Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
- #221
Sema nishaifuta hii muvi ingebidi niirejee kutazama haya uliyoongea.Aisee Mkuu 'Da'Vinci" ukiniambia Gemini Man ni De-aging nzuri Kwako nitashindwa kukushangaa..na may be utakua umeichek kwny 720p 🙂🙂 haaha jokes!!
Ni hiv ukichek scene nying sana za "will smith Jr" utagundua hich kitu,kwanza akiwa anafight na dingi yake anakua yuko fasta sana (ile film sio ya maheroes ile ni about cloning science)kias kwamb unashindwa kumdetail yaan yupo kama character wa game,Hii hapa chini ni scene moja wapo ambayo Jr anaonekana ni ''FULL BODY CGI'' kitu kinachopelekea kuonekana kama plastic zaid!!
sasa uwez fanya de-aging kwa full body cgi yaan unakuta The lighting, the textures, the muscle movement vyote vinabadilika nakuleta bad look expression,,,ila wangetumia double stunt then wakamalizia na hyo face mocap kama walivyofanya .
View attachment 2126965
Ila nick fury de-aging yake iko fresh!!
Ila hua nashangaa sana wanawezaje mtu mmoja kuigiza part mbili tofauti halafu anapigana.. How they do it??