Jinsi Rais Samia anavyotoa mamilioni ya sadaka kwa Makanisa

Hiyo ni sadaka au michango? Sadaka hutolewa wakati wa ibada, lini aliingia ibani mwa makanisa hayo akatoa sadaka? Iweje sadaka ya mtu mmoja ijulikane ni kiasi gani na watu wengine wasijulikane wametoa kiasi gani?
 
Kuna kijiji huko mpwapwa, hawana huduma yoyote ya kijamii hata zahanati hawana, wanawake kujifungulia nyumbani ni kawaida, umeme hawana kule, shule ni changamoto, maji hawana kabisa, huko monduli wananchi wanakunywa maji yaliyotumika yaani dimbwi, na hilo dimbwi linalindwa usiku ili wanyama wasije wakamaliza ikawa tabu zaidi, hiyo mifano miwili tu. Halafu mnasema mama anaupiga mwingi
 
Hii habari haina ukweli hiyo # 15 inatia shaka.
Kwa hiyo namba zingine ni za kweli? Kamata hiyo ukitaka na link tutakuwekea.

RAIS MHE. DKT. SAMIA ACHANGIA MILIONI 50 KANISA LA MENNONITE

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akitoa hotuba kwa niaba ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha Elimu Mkamba cha Kanisa la Mennonite Tanzania, Jijini Dar es salaam.

 
Bibi chaudele yuko vizuri sana kwenye kuhonga
 
Obviously, they are printing money!
 
Hizo ni show off.
 
Tuliosoma Cuba nadhani tumeelewana
 
Inawezekana lengo la Samia ni kuwawezesha manabii kina Mwamposa ili waweze kuwaombea waumini wapone bila kuhitaji zahanati. ,😆😆😆😆😆
 
Inawezekana lengo la Samia ni kuwawezesha manabii kina Mwamposa ili waweze kuwaombea waumini wapone bila kuhitaji zahanati. ,😆😆😆😆😆
si wangeweka kambi mloganzila, Amana, Muhimbili kuombea watu wapone ili serikal isitumie pesa nyingi kuwekeza kwenye eneo la matibabu?

Hayo makanisa yana shule, gusa ada zake uone, hayo makanisa yana hospitali, gusa gharama zake sasa sio rafiki kwa waumini wake
 
Utakuta mbele ya kanisa barabara za tope
Hana mshahara wa kugawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…