TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Basi Jack Chan apewe sifa. Kumbe wanatuibia namna hii, Mimi na Kesha na Money Heist ya akina Professor na Tokyo, kumbe watu wamejifungia masaa matatu na kutengeza episode 1 !!!Ni uwekezaji wenye gharama kubwa sana,na ndio maana sio kila mtu anafanya..
Movies zenye budget kubwa,unakuta hata wawekezaji ni wengi walau kupunguza mzigo,
Kuhusu scenes za ajali,zipo real(wanaotumia proffesional stuntmen,na zipo za vitoy car)..
Mfano Terminator 2 kuna vitoy car vilitumika..
Muvi nyingi za Jackie Chan zile ni real cars..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Wahuni Halafu wanalauumu saaana movies za kihindi!!!Asante kwa kunifungua macho mkuu, binafsi nilikuwaga afahamu huwenda movie Kama ya King Kong anatumika sokwe halisi Kisha wanamtengeneza kwenye kompyuta ndipo tunapata kuona tunachokiona... Kumbe ni tofauti kabisa aisee [emoji50]
Umemjibu vizuriHuo mfumo lazima kuna mtu awepo juu yao akitoa maelekezo. Huyo hasa ndio anazungumziwa. Sijui ww ni muislam au lah ila Qur'an imemueleza vyema tu.
Na nikukumbushe tu kua mwanzo kabisa nimesema hii ni conspiracy theory so inaweza kua sahihi au uongo
eeeeh bwaannUmemjibu vizuri
Na labda kama unaogopa kumuudhi nimwambie tu hata shetani ni mfumo hakuna mtu/kitu kimoja kinaitwa shetani
Huenda hata Mungu ni hivyohivyo
NI UONGO NA HAPA UNATUMIA AKILI NYEPESI TU YA DARASA LA 6. NI UONGO. hata conspiracy theories nyingine unatakiwa uchanganye na zako. Akili za mbayumbayu. Mimi ni Muislamu nasoma hata Biblia. Uongo nauchukia na ukweli nautafuta. Hakuna picha ya Yesu Duniani.Huo mfumo lazima kuna mtu awepo juu yao akitoa maelekezo. Huyo hasa ndio anazungumziwa. Sijui ww ni muislam au lah ila Qur'an imemueleza vyema tu.
Na nikukumbushe tu kua mwanzo kabisa nimesema hii ni conspiracy theory so inaweza kua sahihi au uongo
Hakuna Picha ya Mpinga Kristo. Ni uongo kuwa ile video ya Yesu ni sura ya mpinga Kristo. Ni very stupid arguement.Umemjibu vizuri
Na labda kama unaogopa kumuudhi nimwambie tu hata shetani ni mfumo hakuna mtu/kitu kimoja kinaitwa shetani
Huenda hata Mungu ni hivyohivyo
Basi wenyewe wamemwita jiniasMkuu hii ni photoshop tu na sio hata CGI. Jamaa alikua tu anaangalia tu pozi gai akae kulingana na picha za hao character kisha anawaphotoshop kama yupo nao. Njia hii hii imetumika kwenye series ya The Boys Ep7 na Ep8 mtu anakua kama yupo anaongea na katuni but they were juat inserted digitally
Angalia picha ya tatu kutoka chini katika post yako hii niliyokoti jamaa alikua tu kachuchumaa chini ila kai-Flip picha ionekane kaninginia kwenye maporomoko na hiyo katun
Hao ndio watanzaniaNdivyo ilivyo mzee si unaona hata humu mtu anaweza kopi kitu toka wasap group akaleta humu na wakamuona jiniaz
[emoji706][emoji706]Thor love and Thunder
View attachment 2363242
Kaka Habari Naweza kuja PMissue kubwa inaanzia toka kwenye script,bahati nzuri niko karibu na mwandishi mzuri wa script kuanzia story building mpka dialogues....ameandika TALAKA ambayo ilianzwa kuoneshwa DSTV nadhani 2014,then ikapelekwa Startimes,Nadhani mwaka jana pia niliona imepelekwa tena KTN Kenya
Pia ameandika Ep 16 za mwanzo za 'UHURU NA GHARAMA ZAKE' ilikuwa ikioneshwa Azam,
Kwa uzoefu wake anasema mazingira ya bongo ni ngumu mno kutengeneza story iliyo competant coz unakuta kwenye script umeandika character flan aonekane anaendesha gari la hadhi ya juu Director anaenda kuchukua NOAH,Unaandika kwenye script scene flani ishutiwe usiku na shot ichukuliwe kwenye angle flan,Director tena anashoot mchana anashusha mapazia na hazingatii angle aliopewa ya shot anafanya anavyojiskia kiasi cha kwamba mwisho wa siku story inakosa mvuto wa mawazo halisi ya mwandishi
karibu Mkuu!!Kaka Habari Naweza kuja PM