Jinsi Rais Samia anavyotoa mamilioni ya sadaka kwa Makanisa

Ni juhudi za kuwa karibu na kanisa, anajua kama Kanisa likimtenga urais wake utakuwaje.
 
Hela zote hizo zingeje vituo vya afya vingapi? Mashule mangapi?
 
Ni juhudi za kuwa karibu na kanisa, anajua kama Kanisa likimtenga urais wake utakuwaje.
Uzuri kanisa Katoliki halijawahi kujipendekeza atawapata kina Mwamposa.
 
Angetoa misikitini wangesema ni mzanzibar anatoa kwa sababu ni muislamu lakini hapa kimya mmmm zao!
 
Kwani yeye wa kwanza kuwa rais hatukuona kwa marais wengine wakigawa mamilioni kiasi hiki.
Ni heri huyu anatoa kwenye majumba ya ibada, kuliko yule aliyekuwa anatembea na mabulungutu na kuyagawa kwenye ziara zake!
 
Hakuna sadaka, ni RUSHWA,pesa za kuuza Bandari!!
 
Zinatusaidia nini wananchi!?
 
HATA ATOE VIPI ...ALIYE LAANIKA AMEKWISHA KULAANIKA TU ...HAPO.MWENYEWE USIKUTE ANAJARIBU KUJITAKASA NA LAANA ALIYO NAYO KWA KUTOA HIVYO VIPESA....
 

Attachments

  • FB_IMG_1730154930111.jpg
    62.6 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…