Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Mkuu sheria mama siku zote ni katiba ya jamuhuri ya muungano wa tanzania...na sheria za jamuhuri ya muungano wa tanzania ndo sheria zinazoiongoza tanzania si vingine achana na hizo by-laws....ndo mana nimekwambia kula mchana wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhani si kosa kisheria kama nikosa nipe mfano wa mtu aliyepelekwa mahakamani kwa kula mchana na uniambie alihukumiwa vipi
Sijasema kuna mtu kakamatwa kula kwa kula mchana.Nilichokizungumzia ni watu kufananisha Zanzibar na Bara.

Ukimsoma mtoa post kuna sehemu kasema ukikutwa unakula mchana unaweza kufungwa mwezi mmoja.Sasa mumuulize kayatoa wapi hayo asemayo?Kama si uchonganishi na chuki ni nini?

NB:
Zanzibar hawafuati sheria za bara japo zaweza kufanana.Kuna mambo mengine si ya muungano.Ndio maana kuna vikosi vya SMZ.Haviingiliani na Jamhuri ya Muungano.Kule ni JWTZ na Polisi tu ndio vikosi vya Jamhuri ya Muungano.
Wana mahakama kuu ya Zanzibar,na muswada wa sheria ukipitishwa na bunge la Jamhuri kama inahusu maswala ya muungano,lazima ijadiliwe na baraza la wawakilishi kabla ya kuanza kutumika.
 
Ni kwenda kinyume na Uislam kutompatia chakula au access ya kula mtu ambaye hastahiki kufunga kama ndugu zetu Wakristo

Hili ni kosa tu bila kujali limefanyika wapi, aidha Zanzibar au sehemu yoyote ya Dunia

Ila kitu kikubwa ambacho nadhani ndugu zetu Wakristo wanashindwa kukielewa ni kwamba Staha na Stara wakati mnapata Vyakula na Vinywaji ktk nyakati hizi ni kitu cha Uungwana sana

Kuna wakati niliwahi kosana na Wife juu ya hili jambo. House Girl ambaye ni Mkristo alitembelewa na Baba yake toka kijijini kwa bahati mbaya wife akawa anasita kutoa mlo kwa Mgeni kwa sababu tu ni Mkristo. Baada ya kumuelimisha sana wife akaelewa huwezi amini yule Bwana alivutika sana na dini yetu na ndio ikawa mwanzo wa kuelewa uislam

Zanzibar hawajakataza kula mchana kwa ambao hawafungi walichokataza ni kula hadharani. Kama mko organised a Muslim Catarer anaweza waletea chakula hata sehemu ya kazi mkaendelea na menu zenu na sio dhambi kwa mfanyabiashara wa kiislam kutoa hiyo service kwa wasio Waislamu

Regards
Asante Adilinanduguze . Quote bora kwenye huu mjadala. Kuna watu wamekariri vitabu vya dini bila kujua application kwa maisha
 
Huyu mungu wa waislam anayejua kiarabu tu, ninamashaka nae kwakweli. Na watu walivyo apumbavu wanaamini ete kiarabu ndo lugha ya mbinguni. Waislam wote mjiandae kwenda mbingu ya Kilombero au mbuguni na sio Mbinguni/ Peponi.

Waarabu wamefanya kufuru kuliko watu wengine wowote Duniani. Leo wanawaaminisha eti wao ndio wacha Mungu kweli [emoji202] kama kusoma hamjui hata Picha hamuoni
Teh teh ndiyo ushangae na wewe.
 
Sio tu siku ya idd
Kuna siku yao kabla ya mfungo kuanza wanaita vunja chungu, hiyo siku nilijua baada kutoka safari kenya nikawa natafuta pakulala nilihaangaika sana cause vyumba vilikuwa vimejaa, driver taxi akanielezea hiyo siku ni ya vunja chungu
Nilisikitika sana
Sio wote ila kuna watu ni wanafiki sana
Ni wanafki kupita maelezo. Tena ukikutana na wale wanaojidai wamesoma Dini[emoji16][emoji16][emoji16]utadhani ndiyo Lucifer
 
Mazingira ya maisha hapa zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa ramadan kwa wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida, mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa,ukiwa mwanakwerekwe napo inabidi uende pale kanisani,ukiwa maeneo ya mbweni itabidi uende kanisani ndio kuna kimgahawa hapo utapata chakula,ila kwa siku ya leo kuna kitu kimenikera sana baada ya kukosa chakula kanisani ikabidi nipelekwe sehemu ya mafichoni kunapouzwa chakula,nimefika na chakula nimepata ila mazingira ya kukaa pamoja ulaji sio mzuri kwa sababu unakula kwa hofu kwamba muda wowote mnaweza kamatwa.na kama unafamilia yako huku basi kama mkeo anataka kupika ni marufuku kupikia nje inatakiwa kila kitu amalize humo humo ndani na ukikamatwa unapelekwa jela mpaka mwezi uishe ndio unaachiwa,lakini hivi vitu vinafanyika kwa ngozi nyeusi kwa nyeusi,ngozi nyeupe aiguswi na hii zihaka mzungu wanakula na kunywa muda wowote na hotel/ mabaa yao yako wazi muda wote,ombi langu kwa waislamu ni kwamba waache tabia za unafiki wa kubagua maana kwa mtindo huu hata thwawabu sidhani kama mtapata.
Dah,pole sana mkuu ndio maisha ya utafutaji huo inakulazimu ufunge bila kutaka
 
