Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

Kila sehemu kuna mila, taratibu, desturi, tamaduni, silka zake. Zanzibar ilitawaliwa na waarabu na kwa asilimia 99 ya wazanzibari ni waislam. Kama sikosei walitaka kujiunga na OIC miaka ya nyuma huko kitu ambacho kingeitambulisha Zanzibar kama taifa la Kiislam. Muungano wa Zanzibar na Bara ndio uliosababisha hadi leo hii Zanzibar kukwama kuwa taifa la Kiislam. Hivyo basi kulingana na maelezo hayo mafupi utaona ni jinsi gani Zanzibar ilivyo. Hivyo basi wapo Wakristo ambao nao pia wamezaliwa na kukulia Zanzibar lakini wanafuata mila, taratibu, desturi, tamaduni, silka za kizanzibar. Sasa basi ikiwa umekwenda ugenini kwa watu jaribu sana kuelewa ni kipi wenyeji wako wanapenda na kipi hawapendi ili kuweza kuendana na sehemu husika na sio kutaka kufanya vile unavyoona kwako inafaa wakati huo huo ukiwaudhi wenyeji wako.
Kama ukiona unashindwa au unanyanyasika unaweza kurudi nyumbani kwa maana hujafukuzwa. Lakini pia kwanini uteseke na una kwenu? Vile vile kuharibika kwa mila, taratibu, desturi, tamaduni, silka za kwenu kusisababishe ukataka na ugenini kwako kuwe hivyo hivyo.
una akiri sasa?
 
Kwa hiyo na Leo umefunga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]?
Kwanini funga yangu ikutese?

Mbona nyie mkimfungia yule muhuni wenu aliyevaa kichupi pale juu ya msalaba hatuwafatilii.
 
Kwanini funga yangu ikutese?

Mbona nyie mkimfungia yule muhuni wenu aliyevaa kichupi pale juu ya msalaba hatuwafatilii.
tulia mtoto wa malwaya wewe unamjua muhuni wewe nyie ndo mnaofunga alafu watu
 
tulia mtoto wa malwaya wewe unamjua muhuni wewe nyie ndo mnaofunga alafu watu
Teeh teeh teeh

Bi mkubwa umekuja kwa hasira kama kidume kweli kumbe pengine ushaolewa huko kanisani kwenu

Yani unapiga mikwala uku umepakatwa na kidume mwenzio

Amma kweli makanisani sio sehehemu nzuri
 
Acheni kula ovyo ovyo,kama gendere,msiwe lege lege.
Kula Ni mojawapo ya haki ya kidemokrasia ya mtu Huwezi mpangia mti aleje Ni hiari yake bila kulazimishwa kupangiwa na mtu.Mbona waislamu mkifunga mnakula usiku kucha mbona hakuna anayewasumbua kuwa msile usiku kucha Kama ngedere?
 
Teeh teeh teeh

Bi mkubwa umekuja kwa hasira kama kidume kweli kumbe pengine ushaolewa huko kanisani kwenu

Yani unapiga mikwala uku umepakatwa na kidume mwenzio

Amma kweli makanisani sio sehehemu nzuri
Wewe ndo umepakatwa gasho wewe
 
Sio wakristo wote wanaofunga,ni wakatoliki tu.
Sio kweli Wakristo wengine hufunga pia .Angalia hata TV za Wakristo wasio wakatoliki hutangaza miifungo kibao iko ya siku saba,siku 21,Siku 40 siku 60 Hadi siku 90 .Hawa Wakristo wengine wanafunga wasio wakatoliki ila huwa wakimya hawana kelele Kama waislamu kujulisha wamefunga ndio maana hata wewe hujui
 
Wewe Cute unajua hata kuwasha kuni ?, au ndio wale umeambiwa kupiliza moto ukolee unakaa mbali na jiko kuhofia nywele zako kushika masizi au moto kabisa !?
Siku njoo kwangu nikuonyeshe, napuliza moto hadi kamasi linatoka.
 
Mazingira ya maisha hapa zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa ramadan kwa wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida, mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa,ukiwa mwanakwerekwe napo inabidi uende pale kanisani,ukiwa maeneo ya mbweni itabidi uende kanisani ndio kuna kimgahawa hapo utapata chakula,ila kwa siku ya leo kuna kitu kimenikera sana baada ya kukosa chakula kanisani ikabidi nipelekwe sehemu ya mafichoni kunapouzwa chakula,nimefika na chakula nimepata ila mazingira ya kukaa pamoja ulaji sio mzuri kwa sababu unakula kwa hofu kwamba muda wowote mnaweza kamatwa.na kama unafamilia yako huku basi kama mkeo anataka kupika ni marufuku kupikia nje inatakiwa kila kitu amalize humo humo ndani na ukikamatwa unapelekwa jela mpaka mwezi uishe ndio unaachiwa,lakini hivi vitu vinafanyika kwa ngozi nyeusi kwa nyeusi,ngozi nyeupe aiguswi na hii zihaka mzungu wanakula na kunywa muda wowote na hotel/ mabaa yao yako wazi muda wote,ombi langu kwa waislamu ni kwamba waache tabia za unafiki wa kubagua maana kwa mtindo huu hata thwawabu sidhani kama mtapata.
We Rudi kwenu Tanganyika tu, waachie Zanzibari yao.
 
Ni kwenda kinyume na Uislam kutompatia chakula au access ya kula mtu ambaye hastahiki kufunga kama ndugu zetu Wakristo

Hili ni kosa tu bila kujali limefanyika wapi, aidha Zanzibar au sehemu yoyote ya Dunia

Ila kitu kikubwa ambacho nadhani ndugu zetu Wakristo wanashindwa kukielewa ni kwamba Staha na Stara wakati mnapata Vyakula na Vinywaji ktk nyakati hizi ni kitu cha Uungwana sana

Kuna wakati niliwahi kosana na Wife juu ya hili jambo. House Girl ambaye ni Mkristo alitembelewa na Baba yake toka kijijini kwa bahati mbaya wife akawa anasita kutoa mlo kwa Mgeni kwa sababu tu ni Mkristo. Baada ya kumuelimisha sana wife akaelewa huwezi amini yule Bwana alivutika sana na dini yetu na ndio ikawa mwanzo wa kuelewa uislam

Zanzibar hawajakataza kula mchana kwa ambao hawafungi walichokataza ni kula hadharani. Kama mko organised a Muslim Catarer anaweza waletea chakula hata sehemu ya kazi mkaendelea na menu zenu na sio dhambi kwa mfanyabiashara wa kiislam kutoa hiyo service kwa wasio Waislamu

Regards
 
Ni kweli kabisa unachosema mkuu, nimeishi Zanzibar mda mrefu sana ila hakuna wakati nilokua nauchukia kama huo. Yaani unageuka kuishi kama panya
 
Sio kweli Wakristo wengine hufunga pia .Angalia hata TV za Wakristo wasio wakatoliki hutangaza miifungo kibao iko ya siku saba,siku 21,Siku 40 siku 60 Hadi siku 90 .Hawa Wakristo wengine wanafunga wasio wakatoliki ila huwa wakimya hawana kelele Kama waislamu kujulisha wamefunga ndio maana hata wewe hujui
Nyie mikafiri mnafunga au mnazingua
 
Back
Top Bottom