ninunue mguu wa Kuku na ntatembea nao all the time

Pia gari lazima liwe full tenki

Maana kwa mafuta yetu haya ya vibaba mbona dakika mbili tu ushajikamatisha
 
SA bwana, napapenda lakini ni hatari kweli kweli .

Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda member mwenzetu wa JF.

Na uache kushabikia CCM kumbe mwenyewe haupo, sisi huku CCM inatutesa sana πŸ˜…
Aisee....
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila ubarikiwe sana kwa maombi na dua yako kwangu mkuu πŸ™
 
Ni kweli mkuu. Imagine katika hali kama ile alaf mafuta yanakata ghafla njiani, si unakuwa kitoweo chao kabisa maadui zako.

Ila kama Mungu hajaamua uwawe mikononi mwao, basi atakuepusha kwa namna yoyote ile, kama alivyoniepusha mimi katika mazingira ambayo sikuyategemea.
 
Pole sana! Na hongera kuwa makini. Mara nyingi watu wanaotoka Airport au Shopping malls wanakuwa wanawindwa sana na vibaka.Mungu akulinde Ndugu. Kitambo sana hapo Hillbrow Flamingo Hotel, wape high majita wote hapo the pertz na mitaa mingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…