Ni kwenda kinyume na Uislam kutompatia chakula au access ya kula mtu ambaye hastahiki kufunga kama ndugu zetu Wakristo

Hili ni kosa tu bila kujali limefanyika wapi, aidha Zanzibar au sehemu yoyote ya Dunia

Ila kitu kikubwa ambacho nadhani ndugu zetu Wakristo wanashindwa kukielewa ni kwamba Staha na Stara wakati mnapata Vyakula na Vinywaji ktk nyakati hizi ni kitu cha Uungwana sana

Kuna wakati niliwahi kosana na Wife juu ya hili jambo. House Girl ambaye ni Mkristo alitembelewa na Baba yake toka kijijini kwa bahati mbaya wife akawa anasita kutoa mlo kwa Mgeni kwa sababu tu ni Mkristo. Baada ya kumuelimisha sana wife akaelewa huwezi amini yule Bwana alivutika sana na dini yetu na ndio ikawa mwanzo wa kuelewa uislam

Zanzibar hawajakataza kula mchana kwa ambao hawafungi walichokataza ni kula hadharani. Kama mko organised a Muslim Catarer anaweza waletea chakula hata sehemu ya kazi mkaendelea na menu zenu na sio dhambi kwa mfanyabiashara wa kiislam kutoa hiyo service kwa wasio Waislamu

Regards
Naunga mkono hoja, hata mimi naishi huku Zanzibar lakini sio kweli kuwa wamekataza kula mchana ila usile hadharani. Migahawa iliofungwa ni ile ya hadharani lakini kwenye Hotel na migahawa ambayo haipo hadharani vyakula vinapatikana na ruksa kula. Na sio kweli kwamba haurusiwi kupika ukiwa nyumbani kwako, unaweza kupika na kula bila ya tatizo. Huyu mleta mada anaposema kuwa eti wazungu wameruhusiwa kula hadharani sio kweli maana hata ile migahawa ya kitalii ambayo ipo hadharani imefungwa sasa watakula wapi, na huko wanapokula wazungu hata yeye anaruhusiwa kula ila vyakula vipo bei juu sana ndio maana wengi wanashindwa kwenda. Na tusishangae Zanzibar kuwa na sheria hizo maana ni sheria ndogondogo (by laws )ambazo wamejiwekea.

Democracy means that Domo kiasi
 
Teeh teeh

Njoo uone sa hizi nimempakata mama wa Mungu wenu nataka niitoe bikra yake nyie si mmeshindwa huko nyote mnaolewa makanisani.
Teh teh teh.
Swaumu imekaza[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Na bado moto wa jehanum ni kwa ajili yenu.
 
Mazingira ya maisha hapa zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa ramadan kwa wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida, mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa,ukiwa mwanakwerekwe napo inabidi uende pale kanisani,ukiwa maeneo ya mbweni itabidi uende kanisani ndio kuna kimgahawa hapo utapata chakula,ila kwa siku ya leo kuna kitu kimenikera sana baada ya kukosa chakula kanisani ikabidi nipelekwe sehemu ya mafichoni kunapouzwa chakula,nimefika na chakula nimepata ila mazingira ya kukaa pamoja ulaji sio mzuri kwa sababu unakula kwa hofu kwamba muda wowote mnaweza kamatwa.na kama unafamilia yako huku basi kama mkeo anataka kupika ni marufuku kupikia nje inatakiwa kila kitu amalize humo humo ndani na ukikamatwa unapelekwa jela mpaka mwezi uishe ndio unaachiwa,lakini hivi vitu vinafanyika kwa ngozi nyeusi kwa nyeusi,ngozi nyeupe aiguswi na hii zihaka mzungu wanakula na kunywa muda wowote na hotel/ mabaa yao yako wazi muda wote,ombi langu kwa waislamu ni kwamba waache tabia za unafiki wa kubagua maana kwa mtindo huu hata thwawabu sidhani kama mtapata.
rudi kwenu kufar wewe
 
Tabia hii ya wazinzibar inajificha katika kichaka cha Ramadhani

UKWELI NI KWAMBA WAMEEBA CHUKI NA KISASI CHA MUUNGANO DHIDI YA WABARA

Ova.
True, wanaona wakati mzuri wa kuwakomoa watu kutoka bara ni kipindi cha Ramadhani
 
Teh teh teh.
Swaumu imekaza[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Na bado moto wa jehanum ni kwa ajili yenu.
Kumbe Mlimani City Mall kuna Msikiti ! Nimefurahije !
Jifunze Uislaam hapo kafiri kama lugha inapanda.
 
Naunga mkono hoja, hata mimi naishi huku Zanzibar lakini sio kweli kuwa wamekataza kula mchana ila usile hadharani. Migahawa iliofungwa ni ile ya hadharani lakini kwenye Hotel na migahawa ambayo haipo hadharani vyakula vinapatikana na ruksa kula. Na sio kweli kwamba haurusiwi kupika ukiwa nyumbani kwako, unaweza kupika na kula bila ya tatizo. Huyu mleta mada anaposema kuwa eti wazungu wameruhusiwa kula hadharani sio kweli maana hata ile migahawa ya kitalii ambayo ipo hadharani imefungwa sasa watakula wapi, na huko wanapokula wazungu hata yeye anaruhusiwa kula ila vyakula vipo bei juu sana ndio maana wengi wanashindwa kwenda. Na tusishangae Zanzibar kuwa na sheria hizo maana ni sheria ndogondogo (by laws )ambazo wamejiwekea.

Democracy means that Domo kiasi
Wewe ndiyo muongo,mleta maada aliyoandika ni sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom