Jinsi Rwanda inavyopambwa kuliko uhalisia wake

Unaongelea mwaka gani? Kwa sasa Rwanda has one of the best organized health care systems in Africa. All citizens are able to obtain health care insurance for $2 per year.

 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mkuu hata Kenya inasifika kuwa na huduma bora za afya ilhali raia wake kila leo wanakuja pale JKCI kupata huduma za moyo.
Navyokwambia mwaka huu mwaka huu huu kina Janabi wamepokea madaktari wa Rwanda kuja kujifunza pale Mloganzila na wengine Bugando.
Nitafutie kitengo kikubwa cha Orthopaedic Rwanda kama Cha MOI.
Nitafutie cardiac institute kubwa pale Rwanda kama ya JKCI.
Halafu sasa kaka chanzo chenyewe cha Rwanda,hivi unatarajia Rwanda wajiweke chini!??
 
Kuna sehemu nilisoma wameandika Generally Kagame alikua ni Master wa Psychological Warfare.πŸ˜‚
Psychological warfare(psywar) vita vya kisaikolojia.. Kwa wataalam wa military psychology wanakuambia ni vita vya kumdunisha adui kimitazamo, kiitikadi Kwa propaganda na UZUSHI Kwa kumfanya adui ajione hawezi na hatimaye ajiondoe kwenye vita kabla ya vita vya silaha havijashika Kasi.... Kagame yupo hivyo lkn Kwa tz alishashindwa maana 2014... M 23 walisambaratishwa ... Akakekenua, kikwete akawapa 24 hours watusi kuondoka ngara na wengi walrudinkwao... Hatasahau
 
Kipindi cha Corona Kagame aliamuru lock down weeeh weeehπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wiki mbili na nusu tu raia wakawa wanakula mlo mmoja kukawa na acute food insecurity.
 
Hajaa andaa mtu hadi leo?
 
JK konyo sana

Kidogo mke wangu awe deported hiyo 2014

JK alimweza PK
 
Juzi yule mwehu anayejiita mchungaji sijui wanamlipa sh. Ngapi akaja na HOJA kuwa madaktari w
Huwa wanakuita ukifika hukoo? Wasabato wanautumia sana msemo huo gisenyi
JK konyo sana

Kidogo mke wangu awe deported hiyo 2014

JK alimweza PK
Hahahhahahahaha
 
Ok ndiyo nilitaka ieleweke hivyo
 

Attachments

  • Screenshot_20240830-174556.jpg
    487.7 KB · Views: 3
Kuwa na madaktari wazuri sio kwamba wewe una health cares nzuri. Unaweza kuwa na madaktari wazuri lakini wenzako wakakuzidi. Rwanda wana jitahidi sana ku provide the best healthcare they can to their population.
Umefatilia Hospital ambayo Rwanda na Misri wanayo jenga huko Rwanda? Afu kuna ile Research ya mambo ya moyo
Itakuwa the first NGO hospital offering cardiovascular healthcare services free of charge to the people of Rwanda na labda pia wa East Africa.

Kuhusu Orthopaedic umefatilia, The orthopedic surgeons at King Faisal Hospital iliopo Rwanda?

Lini mara yako ya mwisho kwenda Rwanda?
 
Kipindi cha Corona Kagame aliamuru lock down weeeh weeehπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wiki mbili na nusu tu raia wakawa wanakula mlo mmoja kukawa na acute food insecurity.
Rafiki yangu tuweke utani pembeni speed anaye enda nayo Kagame unaweza kuja kukuta akawa na jeshi bora East Africa we tega masikio tu, tutaziona Jet fighter za Rwanda zina cheza viuno Dar es Salam

Mmeyaona mabus lakini πŸ˜„
 
Mkuu kama ingekua kwao wako more better basi wasingeleta madaktari wao wajifunze kwetu.
Pia raia wao wasingejazana kwetu kwa utalii wa matibabu.
Unajua NGO itoe matibabu bure ya moyo bro inatakiwa itengwe fungu la bajeti kuendesha hiyo taasisi kwa kitengo hicho!?
Hizo pesa ni wapi zitatolewa?
Atatoa Rwanda government au washirika wake!?
Hiyo Egypt yenyewe aina ya matibabu wanaotushinda ni neurosurgeon tu mkuu.
Katika neurosurgery Afrika kumkuta Egypt ni kipengele,ila sio moyo wala mifupa.

Na asikwambie mtu,kitengo kikubwa cha afya kinatakiwa kimilikiwe na serikali na sio na shirika binafsi/NGO.
Kuna gharama za uendeshaji ambazo ndizo zina determine gharama za ulipaji wa wateja katika matibabu.
Kama wako better than us wasije huku Tanzania wabakie kwao Rwanda.
 
Rafiki yangu tuweke utani pembeni speed anaye enda nayo Kagame unaweza kuja kukuta akawa na jeshi bora East Africa we tega masikio tu, tutaziona Jet fighter za Rwanda zina cheza viuno Dar es Salam

Mmeyaona mabus lakini πŸ˜„
Kucheza viuno kivipi kaka!?πŸ™„πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unamaanisha fighter jets za Rwanda zina survey anga la Tanzania!?

Huko kwa jeshi mkuu hata usiguse,hao Rwanda leo kikinuka nchi tunaigeuza mkoa ile.
Sio kwa vifaa wala jeshi la ardhini Rwanda hawezi mfikia Tanzania.
 
Rafiki yangu point zako ni πŸ’― nazikubali, nacho ongelea mimi zaidi ni huko mbele ya safari Kagame anaiba pesa Congo haibi anaipeleka Rwanda mbali sana sio ilivyo kuwa.

Lakini umemuona mama Samia anakagua ndege za mafunzo ya kijeshi au bado πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…