Jinsi Rais Samia anavyotoa mamilioni ya sadaka kwa Makanisa


Mbona hizi Hela za Waarabu zinapelekwa Makanisani tu ..... Au Misikitini wao wanapelekewa directo!!?
 
Mbona hizi Hela za Waarabu zinapelekwa Makanisani tu ..... Au Misikitini wao wanapelekewa directo!!?

Kwa nini wachunga kondoo wa Mungu wanakubali haya au yamesahau habari ya shekeli za Yuda Eiskarote[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Kwa nini wachunga kondoo wa Mungu wanakubali haya au yamesahau habari ya shekeli za Yuda Eiskarote[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Hapo sasa. Hii kwa kweli siyo michango bali ni HONGO.

Maza hana hiyo hela yote ya kugawa kila kanisa .... Hii LEGACY ya Magufuli ya kugawagawa pesa hovyo hovyo italisumbua Taifa kwa mda mrefu sana.
 
Sisi wenye akili tunajua hiyo ni Rushwa ya uchaguzi!

Hata hivyo tuache kazi iendelee hivyo hivyo kama ilivyo!
 
Jumlisha 635M + 850M + X ( Mwamposa). Ongezea na magoli, Ongezea na Tour za wasaniii, Ongezea Sherehe za Kisiwa X, Ongezea na Zile nasikia sijui mtoto wa nan anakula nn.


Harafu unasema Nchi Maskini au akili zetu hazina vipaumbele?
Kipaumbele ni Kushinda Vita binafsi na ku maintain madaraka na Maisha mazuri ? Au ni kwenda Mbele kama Nchi.
 
Wajukuu wa wajuu zetu lazima watafukua makaburi yetu kuangalia tulikwa binadamu wa aina gani. Imagine unagawa hela zote hilzo kwa makanisa ambayo tayari yanajiendesha vizuri kwa michango ya waumini wake huku upande mwingine hadi vyoo mashuleni unasaidiwa na wahisani.
 
Hapo inaeleweka kwenye post umeandika KKKT Mennonite kitu ambacho sidhani kama kipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…